KaribuMara ya mwisho kupost status ni 2023
Nasoma comments
Think Big.Haya benki una sh ngapi?
Screensĥot balance yako utume
Nimesoma jukwaa lakini kwa hii post ni utoto pro max.Mkuu unajua hili ni jukwaa gani lakini🤣🤣
Yani kuna mtu hadi kapewa kesi ya uhaini anaowapigania wenyewe ndio hawa wanaoringia status views.
Asee.
🤣🤣Nimesoma jukwaa lakini kwa hii post ni utoto pro max.
Okay sawaNi kufurahisha genge tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yani kuna mtu hadi kapewa kesi ya uhaini anaowapigania wenyewe ndio hawa wanaoringia status views.
Asee.
idadi ya view nayopata(ga)!Kipi kikusikitishaçho?
Mbona wengi sana hawakuchoshi mkuu..?😂Kuna mtu niliwahi kumuuliza kwa nn ana watu wengi kwenye sim card yake akanijibu ili awe na wasap views wengi, binafsi nna watu kama 150+ na hapo nawaona wengi mno
Kutangazia biashara. Anaweka bidhaa zake status kutafuta wateja ko huomba watu wasevu namba ili waweze kuview statusHizo kitu huwa zina faida gani??? Kiasi kwamba mtu anakuomba urafiki ili muwe mna-vyuana
Wengi mno, natamani sana niwe na chini ya 100 ila naona imeshikdikanaMbona wengi sana hawakuchoshi mkuu..?😂
Kumradhi bro hapo ni vyuana au vuana au ni yote kwa pamoja?Hizo kitu huwa zina faida gani??? Kiasi kwamba mtu anakuomba urafiki ili muwe mna-vyuana
Mkuu bado una save contacts kwenye SIM card?Kuna mtu niliwahi kumuuliza kwa nn ana watu wengi kwenye sim card yake akanijibu ili awe na wasap views wengi, binafsi nna watu kama 150+ na hapo nawaona wengi mno
Twende na zote bro 😁Kumradhi bro hapo ni vyuana au vuana au ni yote kwa pamoja?