TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

18 November 1961 - 30 Machi 2026

Pia soma

Rip Bwege ...
 
Hahaha Huyu Mzee Anaishi kwenye mind za Watz miaka mingine 100 mbele
 
Chadema wamekuwa na tabia za hovyo sana za kuingiza siasa kwenye vifo vya watu bila kujua kuwa Kila mtu ameumbiwa kifo, kifo hakina chama, hii umefanya Leo wanaona haya kutangaza msiba wa mtu wao, wako kimya kama hakuna kilichotokea
Chadema acheni huo upumbavu wenu.

Pumzika kwa amani Mh. Bwege
 
Bwege ni mwananachama wa chama hiko?
 
Chadema wamekuwa na tabia za hovyo sana za kuingiza siasa kwenye vifo vya watu bila kujua kuwa Kila mtu ameumbiwa kifo, kifo hakina chama, hii umefanya Leo wanaona haya kutangaza msiba wa mtu wao, wako kimya kama hakuna kilichotokea
Chadema acheni huo upumbavu wenu.

Pumzika kwa amani Mh. Bwege
Hivi hao chadema si ndiyo kuna wengine walikula michango ya Lisu
 
Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

18 November 1961 - 30 Machi 2026

Pia soma

Hatuna deni na wewe, pumzika kwa amani Bwege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom