Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,593
- 61,280
Huyu alikuwa CIF kabla ya kuwa ACTPumzika salama..
MWANACHADEMA.
nadhani Huyu ni miongoni mwa waliokataaa Janja janja tangu enzi za liprofeli Lipumba hadi Ayatolla Zitto
Huyu alikuwa CIF kabla ya kuwa ACTPumzika salama..
MWANACHADEMA.
nadhani Huyu ni miongoni mwa waliokataaa Janja janja tangu enzi za liprofeli Lipumba hadi Ayatolla Zitto
Mbona husherehekei ,si juzi kahamia CHADEMA...kifo upande wa pili ni adhabu si ,unafiki na akili havikai pamojaRIP mpambanaji umefikia mwisho mwema! Utaenziwa na kuheshimiwa!💪🏿
Watu wema kama hawa wakifa tunamshukuru Mungu alituzawadia kilicho Bora, hatuna haja ya kusikitika Bali kumshukuru MolaApumzike Kwa Amani, mzalendo wa ukweli
😆Mkuu Tuko kwenye majonzi wewe unaleta mipasho?Huyu ndio mshindi alievipigana vita vya imani na kashinda, sio hao mboga mboga wanavikana viremba vya ukoka
Huo ndio ukweli mkuu. Lile andiko linatumika vibaya sana ( linatumika kwa watu wa hovyo hovyo ) na wengine ni wezi na wauaji😆Mkuu Tuko kwenye majonzi wewe unaleta mipasho?
Apumzike kwa amani, amsalimie mtani/ rafiki yake ndugaiAliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
View attachment 3564530
Hii ndio Maana ya Respect is Earned and not offered, ndio uanaumeMwamba amemaliza mwendo Kwa heshima.
Kama ana Mtoto wa Kike anayenifaa ni muhimu sana kuendeleza kizazi kama hiki geneology isipoteeDah! 😭😭
Pole kwa wafiwa na wazalendo wote..!!
Vita kapigana na imani kailinda.
Heshima kwake mzee wetu..!!
Hakika MkuuWatu wema kama hawa wakifa tunamshukuru Mungu alituzawadia kilicho Bora, hatuna haha ya kusikitika Bali kumshukuru Mola
Kafa akiwa amesimamia ukweli
Ova
Tumepoteza chuma kweli kweliAliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026