Yvonna Kamuntu, Ni mtangazaji mzuri Sana ambaye angeweza kusimamia brand ya sauti yake, lakinj aliteleza kidogo baada ya kuiga namna anayotumia Salim Kikeke kuongea, Kama anasitasita hv, wadau walimsema kwenye Uzi mmoja hivi Sa sijui Kama ameacha hiyo namnaYule mdada wa Azam anajitahidi sana...Napenda anavyohoji kwa kujiamini na kutawala discussion bila kuelekeza majibu...Mwanzo nilidhani katokea BBC kume Star TV...yuko vizuri kwa kweli...anawabana fulani huku anawacheka wanavyojikanyaga...jina lake Komuntu...
Mkuu kwani mimi nime-type sentensi nzima ama?In a single profession and not professional
Wewe unamrekebisha mwenzako kwenye typos, wakati wewe unakosea kwa grammar.
haha
We utakuwa unapenda Tu ubishiBuhohela sio mwanzilishi wa kipindi hicho ,halafu pia Zembwela sio wa kumfaninisha na Musa ,Zembelwa uswazi kaiweza kweli kweli
I can see, You can be jack of all trades but master of none..
U must be genius
...hapana mdau, kweli tunajifunza Na wala sijacheka kudharau hapana, nilivutiwa Tu Na Ile correction.Mkuu kwani mimi nime-type sentensi nzima ama?
Na pia sijaona cha kukuchekesha hapo,wote tunajifunza.
Well saidHata mda wa kuangalia hicho kipindi sina, Mahela amekuwa kada wa lumumba
Mkuu kwani mimi nime-type sentensi nzima ama?
Na pia sijaona cha kukuchekesha hapo,wote tunajifunza.
...yeah, very true yani, kila mboga unataka uonje, ukiambiwa elezea ladha unaduwaa...I can see, You can be jack of all trades but master of none
Mkuu Buhohela Yuko Ikulu?Kweli yule sijui Simiyu sijue Semuyu alikuwa anajitahidi kidogo na Buhohela wa Ikulu.
Tatizo huyu Sam baada ya kuona mwenzake Buhohela kapewa shavu Ikulu basi anadhani na yeye kwenye Dakika 45 akiitetea Serikali basi ataitwa jumba jeupe.....Bure kabisaaaaaa
Anaingilia ingilia mahojiano,anauliza swali halafu anajijibu mwenyewe yaani ni vurugu tupuuuu....Hawa vijana wa Cameroon tabu tupu aseee.
Yule Simiyu mi alikuwa ananiacha hoi uvaaji wake...Utamkuta ana kiatu kirefu kama chopeo,yaani jamaa ana mguu hatari...juu anavaa tai ya kachumbari ndefuuuuu inafika magotini na suruali ya "selebresheni" kama mcheza show wa Madiluuu,huku shati over size kubwaaaaaa...Au koti la kushona kwa fundi Juma pale Mtaa wa Msisiri Kinondoni....Dressing Code ya Simiyu ilikuwa balaaaa!!Hata sijui yukwapi jamaaa!!
Ulivyosema lack of specialisation In a single profession ulikuwa sahihi Sana, yaani umeona mbaliWHY...?
Anailinda nchi nasikiaMkuu huyo sasa ndio nguli wa kipindi chenyewe. Sijui bhana kenda wapi mtaalam yule...
Jamaa yuko poa sana Sam MahelaHuyu jamaa vipi jamani?! Nimefuatilia kipindi cha DK45 ITV na leo mgeni ni N/Waziri wa Muungano na Mazingira na mada ilikua ni Mazingira.
Huyu Sam Mahela, kama kawaida yake kuingilia mzungumzaji wakati anatiririka vizuri kwenye mada husika. Anageuka kuwa mzungumzaji Mkuu, anatoa maoni yake Mfano...."Mimi/sisi waandishi wa habari tumefanya tafiti na ni kweli/sio kweli kwamba Kuna uharibifu wa Mazingira"..... Sasa kama ulikua unajua ukweli/uongo wa jambo ya nini kumwalika mgeni studioni wakati ulikua na misimamo yako kwenye topic husika?
Mfano alipokua akiagana na N/W huyo, akawa anamsisitiza "Fanya kazi, umesikia, fanya kazii, umepewa kazi ufanye, sawa... maana hata mm hapa ITV napiga kazi"..... Hapa ni kiherehere tu cha huyu maana sio wajibu wake kumweleza hayo.
Nimekuwa nikifuatilia kipindi hiki lakini watu wengi wanakereka sana na huyu jamaa..... Atulie, atoe nafasi ya mgeni husika kusema na baada ya hapo maswali.
Mwanzilishi wa kipindi hiki na Buholela walikua wazuri sana sio kama huyu kijana.
Regina mwalekwa yupo BBC swahiliNadhani anaye bore zaidi ni ABD Mwapaya haswa kwenye kipindi cha Kiswahili siku za jumamosi. Yanini kuita wataalam wa lugha toka BAKITA? Aliyewezea ni Regina tuu na sijui siku hizi huu wapi
Acha zako Hard talk hawaogopi kuuliza maswali yanayoiudhi govtanachofanya sam mahela hizo ni trade craft za journalism ndugu yangu na si rahisi kwa wewe kuelewa ungepata kozi ya uandishi wa habari hata wiki mbili tu, nadhani usingekuja na thread ya namna hii. pia jaribu kutazama vipindi kama hard talk cha BBC utaona the way wanahabari wanavyofanya kazi yao kwa weledi mkubwa kama huyo sam mahela
Huyu jamaa vipi jamani?! Nimefuatilia kipindi cha DK45 ITV na leo mgeni ni N/Waziri wa Muungano na Mazingira na mada ilikua ni Mazingira.
Huyu Sam Mahela, kama kawaida yake kuingilia mzungumzaji wakati anatiririka vizuri kwenye mada husika. Anageuka kuwa mzungumzaji Mkuu, anatoa maoni yake Mfano...."Mimi/sisi waandishi wa habari tumefanya tafiti na ni kweli/sio kweli kwamba Kuna uharibifu wa Mazingira"..... Sasa kama ulikua unajua ukweli/uongo wa jambo ya nini kumwalika mgeni studioni wakati ulikua na misimamo yako kwenye topic husika?
Mfano alipokua akiagana na N/W huyo, akawa anamsisitiza "Fanya kazi, umesikia, fanya kazii, umepewa kazi ufanye, sawa... maana hata mm hapa ITV napiga kazi"..... Hapa ni kiherehere tu cha huyu maana sio wajibu wake kumweleza hayo.
Nimekuwa nikifuatilia kipindi hiki lakini watu wengi wanakereka sana na huyu jamaa..... Atulie, atoe nafasi ya mgeni husika kusema na baada ya hapo maswali.
Mwanzilishi wa kipindi hiki na Buholela walikua wazuri sana sio kama huyu kijana.
Sam anatatzo kubwa la kutofautisha kati ya mahojiano na riport, kunakipindi huwa nikimsikiliza naona kama kinyaa, anakuwa ndiye mwongeaji....Huyu jamaa vipi jamani?! Nimefuatilia kipindi cha DK45 ITV na leo mgeni ni N/Waziri wa Muungano na Mazingira na mada ilikua ni Mazingira.