nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
- Thread starter
- #81
Sijawahi kufika naslkia kuna nyani hukoAhahahah karibu mpiji
Sijawahi kufika naslkia kuna nyani hukoAhahahah karibu mpiji
Na pale haujafika kweliMagogoni Ikulu
Buza nilienda mara mbili, nilipenda hamna mlundikano wa watu na nyumba zimejengwa kwa mpangilio na watu wana maeneo makubwa sana.Tandale,vitongoji vya vingi vya ubungo,mburahati,kigogo,mwananyamala,kinondoni panasubiri Sana kwa Buza kwa uzuri wa mijengo na barabara. Buza ni kuzuri hayo maeneo hayatii pua.
Bandari kubwa mkuu.Bandarini sijawahi fika.
DuuhNjia kama njia (Road)🤣🤣 nimepita this year
Daah hiyo barabara ina vumbi balaaMm ntakuwa na root yangu na mrembo ya kwenda mpiji magohe,,we we pambana na hali mzee Elfu Saba si Hela ya kuonga mademu wa uswahilini
Pazuri sana mm nilikuw napita kila siku nikitoka kazini ili nione taus af nichungulie ofisi ya waziri mkuu pazuri sana sijawai ingia ndani ila nimekuona kwa nje iyo siku gets likikuwa wazi jioni wanafunga njia sasa nilitaka kufosi kupita siku iyo wanajeshi wakataka nizingua ikabidi nizungukeMagogoni Ikulu
Ahahahah karibu sana sio wengiSijawahi kufika naslkia kuna nyani huko
Bandari yote mkuu.Bandari kubwa mkuu.
Kuna Water front,Puma, namba tatu(TPA),Bima,namba nne,kwa mo,UDA,TICS(mama lishe) TRH,Malawi cargo, East coast,Mofed, alafu Kuna bandari geti la inakoingilia mizigo ya kwenda comoros,Zanzibar na TPA Tower.
Sijui unazungumzia bandari sehemu gani Kati ya hizo.
Wanajeshi watu poa Sana.Unatak nirudi nimebebwa naogopa wanajeshi mimi
Mh atakama mm na mwanajeshi tofautiWanajeshi watu poa Sana.
Watu wakiwa hapo au hata ile beach yao nyingine ya kigamboni inaitwa Rongoni Beach panakuwa ni sehemu salama Sana. Hakuna fujo Wala ujinga.
Ahahaaha unatusema sioJuzi nimefika sehemu inaitwa Mpiji magohe aisee kule sio dar ni mkoani.Hata watu wake wamekaa mkaoni mkoani eti kule ni dar nilichoka.
Oyaaa weee kule sio poaAhahaaha unatusema sio
Hata mzee kikwete siku alipoenda huko kwa mparange alishangaa Sana. Nadhani ilikuwa mwaka Jana au mwaka juzi.Nilipofika tuu Dar route ya kwanza, ni kupaona huko Buza kwa mpalange.
Nilikuta ni sehemu moja nzuri tuu.
Kaka ukiwa na 50000 uinjyo kule serenget 7000 Martin rose 110000 grandmalt 8000Wavuvi Kemp aliyefika atupe information
😂 😂 ni kweliiSamaleko
Nishampa sema menu sina kweny simu ningempa ajionee kama anajiwezaBia elf 7/8
Mwachiluwi mpe mwongozo