bwege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Pale rafiki unayemwamini anapokugeuza fursa huku akikuona wewe bwege na mshamba

    Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk Sasa katika cycles zako za marafiki unaona fulani ndio anafaa.. Wewe kutokana na kutokuwa mjuzi ama kukosa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Heche Msibani kwa Bwege: Lissu angekuwepo angekuja kumzika Bwege 'alimpenda sana'

    Makamu Mwenyekiti Bara John Wegesa Heche amemuelezea Marehemu Selemani Bungara(Bwege) kama mtu ambae aliyesimama imara kuwapigania wananchi kila alipopata nafasi huku akiwa hayumbishwi. Heche amezungumza hayo leo Machi 31, 2026 aliposhiriki mazishi ya Bwege Kilwa Kivinje mkoani Lindi na...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: Bwege alikuwa mpigania haki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleiman Said Bungara maarufu Bwege, alikuwa mwanasiasa anayepigania haki za watu wake na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo leo Machi 31 katika mazishi ya Bwege wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi. Bwege alifariki Machi...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni mara moja kuchangisha watu wakati tayari ACT wameshasema watagharamia msiba wa Hayati Bwege

    Wazee wa fursa hii sio sawa. Acheni mara moja huu uhuni.
  5. R

    JamiiForums Tanzania ACT- Wazalendo kubeba gharama mazishi ya Bwege

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kushtushwa na kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa mwanachama wake, Seleman Bungara maarufu Bwege, kilichotokea ghafla asubuhi ya Machi 30, 2026, alipokuwa akipatiwa matibabu ya kusafisha figo jijini Dar es Salaam. Chama hicho pia kimeahidi kugharimia mazishi ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi, Bwege: Tunaanza Upyaaaa

    Tunaanza Upyaaaa, Mpango aidha atoe hela au ajiuluzu, asipotugea daraja wabunge wa Kusini tunaadamana, varangati la gesi kusini linarudi tena, yaani Tunaaza Upyaaaaaaaaa Pia soma: TANZIA - Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia
  7. Mnhamba jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

    Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu. 18 November 1961 - 30 Machi 2026 Pia soma Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa mzalendo?

    Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa fisadi? Jibu tunalo wengi ni Bwege pamoja na shida zake alikuwa Mzalendo na tutamkumbuka kwa hilo. Hajauza nafsi yake kwa pesa. Huyu Bwege alikuwa Mzalendo kweli
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Seleman Bungara '' Bwege'' kwenda kwa Zitto Kabwe

    Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitiko yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo. "Tunajua Tundu Lissu ni rafiki yako wa karibu sana alipopigwa risasi 16 ulisafiri kwenda Kenya...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bwege: Katiba, Falsafa ya vyama vyote zipo vizuri ila shida ni viongozi wa vyama wanapenda kusikilizwa wao

    Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara "Bwege kupitia ACT Wazalendo ameweka wazi kuondoka kwake kwenye chama hicho na kuhamia CHADEMA akisema viongozi wanashindwa kufuata Katiba na falsafa iliyopo Soma Pia: Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA Bwege alikihama ACT Wazalendo siku chache...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA

    Mwanasiasa machachari na aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Senior Selemani Said Ally Bungara, maarufu "Bwege," ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT Wazalendo kuanzia jana, Februari 18, 2026. Katika taarifa yake aliyoitoa kwa umma, Bwege ameeleza kuwa uamuzi huo umetokana na...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

    Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka. Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bwege: Watawala wanataka kutugawa ili watutawale kirahisi

    "Kuna kitu kimetengenezwa katika nchi hii na watawala ile sera yao susi inaitwa wagawanye watawale ndiyo ambao wanatumia hao watawala ambao wanauroho wa madaraka ninaomba watanzania hiyo sera tuipige vita tutengeneze umoja, ushirikiano tuwe wa moja ili tuiondoe mbegu hiyo mbaya ambayo inapandwa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bwege: Waroho wa madaraka wasitufarakanishe kidini

    "KUNA watu wanatengeneza makusudi mgawanyiko kwa maslahi binafsi, tusikubali kugawanyika kwa kuwa sisi sote ni watoto wa Adam na Hawa., tusigawanywe na hawa wataka madaraka na wanaotaka matajiri kwa njia za haramu, kuna kikundi kina madaraka na utajiri ndio wanaotugambanisha. Hawa watu wapo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Hoja tofauti za Bwege tunazipokea

    "Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama na wengine kuja na hoja ambazo haziendani na misingi ya chama". "Sisi tunaamini katika kumjenga...
  16. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bwege kwa wanaotaka kuandamana 29/25

    Bwege aomba Watanzania wasiandamane Oktoba 29, 'Hakuna anayeweza kuzuia mabadiliko'.
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Aliyosema Kapteni Tesha ni malalamiko ya wananchi, nakubaliana naye isipokuwa suala la jeshi kuchukua nchi

    Selemani Said Bungara 'Bwege' Ameyasema akizungumza na waandishi wa habari Manzese, jijini Dar es Salaam, Oktoba 18, 2025 amesema anakubaliana na hoja zote alizotoa Kapteni Tesha kwani ameongea yaleyale ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wanaharakati wa demokrasia pamoja na wananchi kwa ujumla...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Nimeamini maneno ya CHADEMA 'No Reforms, No Election' baada ya mgombea Urais kupitia chama changu ACT Wazalendo kuenguliwa

    Selemani Said Bungara 'Bwege' amesema alikuwa anashiriki katika uchaguzi na kukiuza chama chake cha ACT Wazalendo, lakini tokea Mgombea wa Urais kupitia Chama chake, Luhaga Mpina aenguliwe ameona ni kama wagombea wote wa udiwani na ubunge kupitia chama ACT Wazalendo wameenguliwa kwasababu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Sitashiriki kampeni yoyote ya ACT hadi nitakapojua hatma ya Luhaga Mpina

    Wakuu Bwege anazidi kutema nyogo, wakati kifanya mahojiano na Mwanahalisi amesema kutokana na uzembe uliofanyw ana chama chake na kupelekea Luhaga Mpina kuenguliwa kugombea Urais umemfanya achukue maamuzi ya kutoshiriki kampeni yoyote ya ACT Wazalendo popote pale hadi pale Mpina...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege amshinikiza Zitto kujibu tuhuma za CCM, adai kufukuzwa baada ya uchaguzi wa Oktoba

    Kada wa Chama cha ACT-Wazalendo na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Seleman Bungura maarufu kama Bwege, akizungumza na kituo cha Mwanahalisi TV leo Septemba 28, 2025, amesema kuwa Zitto Kabwe anatakiwa kujitokeza na kujibu tuhuma zinazodai kuwa yeye ni sehemu ya "CCM B"...
Back
Top Bottom