Hahaha kwa upande mwingine imesaidia maana amefanya bonge la u turn sasa ni mwanaharakati rasmi kupitia insta. Angefanikiwa kuacha matusi ingekuwa poa sanaUturn ilikua rahaa. Mashauzi mwanzo mwisho. Serikali imetuharibia Mange wetu.
Au mbele za watu anakuambia sikupendi sababu una 'Kibamia',je utavua ngua kuuthibitishia umma kuwa anadanganya.Ameshaset standards waache wanawake wagombane ukiingilia utaaibika. Hivi mtu akikusingizia wewe shoga unajiteteaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwaza hivyo tu maneno na mademu sipendi kabisa
Hahaaaa ww mwenyewe unamfatilia ulijuaje baada ya talaka hayupo sawa km na ww siyo sheikh tito .......usipanik brooookama kuna mtu mzima na akili zake anamtilia maanani mange kimambi ana walakini kichwani kwake.
mimi nafikiri baada ya taraka huyu dada hayuko sawa mpaka sasa.
mambo ni moto , moto, lakini si anasema kweli ?Kwenye u-turn blog nakumbuka alimtukana mama wa watu enzi ndo instagram inapamba moto hadi akajiua,funny enough akawa anaendelea kumchamba marehemu!huyu ni wakuepukwa kama ukoma yaani nashangaa sana wanaojitoaga ufaham kupambana naye.
Kamuulize jamaa , unabisha mi nikadhani uliwahi kumgegeda huyo Mnuka nukaHapana sio mbabe anachofanya ni kukupakazia habari za uongo na kumchafua tu mtu,hebu kumbuka yule alieambiwa na ananuka papuchi,ina maana yule anaemuoa saiv anavumilia tu? Me siamin habari zake zozote zile najua ni uzushi tu
Achana nao yani kuna mi watu minafiki ajabu yani huyo huyo kila siku anakazi ya kuuliza eti Mange amepost nini au muda mwingine anajisemea kimoyo moyo bora mange katusemea. Be realistic kama kuna sehemu mtu anafanya vzr unampa credits zake. Mbona kuna watu wanasoma vitu vyake na kusmhauri aache matusi na sio kuona kila kitu anafanya vibaya.Halafu na wewe unajiunga kuufatilia... Mxiuuuuu... Hivi aliyekwambia kila mtu anaenda kazini asubuhi ni nani? Usiishi kwa kukariri
kutokana na haya yanayo wakumba watu kutoka kwa huyu Dada ,nimejfunza kuwa katka dunia hii usimwamini mtu maana IPO siku atamwambia MANGE mambo yako yote
Wale wasiomani kila anachopost Mange nadhani wao wana matatizo makubwa. Ni watu ambao labda wanakua na tabia ambazo dada Mange anasema au kukosoa au na wao ni wahanga kwa namna moja au nyingine. Haiingii akilini mtu anapost kero mbalimbali na ushahidi juu bado mtu anasema hamuamini thats insane. Inamaana kila anachopost ni uongo??
Huo uandishi mfano hiyo 'kilaxa' hapo,ulizaliwa enzi Mulugo ni waziri wa elimu.Mtatiro kumbe na wee ni kilaxa namna hiyo
Wee mwache tu kuna siku tampelekea moto bila dawa ya jicho.... Maamiti..!Achana nao yani kuna mi watu minafiki ajabu yani huyo huyo kila siku anakazi ya kuuliza eti Mange amepost nini au muda mwingine anajisemea kimoyo moyo bora mange katusemea. Be realistic kama kuna sehemu mtu anafanya vzr unampa credits zake. Mbona kuna watu wanasoma vitu vyake na kusmhauri aache matusi na sio kuona kila kitu anafanya vibaya.
Makonda mwenyewe anajua kuwa mange ni kisiki cha mpingo ndio hakumjibu hata mara moja ista wala kwa waandishi wa habari sasa nashangaa shehe titto na kiherehere chakeKama alishindwa kumdondosha Makonda kwa mashambulizi makali sana kila siku kwa miezi 3,na hili nalo litapita tu
Lakini aljua kumpeleka puta walahi[emoji23]Kama alishindwa kumdondosha Makonda kwa mashambulizi makali sana kila siku kwa miezi 3,na hili nalo litapita tu
Bila Mange tusingejua kama mzee baba ana vyeti fekiMakonda ni tofauti na shehe.Shehe anatuongoza ktk ibada za kumuelekea mungu.
Naona kwa mbali mwisho wa shehe BAKWATA ndo umefika.
Hahahaaaaaa msameheWee mwache tu kuna siku tampelekea moto bila dawa ya jicho.... Maamiti..!