Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

Sasa si fununu tena! Ni bayana..!!!

... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA AKINA KASIMU...!!!
Hutajwi kwa wadhifa wako
Hutajwi kwa cheo chako
Hutajwi kwa ubini wako
Hutajwi kwa mamlaka yako... Bali unatajwa kwa jina lako la kwanza!...Msg is clear n loud..!

Mteule mtukuka naye kasagiwa kunguni mbele ya kadamnasi....Jobo kasemwa, kasimangwa na kutukanwa kiutu uzima lakini kwa njia ya kudhalilishwa kabisa...Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona mtu mkubwa wa wadhifa na cheo kikubwa akisemwa kama mtoto mdogo aliyekosea sana mbele za wageni.. Kimsingi amemalizwa..!

Fukoto huko ndani lilikuwa kubwa lakini hatimaye limepata pa kupumulia... Kati ya mengi aliyoambiwa kubwa ni usumbufu wa KIJANI mwenzake! Hajayajwa lakini 1 + 1 = na 11 (JoKa)?
Kipenga kimepulizwa rasmi..sio fununu tena, makundi yako bayana, mpasuko uko bayana...Mbio za 2025 zimefichuliwa rasmi...!
Pengine hekima ingewaongoza wote wakae kimya wasitoke hadharani.. Waitane huko huko ndani lakini imethibitika hilo halingewezekana kutokana na fukuto linalotokota huko kijanini ..
Kifuatacho sasa ni moto kukolezwa na chawa wa kila upande...kama bado hujajua hali ilivyo mbaya subiri wapate msiba wa mwenzao...
Mshtuko wangu ni kitu kizito alichopigwa nacho katelephone! Ni mipasho ya viwango vyake kwa Jobo... Wallah bimkubwa anajua kusimanga!!! Unaweza kuumwa kabisa

Sasa tusubiri season 3...!
giphy.gif
We fala kweli kweli. Aitwae kwa jina la kwanza ni close friend.
 
Kapanic kwa issue ndogo sana. Lissu na Chadema wakianza mashambulizi sijui itakuwaje!
Hii ya sasa naona mama amejiongezea maadui ila imeisha wapinzani
Kusema kweli sijawahi kuona hali ya namna hii kwa watu wakubwa!..
Au ndo kazi ya dipu siteti..??

Namna alivyoitwa katelephone nimeitazama kwa jicho jengine aisee!.
Bi mkubwa alishika vazi lake halafu akaliweka sawa akaisogelea Mike vizuri... Ki body language hichi nilikielewa mambo yanapasuka Sasa😂
Amewamaliza hadi akina maduhu
 
"Wakati mmenikabidhi huu mzigo, nilianza kusikia lugha zinasema serikali ya mpito, serikali ya mpito bungeni huko kwa kina Kassim. Nikarudi kwenye Katiba kuangalia serikali ya mpito imeandikwa wapi...sikuona. Nikasema 'anhaa, twendeni.'"- View attachment 2068733
Wakamwona Huyu ni kama wake zao majumbani one walivyofumuliwa...afadhali ndugai alitegemea ila kaletephone ndo k
Wishart habari yake....mamankacheza draft nzuri sana
 
Kusema kweli sijawahi kuona hali ya namna hii kwa watu wakubwa!..
Au ndo kazi ya dipu siteti..??

Namna alivyoitwa katelephone nimeitazama kwa jicho jengine aisee!.
Bi mkubwa alishika vazi lake halafu akaliweka sawa akaisogelea Mike vizuri... Ki body language hichi nilikielewa mambo yanapasuka Sasa
Kiukweli sijajua kamkosea nini ils ikiwa tatzo ni kusema ya mpito tu ndio umtaje mtu kwanjina lake sio poa kbsa inaonekana ni kama mtu anatqftiwa sababu ili watu waliokuqa karibu na mzee Magu wote waonekane wahovyo na waondoke
 
Back
Top Bottom