Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,622
- 167,441
MangeKimambi ndio fagio la chuma, please hide my IDukitaka ufahamike na maovu yako yote gombana na Mange Kimambi, hasa wote waliopo kwenye ngazi ya uongozi nilbaini kuwa 99.9% ya viongozi tulio nao tulio waona ni wazuri na wasafi kumbe sio wamchokoze manga kama wao ni jasiri na wana jiamini ndio tutawafahamu vizuri.
Kama alishindwa kumdondosha Makonda kwa mashambulizi makali sana kila siku kwa miezi 3,na hili nalo litapita tuMambe kimangi?
Huyo sikuhizi ameamua kimdharau
Naona mzee babaAliyemdharau mwenzake ni nani Faru John au Mange?
Makonda ni tofauti na shehe.Shehe anatuongoza ktk ibada za kumuelekea mungu.Kama alishindwa kumdondosha Makonda kwa mashambulizi makali sana kila siku kwa miezi 3,na hili nalo litapita tu
Bujibuji tunahitaji kukufahamu kwa undani ebu mchokoze Mange Kimambi ili tunyapie taarifa zako na tukufahamu kwa undani.MangeKimambi ndio fagio la chuma, please hide my ID
Alafu akizungumziwa jina lake lazima waanze kwa kulitaja tofauti kana kwamba hawamfaham vizur anaitwa naniWanachonifurahisha ni pale wanapojifanya hawamfuatilii kumbe macho kodo muda wote!
Mkuu mbona umetukimbia kule jukwaa pendwa, tatizo nini?Teh teh teh..
Mtaka nyingi nasaba hupatwa na mwingi msiba"Mchuma Janga....!"
Makonda ni tofauti na shehe.Shehe anatuongoza ktk ibada za kumuelekea mungu.
Naona kwa mbali mwisho wa shehe BAKWATA ndo umefika.
Nimemiss zile show off zake za u turn.Hajawahi kuwa sawa. Ana huu uchizi siku nyingi tu sema wengi mlikua hamumjui. Wale wa uturn tunamjua vizuri. Sasa bado enzi hana blog anashindana na wababa wa mjini. Sema u turn alikua hatukani viongozi alikua anadeal na wauza madawa na wanawake zao.
Uturn ilikua rahaa. Mashauzi mwanzo mwisho. Serikali imetuharibia Mange wetu.Nimemiss zile show off zake za u turn.