Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Buza nilienda mara mbili, nilipenda hamna mlundikano wa watu na nyumba zimejengwa kwa mpangilio na watu wana maeneo makubwa sana.
Exactly.

Siku uje kwetu fun city pia kutembea. Kwa wewe kiingilio itakuwa bure,ila ukija na Depal atalipia. [emoji3]
 
Back
Top Bottom