Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,539
- 11,810
KUNDU UCHIKundu chi
KUNDU UCHIKundu chi
Ona wavuvi nimetaman kutokaMe hata sipaelewi kwakweli, kumepoa
Nataka nitoke niende baharini kupunga upepo
UmetuknqKUNDU UCHI
Unakaaje nyumbani weekendNiko nyumban8
Sina pesa dadaUnakaaje nyumbani weekend
Vaa chap uendeOna wavuvi nimetaman kutoka
Sina ata nauli ya boltVaa chap uende
Pole sana, haya tulia angalia katuni ndaniSina pesa dada
Ndio af si unajua Satoh Hirosh meshi atanipigaPole sana, haya tulia angalia katuni ndani
Me nipo lindo,shauri yako.Baba sina usingiz nakuja kuangalia TV
Aga Khan, Ocean Road Cancer Institute pia sijawahi kufikaNa pale haujafika kweli
Dar inaukubwa gani?Dar kubwa sana, sidhani kama kuna mtu ashawahi kufika kila kitongoji...
Mimi pia Bandari sijawahi kufika, naishia kuona zile Tower tu kwa mbali nikiwa naenda KivukoniBandari kubwa mkuu.
Kuna Water front,Puma, namba tatu(TPA),Bima,namba nne,kwa mo,UDA,TICS(mama lishe) TRH,Malawi cargo, East coast,Mofed, alafu Kuna bandari geti la inakoingilia mizigo ya kwenda comoros,Zanzibar na TPA Tower.
Sijui unazungumzia bandari sehemu gani Kati ya hizo.
Huko utafika tu, umri badoMloganzila, Mabwepande napasikia tu
Za jioni
Miaka 20 Dar sijawahi kufika maonesho ya Sabasaba.
Wapi haujawahi kufika au unapasikia kukaa kote Dar?
Mbopo napasikia.
Kina sehemu inaitwa king'ong'o kwa kweli hapa hapana sijawahi kufika.
Kijichi.
Kivule.
Jamaa alijiona spesho sana kwenye hii ardhi, kumbe tunapita tu na sasa kashapitaZamani tulikuwa wageni wa mikoani wakifika tulikuwa tunawapeleka kutembea posta,magogoni na ferry wakapande pantoni,ila tangu alipoingia Magufuli wakaziba zile fence na ulinzi mkali. Hatuwaoni tena tausi na wanyama wa mule ndani.
Wewe labda ndio ujishangae narudia tena dar es salaam ndio mkoa mdogo kuliko mikoa yote tanzania bara usichanganye mambo elewa kama nilivyo andika kama hujui uliza wenzio ulio karibu naoUzi ushavamiwa na wamkoani