Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Ahahahh sasa nahama nahamia.mbweniOyaaa weee kule sio poa
Ahahahh sasa nahama nahamia.mbweniOyaaa weee kule sio poa
Lakini niulize, mbona herufi kubwa?😂 😂 ni kwelii
sipajuiKwa mama kibonge,kanisani,
Mbona Bei ya kawaida au kwa vilw mimi si mnywajiBia elf 7/8
Mwachiluwi mpe mwongozo
Huko ni dar mkuu sio mpijiAhahahh sasa nahama nahamia.mbweni
Hatapaweza huyo,sisi wa kienyeji tukienda ushuani kulivyopoa tunaona kunaboa,tumezoea hekaheka.Mbweni kwa washua kule nikimpeleka atagoma kurudi uswazi kwao huyo[emoji28]
kuna namna ya kupataja kuonesha msisitizoLakini niulize, mbona herufi kubwa?
Kwani umesikia sisi vipofu??😂
Ahahaah nahama nahamia mbweni nahama mpijiHuko ni dar mkuu sio mpiji
Hivi huko ushuani huwa wana wajumbe wa nyumba kumi na wao?Hatapaweza kuyo,sisi wa kienyeji tukienda ushuani kulivyopoa tunaona kunaboa,tumezoea hekaheka.
Kule ni mageti na majirani mnajuana kwa namba za magari tu.
Zamani tulikuwa wageni wa mikoani wakifika tulikuwa tunawapeleka kutembea posta,magogoni na ferry wakapande pantoni,ila tangu alipoingia Magufuli wakaziba zile fence na ulinzi mkali. Hatuwaoni tena tausi na wanyama wa mule ndani.Magogoni Ikulu
Wakati niko primary nilikua na rafiki baba yake alikua anafanya kazi ikulu na walikua wanaishi humo ndani.Pazuri sana mm nilikuw napita kila siku nikitoka kazini ili nione taus af nichungulie ofisi ya waziri mkuu pazuri sana sijawai ingia ndani ila nimekuona kwa nje iyo siku gets likikuwa wazi jioni wanafunga njia sasa nilitaka kufosi kupita siku iyo wanajeshi wakataka nizingua ikabidi nizunguke
kaka unaupiga mwingi hadi hukoNjia kama njia (Road)🤣🤣 nimepita this year
Hongera san nataman kuingia mule ndaniWakati niko primary nilikua na rafiki baba yake alikua anafanya kazi ikulu na walikua wanaishi humo ndani.
Tulikua tunaenda sometimes Ila getini unakaguliwa mno utafikiri umebeba bomu.
Hahaaa tunaona hapana amsha amshaHatapaweza kuyo,sisi wa kienyeji tukienda ushuani kulivyopoa tunaona kunaboa,tumezoea hekaheka.
Kule ni mageti na majirani mnajuana kwa namba za magari tu.
Mjomba yako yupo wapkaka unaupiga mwingi hadi huko
atakuwa na wanae kina chino wanakula majaniMjomba yako yupo wap
Ni jina tu baya ila kwa mparange na vitongiji vya buza ni Kati ya maeneo yaliyojengeka Sana kuliko sehemu nyingi sana maarufu zenye majina ya kuvutia.
Mitaa yote ina lami na inawaka taa usiku Kama ulaya. Nyumba Kali,Bei nafuu na access ya kufika sehemu nyingi za mji Kama kawe,makumbusho na CBD.
Hahaa nenda tu, ukifika getini unawaambia umeenda kutoa pongezi kwa mama kwa kazi nzuri anayofanya😅Hongera san nataman kuingia mule ndani
Unalea mtoto vibayaatakuwa na wanae kina chino wanakula majani