nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
- Thread starter
- #21
Yah,Kubwa kwa kujengeka.
Km 60 kila upande kuna watu wanaishi
Sawa sawa na morogoro yamejaa mapori tu.
Yah,Kubwa kwa kujengeka.
Km 60 kila upande kuna watu wanaishi
AI see...posta umefikaMasaki na osterbay napaona tu kwenye kioo
Kwa mama kibonge,kanisani,KWA MPALANGE
Hajapata malaya wa kueleweka hukoMwalimu wangu wa udsm aliwahi kuniambia hawezi kufika Mbagala kwa sababu hakuna kitu cha kumpeleka huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia africana ,mtongani ,bahari beach ,kunduchi AI see...Kundu chi
Kanda hiyo napajua angalau hata kwa kupita. Tuseme tu Dar naijua wilaya ya Kinondoni na Ubungo tu.Umemaliza kwa dharau uswahilini.
Oysterbay,masaki ,msasani haujawahi kufika
SamalekoKWA MPALANGE
🥱🥱🥱🥱🥱HATA kuangalia mgonjwa tuMloganzila, Mabwepande napasikia tu
Mbona.hakuna shida kuzuri tuSiku Nikifika kwa mpalange niiteni mbwaa
Kabisa natamani sans kufika bahar beachKuanzia africana ,mtongani ,bahari beach ,kunduchi AI see...
Inabidi ufike
Kuna hospitals nyingi sana Dar🥱🥱🥱🥱🥱HATA kuangalia mgonjwa tu
Shemeji hakilazwa hope utafika?Kuna hospitals nyingi sana Dar
Ni jina tu baya ila kwa mparange na vitongiji vya buza ni Kati ya maeneo yaliyojengeka Sana kuliko sehemu nyingi sana maarufu zenye majina ya kuvutia.Siku Nikifika kwa mpalange niiteni mbwaa
Aisee itabidi ufunge safari hata kama hauna plan tafuta kademu kamoja ka.hukoKabisa natamani sans kufika bahar beach
Njia kama njia (Road)🤣🤣 nimepita this yearKWA MPALANGE
Watu wanapachukulia kama Tandale ,,,kwa TumboNi jina tu baya ila kwa mparange na vitongiji vya buza ni Kati ya maeneo yaliyojengeka Sana kuliko sehemu nyingi sana maarufu zenye majina ya kuvutia.
Mitaa yote ina lami na inawaka taa usiku Kama ulaya. Nyumba Kali,Bei nafuu na access ya kufika sehemu nyingi za mji Kama kawe,makumbusho na CBD.