HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,070
- 3,194
Go Easy Bwege
Mh Bwege was a great man of his timeWenye misimamo wataheshimika na kukumbukwa daima. Pumzika kwa amani Mhe. Suleiman Bungala.
Kwa hiyo hapo NOVENA haijafanya kazi mpaka wafe upande wa pili.
Alale pema alikua kiongozi asiyeogopa kuisimamia ukweli na Haki.
Wa ule upande mbona wote wamefia hospital ,ina maana walikuwa wanaumwa..Mungu wa Novena anaua kama adhabu sio na wlae vibaka wa oktoba 29 ilikuwa adhabu ya Mungu wa novena?Marehemu alikuwa akiugua muda mrefu maradhi ya kisukari hadi kupelekea kukatwa mguu mmoja na pia alipatwa na maradhi ya figo hadi kupelekea kufeli kwa figo...
Sasa imagine mtu mwenye hayo maradhi kutoboa kwake kupoje kwenye nchi zetu hizi...
RIP Bwege. Mungu ailaze roho ya hayati Bwege mahali pema peponi. Amina.Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Pia soma
- Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"
- PreGE2025 - Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki
- Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA
Mkuu mbona unaandika kwa jazba? Kifo cha mzalendo kinahuzunisha. Kifo cha fisadi moja la CCM ndicho husherehekewa.Mbona hushekehekei ,si juzi kahamia CHADEMA...kifo upande wa pili ni adhabu si ,unafiki na akili havikai pamoja
Mzee amefariki kifo cha Natural death, maladhi ya kawaida kabisa, alikuwa na Stroke.Mzee alikua anawasha moto balaa, kwa mimi sikua najua sana taarifa za ugonjwa wake, ikafika siku nikamuona yupo hoi, sikuamini kama ni yeye, ila kwa siasa za hapa nilisi ni bomu la masaa wamemtegea, hivyo ni muda tu ndio ulikua hujafika ila adhima ilikua imetimia
Hahaha Huyu anastahiliHuyu sasa ndiobwa kuandikiwa
APUMZIKE KWA AMANI
Ameshakufa bhana ,hana jipya ..Mkuu mbona unaandika kwa jazba? Kifo cha mzalendo kinahuzunisha. Kifo cha fisadi moja la CCM ndicho husherehekewa.
Mkuu unawaonea wivu hadi wafu?Ameshakufa bhana ,hana jipya ..