Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,100
- 2,710
Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi?
Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge.
Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse.
Nani kama jembe,jiwe, bulldozer? Mfupa uliomshinda fisi Mama Samia anauweza?
Magufuli amewatimua mafisadi,lakini mafisadi wameongezeka badala ya kupungua.
Amekuwa Makamu wa Rais miaka mitano lakini watu hawamfahamu Mama Samia. Huo so ndio ilikuwa wakati mzuri wa kujitambulisha kwa watu?
Magufuli alifanya kazi ya kutukuka sehemu nyingi kabla ya kwenda Ikulu.
Nasema tena, noliposikia Magufuli amelazwa hospitali nilisema" naomba ainuke pale isije ikatokea balaa ya Mama Samia kuwa Rais"