








Buhohela sio mwanzilishi wa kipindi hicho ,halafu pia Zembwela sio wa kumfaninisha na Musa ,Zembelwa uswazi kaiweza kweli kweliuswazi ya zembwela na musa aliekwenda clouds uje tena hapa dakika 45 za emanuel buhohela na huyu sam utagundua waanzilishi walikuwa vichwa.
Buhohera baada ya kuambatana na JPM kwenye kampeni sasa yuko mawasiliano Ikulu ya JPM. Mimi niliishawahi kuandika hapa kwamba, Mahela hana uwezo wa kuendesha vipindi kama kile cha Dakika 45. Nina wasi wasi sana na kiwango chake cha elimu katika taaluma ya uandishi wa habari, itawasaidia ITV na yeye mwenyewe kama ataendelea kuripoti matukio yanayotokea huko mitaani. Na hata huko afunzwe zaidi namna bora ya kuripoti habari kwenye matukio yanayogusa hisia za watu wengi. Tuliona alivyokuwa akiripoti wakati wa uchaguzi mkuu, ambapo alikuwa aki-side na polisi wazi wazi kiasi cha kupotosha mtiririko mzima wa habari! Ni mtu ambaye huwa anaiathiri habari husika kwa kuingia katikati ya habari na kugeuka yeye mwenyewe kuwa chanzo cha habari badala ya kukiacha chanzo chenyewe kiiachie hiyo habari husika!Tatizo la Mahela anaamini Ni kuwa yupo oriented Sana Na masuala ya kisiasa, anatamani siku moja ateuliwe kupata nafasi fulani serikalini, Kama ilivyokuwa kina Betty Mkwasa, Na Leo tumemuina Gondwe,
Kama mnakumbuka kwenye kampeni za uchaguzi mwaka Jana, alishindwa kuwa neutral Kati ya polisi Na waandamanaji, akawa anakuwa upande wa polisi kitu ambacho wale waandamanaji wangeweza kumfanyia kitu mbaya.
Hiki kipindi kirudi Tu kwa Buohela.
Buhohela sio mwanzilishi wa kipindi hicho ,halafu pia Zembwela sio wa kumfaninisha na Musa ,Zembelwa uswazi kaiweza kweli kweli
Yule mdada wa Azam anajitahidi sana...Napenda anavyohoji kwa kujiamini na kutawala discussion bila kuelekeza majibu...Mwanzo nilidhani katokea BBC kume Star TV...yuko vizuri kwa kweli...anawabana fulani huku anawacheka wanavyojikanyaga...jina lake Komuntu...Aangalie funguka ya azam TV angalau atajifunza
ndio maana kuna siku nikaona akina Kitenge wanamhoji kuhusu timu za jeshi ila sikuelewa anahojiwa kama nani kwa sababu nilianzia na kuishia njiani.Ni captain wa Jw, any question sir?
Kwi kwi kwi...mtu anauliza swali hata hasikilizi jibu...yuko busy anachungulia desa lake for the next question...yani hayupo kabisa kwenye interview....hana hata interest na jibu ...anatimiza wajibu tu.........mara nyingi ukiuliza swali, unajua ni wakati gani umejibiwa, lakini muulizwa swali huwa hajui kama swali kalijibu hivyo huendelea kutiririka. hasa akiwa si mwana tasnia.
kwa hiyo, ni jukumu la muuliza swali kukatiza na kuendelea na mambo mengine..........Dk zenyewe ni 45. hii ni taaluma jamani!.
mpaka sasa huwa sijui kwa nini wachinjaji huacha nyama kwenye ngozi hadi baadaye unakuta wanaichuna tena na nyama yake ndiyo tunayouziwa kama iliyosagwa!
proffesional =professionallack of specialization in single proffesional matatizo yake ndio hayo
Nimecheka sana mkuu!Semunyu alikua mzuri ukimlinganisha na hao wengine ila km hakua akijiamini sana.
Na uvaaji nao jamaa ilikua cheche,anaweza kukupigia kiatu cheupe kama yai la kienyeji na soksi vya njano
Kwi kwi kwi...yule anajihoji mwenyewe...sawa na yule mzee wa Channel Ten , wa kipindi cha '' Je tutafika'' nae huwa anaingiwa na mihemko na kujisahau unakuta ni kama anamuongoza mgeni aseme nini !