Naweza kupata Simu gani kwa bajeti ya Laki 3

little finger

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
384
986
Habarini wakuu,

Kwa bajeti ya laki 3 na 20, naweza kupata simu ya aina gani?

Kigezo cha kukaa na chaji ni muhimu sana.

Natanguliza shukrani
 
Attachments

  • Screenshot_20230619-191109_Device care.jpg
    Screenshot_20230619-191109_Device care.jpg
    48.5 KB · Views: 23
Kati ya Redmi 10c na Redmi 12C ipi bora?
BEI
Redmi 10C 375,000
Redmi 12C 350,000 (GB 128)

Hiyo redmi 10c tigo hawaandika ni GB ngapi!
Redmi 10C ni bora zaidi coz inatumia chipset ya Snapdragon 680 ambayo ni better than Helio G85 ya Redmi 12C anyway

Za Tigo shop ni 64GB
Ni heri ununue maduka mengime kwa sababu unaweza kupata yenye 128GB kwa 360,000 tu halafu hiyo ya 64GB unaipata kwa 330,000/= ambayo ni bei fair ukizingatia inatumia Snapdragon 680 kwa bei rahisi hivi
 
Ahsante umenifumbua macho.
 
Mkuu nahitaji ufafanuzi hyo Snapdragon mana ake nini
 
Snapdragon ni chipset inayotengenezwa na kampuni ya Qualcomm. Chipset ndio moyo wa simu. Chipset ikiwa na uwezo mdogo hata simu ikiwa na RAM GB 8 uwezo bado utakuwa mdogo. Kwa hiyo unahitaji simu yenye chipset yenye nguvu. Sasa kwa laki 3 chipset ya Qualcomm Snapdragon ni nzuri zaidi kwa sababu ina nguvu sana kuliko chipset nyingine za bei hiyo.
Kuna chipset nyingi sio Snapdragon tu bali kuna MediaTek, Exynos n.k
Kampuni zote hizi zinatengeneza chipset tofauti zenye uwezo tofauti tofauti. In short ni kama CPU kwa mfano chipset ya Snapdragon yenye nguvu zaidi kwa sasa ni Snapdragon 8 Gen 2. Ingawa siwezi kuelezea vizuri nina uhakika ukienda kutafuta msaada Google utaelewa zaidi
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri.
Nakuwa napige mishe zangu porini muda mwingi ni simu ipi ina uwezo mkubwa Kwa upande wa internet
 
Redmi 10C ni bora zaidi coz inatumia chipset ya Snapdragon 680 ambayo ni better than Helio G85 ya Redmi 12C anyway

Za Tigo shop ni 64GB
Ni heri ununue maduka mengime kwa sababu unaweza kupata yenye 128GB kwa 360,000 tu halafu hiyo ya 64GB unaipata kwa 330,000/= ambayo ni bei fair ukizingatia inatumia Snapdragon 680 kwa bei rahisi hivi
Achukue hii simu inakaa na chaji na perfomance yake ni fair enough...
 
Back
Top Bottom