sawa, asanteAcha zako Hard talk hawaogopi kuuliza maswali yanayoiudhi govt
enh aisee unajua sekta ya habari ni pana tofauti na watu wanavyoichukulia....ukiwa muandishi si lazima kila kitu ufanye wewe unaweza ukatangaza hayo mengine ukawaachia na wengine, unaweza ukaandika mengine ukawaachia wengine...sasa wabongo kutokana na ufinyu wa elimu wanataka kuonekana wao ni namba inayogawanyika kwa namba yeyote...at the end wanajikuta wanakosea sanaUlivyosema lack of specialisation In a single profession ulikuwa sahihi Sana, yaani umeona mbali
Thanks kanga and congr. to herRegina mwalekwa yupo BBC swahili
...haha, namba inayogawanyika Na namba zote, hii mbaya Sana Na haiwezekani unless huyo mtu Ni extraordinaryenh aisee unajua sekta ya habari ni pana tofauti na watu wanavyoichukulia....ukiwa muandishi si lazima kila kitu ufanye wewe unaweza ukatangaza hayo mengine ukawaachia na wengine, unaweza ukaandika mengine ukawaachia wengine...sasa wabongo kutokana na ufinyu wa elimu wanataka kuonekana wao ni namba inayogawanyika kwa namba yeyote...at the end wanajikuta wanakosea sana
Atakuwa anaiga wale waandishi wa kimataifa wanavyofanyaga... So anatakuwa kuwa wa kimataifaIcho ni kwel mkuu anauliza maswal mazur ila ndo ivyo wakat anajibiwa hamuachi anayejibu kumaliza lazma atamkatisha katisha tu
Ndio mkuu kanga Safari,jamaa yupo Ikulu Kitengo cha Kurugenzi ya Habari na MawasilianoMkuu Buhohela Yuko Ikulu?
jambo gumu sana hilo kuwa namba inayogawanyika kwa kila namba...mimi naona kuwepo na mkazo sana wakati wa kuajiri hawa watu wasichukuliwe tu ilimradi anajina kubwa wengi wanakosea sana...chanel za bongo kuna vipindi nadhani havizidi 3 ndo huwa naangalia ila vilivyobaki huwa nikiangalia kama nimekunywa supu yote inaisha tumboni maana wapo wrong ata mtoto anaweza akawakosoa....haha, namba inayogawanyika Na namba zote, hii mbaya Sana Na haiwezekani unless huyo mtu Ni extraordinary
Nina kwambia watanzania wengi huwa tunasema uongo sana na huwa tunachukia watu tuu.. Ukiangalia hicho kipindi utaona jamaa ana kiendesha vizuri tuu. Na kuhakikishi angekuwa ana muacha aongee yeye tuu wangekuja na thread hapa kuwa Mahela amepwaya ana zidiwa.Lakini wenyewe wataalam wa habari wanasema, ni lazima mwongoza kipindi uwe in-charge, kwamba huwezi kumwachia mgeni akajimwaga kama vile yeye ndiye anayeongoza kipindi? what are you guys talking about? Ni sawa na vile ambavyo watangazaji huwa hawawezi kumwachia mtu anayemhoji kushikilia mic! Mimi sioni tatizo kwa Sam Mahela, to be honest....
Kwa hiyo muholanzi kwako ndio mtu anaye weza kufikiri badala yako?Halafu twaambiwa kulipa kila mwezi ili kkuangalia vipindi kama hivi!
Mholanzi mnoja aliyeingia Tanzania miaka ya tisini na mwanzilishi Wa kituo cha kimkumanka alikuwa akishangaa watanzania kutumia mud mwingi ktk tv na FM radio akisema hakuna cha maana.
Ukisubiri watu waandike humu ndio ufanye itimisho hakika utapotoshwa sana.Nimeshtuka kidogo, kama wa itv ndiyo hivi wale wa clouds basi hawakupitia Hata kile cha ilala. Duhhh
Mnamchukia tuu huyu jamaa anajua kuhoji vizuri sana ..hutakiwi kumuacha mtu atawale unatakiwa kuwa moderator..Mkuu uko sahihi.
Huyu jamaa anahiyo tabia mbaya ya kukatiza wageni wake wanapookuwa wanashusha points.
Nakumbuka siku alipokuwa na Mch. Msigwa. Sikupfurahia kabisa tabia yake hiyo mbaya. N hasa mtu anapotoa maoniyanayotofautia na serikali au kuikososa serikali.
Ajirekebishe.
Wanamchuki Buholela kwakuwa huwabana sana kwa maswali uzuri watu wengi huangalia kipindi kwa hiyo hawawezi kutudanganya.Tangu siku Sam Mahela alipombana Msigwa kwa maswali magumu ambayo msigwa alionekana kuhangaika vijana wa UKAWA hasa chadema mnamchukia sana Sam Mahela.
Hizi chuki zenu hazina msingi wowote acheni jamaa afanye kazi
Wewe ni muongo sam yuko vizuri watu tunaona...Sio wote wanaomkosoa humu ni UKAWA....We mtie ujinga tu wakati wanaomtazama ndio wanaona muelekeo wa kipindi chake.....Yaani we Sam unafikiri unakosolewa sbb ya Msigwa??Kweli DSJ hampikiki
Ajifunze kwa Salim Kikeke? HahahhahaMahela ajifunze kwa watangazaji wa majuu kama SHAKA SARI mganda wa Voice of America.