Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

Ni muda sasa shule zifunguliwe tuondokane na hizi mada za watoto humu ,
Idadi ya viewers nao pia ni uzi ???
Mods fanyeni jambo
Mkuu Punguza stress. Unajua hili ni jukwaa gani?
Kama unahitaji mada zako za mbususu nenda huko jukwaa la MMU
🚮🚮
 
Wewe ni jinsia gani na unamiaka mingapi?
Huu sio muda wa kuhesabu ststus views ni muda wa mapambano kijanaa.
 
Mkuu bado una save contacts kwenye SIM card?
Screenshot_20250414-103049.png
 
Back
Top Bottom