Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

We si unaona kila mkoa una gari za kuja Dar?

Sasa unataka wakifika mjini wakaponee wapi mkuu? Ndiyo unakuta wanaenda chimbo,mwananyamala,Riverside, buguruni kimboka,shugarey,tandika na Sudan kwa kina inshomile. Huko ukitoa buku kumi tu alafu mida ya saa tano au sita ukamwomba uangushe hadi morning uhakika.

Imagine unatoa afkumi alafu unalala na utelezi hadi asubuhi alafu chumba chake.
Maisha mororo kabisa hayo.
 
Hahaha, warembo mpaka akupe kipochi umehangaika.
Na gharama umetumia.
Mkiingia kwa bed sometime ubembeleze tena, sometime ukute ni gogo.
Mara kimoja kinatosha.
Katikati hapo kunakuchatshana, kupigiana simu. Usumbufu tuu

Ila dada poa, anakuita, mnaelewana bei, mnaingia chocho unapiga chap.
Hiyo unasepa kwenda kupumzika au kujenga taifa.

BTW, Shortcut is harmful.
" shortcut is harmful "

Hivi huwa wanaruhusu kutombwer kavu?
 
Sijamaanisha ukubwa wa eneo la mkoa bali ukubwa wa jiji...

Bila shaka utaelewa nikiandika hivi...
Bado dar ndio jiji dogo kuliko majiji yote tanzania kijiografia ila ni jiji lenye watu wengi na miundombinu mingi kulingana na eneo lake na hii ni kwa sababu tu Dar es salaam ni business centre kutokana na uwepo wa bandari.
 
Za jioni

Miaka 20 Dar sijawahi kufika maonesho ya Sabasaba.

Wapi haujawahi kufika au unapasikia kukaa kote Dar?

Mbopo napasikia.

Kina sehemu inaitwa king'ong'o kwa kweli hapa hapana sijawahi kufika.

Kijichi.

Kivule.
Mbopo
Homboza
Saku
 
Kwanini usijikague kabla hamjaagana.

Kwani utavaa suruali tu na kuondoka bila kujikagua?
Mkuu,

Ukienda kutoa nyege kwa Malaya unakuwa na wenge maana pale siyo guest Wala home. Hauwi comfortable.

Mtu mnainamishana hadharani unategemea utapata muda wa kunikagua kweli?
 
Kama Kuna sehemu Dar sipajui basi Ni kwenye miji mipya huko pembeni ya mji labda. Huo mji Nimezurura Sana .

Mbopo,kigamboni buyuni (huku Kuna siku nilienda kutembea nikafika kimbiji km zaidi ya 40 kutoka ferry nikauliza nakaribia buyuni? Nikajibiwa bado Sana,nikageuza),kivule sijafika na miji inayoanzia ilipoishia madale na goba,huko mbele sipajui.
Unapenda kuzurula😀
 
Bado dar ndio jiji dogo kuliko majiji yote tanzania kijiografia ila ni jiji lenye watu wengi na miundombinu mingi kulingana na eneo lake na hii ni kwa sababu tu Dar es salaam ni business centre kutokana na uwepo wa bandari.

1,350 kilometa za mraba za ukubwa wa jiji la Dar...

184 kilometa za mraba za ukubwa jiji la Mwanza...

Nimekuwekea list ya majiji mawili makubwa Tanzania kijiografia hapo ni 1 & 2...

Huwa nikiandika JF mara nyingi huwa nina reference:
Historia | Mwanza City Council
 
Mbagala , yombo , pugu , kinondoni shamba , uwanja wa fisi , tabata , na sehem nyingi
 
1,350 kilometa za mraba za ukubwa wa jiji la Dar...

184 kilometa za mraba za ukubwa jiji la Mwanza...

Nimekuwekea list ya majiji mawili makubwa Tanzania kijiografia hapo ni 1 & 2...

Huwa nikiandika JF mara nyingi huwa nina reference:
Historia | Mwanza City Council
We jamaa wewe uko sawa kweli? hizo reference zako ni za vijiwe vya kahawa au mbege?🤣🤣🤣

Mkoa wa mwanza kwa ujumla una ukubwa 25,233km² ambapo eneo la ardhi kavu lina 11,796km² na eneo la maji lina 13,437km²

Mkoa wa Dar es salaam una jumla ya 1800Km² ambapo ukubwa wa 1394 km² ni eneo la ardhi kavu na 406 km² ni eneo la maji na visiwa, Yaan haifikii hata robo ukubwa wa eneo la ardhi kavu ya jiji la mwanza hiyo reference yako umeitoa wapi wewe?

Na kingine unacho takiwa kujia nikwamba eneo la jiji la dar es salaam ni ilala pekee
 
Wote tumeandika tuliyoandika...

Wanaotusoma wataelewa yupi yupo sahihi na yupi anaweka takwimu za vijiwe vya kahawa...

Jumapili/jumamosi njema popote ulipo...
 
Back
Top Bottom