Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Sehemu gani Dar haujawahi kufika?

Nimeishi Dar miaka 6 hivi ila sihemu ninazozifahamu ni kanda hii ya kuanzia ubungo kuja sinza kinondoni kidogo, mwenge, mikocheni, makongo, kimara, goba mbezi louis kwenda mpaka kibamba.

Simply maeneo mengine ya Dar siyajui na kama ni kupita tu nisehemu chache sana huwa nasikiaga majina tu ya huko uswahilini.
 
Umemaliza kwa dharau uswahilini.

Oysterbay,masaki ,msasani haujawahi kufika
 
Kama Kuna sehemu Dar sipajui basi Ni kwenye miji mipya huko pembeni ya mji labda. Huo mji Nimezurura Sana .

Mbopo,kigamboni buyuni (huku Kuna siku nilienda kutembea nikafika kimbiji km zaidi ya 40 kutoka ferry nikauliza nakaribia buyuni? Nikajibiwa bado Sana,nikageuza),kivule sijafika na miji inayoanzia ilipoishia madale na goba,huko mbele sipajui.
 
Back
Top Bottom