Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Attachments

  • Screenshot_20230709-005422_Instagram.jpg
    Screenshot_20230709-005422_Instagram.jpg
    78.6 KB · Views: 24
Za jioni

Miaka 20 Dar sijawahi kufika maonesho ya Sabasaba.

Wapi haujawahi kufika au unapasikia kukaa kote Dar?

Mbopo napasikia.

Kina sehemu inaitwa king'ong'o kwa kweli hapa hapana sijawahi kufika.

Kijichi.

Kivule.
Kigamboni sijawahi kufija na sijui kama ntafika, labda itokee emergency
 
Back
Top Bottom