Sam Mahela tena... Hivi ITV management hamyaoni haya?

"Mimi/sisi waandishi wa habari tumefanya tafiti na ni kweli/sio kweli kwamba Kuna uharibifu wa Mazingira".....sasa kama ulikua unajua ukweli/uongo wa jambo ya nini kumwaalika mgeni studioni wakati ulikua na misimamo yako kwenye topic husika?

Mfano alipokua akiagana na N/W huyo, akawa anamsisitiza"fanyakazi, umesikia, fanyakazii, umepewa kazi ufanye, sawa...maana hata mm hapa ITV napiga kazi".....hapa ni kiherehere tu cha huyu maana sio wajibu wake kumweleza hayo.
.
Sioni kosa hapo. Mwandishi kuna wakati lazima afanye kazi kama devil's advocate kwa njia ya maswali anayoyauliza. Yuko sahihi.
 
Huyu jamaa vipi jamani?! Nimefuatilia kipindi cha DK45 ITV na leo mgeni ni N/Waziri wa Muungano na Mazingira na mada ilikua ni Mazingira.

Huyu Sam Mahela, kama kawaida yake kuingilia mzungumzaji wakati anatiririka vizuri kwenye mada husika. Anageuka kuwa mzungumzaji Mkuu, anatoa maoni yake Mfano...."Mimi/sisi waandishi wa habari tumefanya tafiti na ni kweli/sio kweli kwamba Kuna uharibifu wa Mazingira".....sasa kama ulikua unajua ukweli/uongo wa jambo ya nini kumwaalika mgeni studioni wakati ulikua na misimamo yako kwenye topic husika?

Mfano alipokua akiagana na N/W huyo, akawa anamsisitiza"fanyakazi, umesikia, fanyakazii, umepewa kazi ufanye, sawa...maana hata mm hapa ITV napiga kazi".....hapa ni kiherehere tu cha huyu maana sio wajibu wake kumweleza hayo.

Nimekuwa nikifuatilia kipindi hiki Lakini watu wengi wanakereka sana na huyu jamaa.....atulie, atoe nafasi ya mgeni husika kusema na baada ya hapo maswali. Mwanzilishi wa kipindi hiki na Buholela walikua wazuri sana sio kama huyu kijana.
Kabla ya Buhohela alikuwa Suleiman Semunyu ktk kipindi cha dk 45
 
Maada za uchunguz na udukuz haziwez.anahoj huku nafsi ikimsuta kuwa anamkwaza Mgeni wa kipind.
Anaulza swali lenye mlolongo mrefu wa maneno adi dakka1:30.
Ana-intefere majibu!
Anakwepa kuulza maswali ambayo watu/wanaharakati/wachambuz weng wanapenda kupata majibu/misimamo ya serikal.
Pia anarudia rudia maswal yny jbu moja au maelezo ya aina moja!
 
Semunyu alikua mzuri ukimlinganisha na hao wengine ila km hakua akijiamini sana.
Na uvaaji nao jamaa ilikua cheche,anaweza kukupigia kiatu cheupe kama yai la kienyeji na soksi vya njano
Hahahaha unetishaa mkuu
 
Tatizo anakuwa kama anataka kumuiga mtangazaji fulani hivi hajiweki kama yeye inakuwa kama ana strugle kujiwekea identity yake kama yeye sasa anataka kuwa kama wale wajuu. Kuiga au kujifunza sio kubaya ila chukua vitu kidogo mwisho ubaki kama wewe. Be real. Kuhusu maswali ni wote tu Tz ni bado sana wakajifunze Hardtalk.
Your absolutely right Mkuu
 
Tangu siku Sam Mahela alipombana Msigwa kwa maswali magumu ambayo msigwa alionekana kuhangaika vijana wa UKAWA hasa chadema mnamchukia sana Sam Mahela.
Hizi chuki zenu hazina msingi wowote acheni jamaa afanye kazi
Mkuu tumsaidie kijana ajirekebishe, basi! Wala sio siasa hapa..
 
Kweli yule sijui Simiyu sijue Semuyu alikuwa anajitahidi kidogo na Buhohela wa Ikulu.
Tatizo huyu Sam baada ya kuona mwenzake Buhohela kapewa shavu Ikulu basi anadhani na yeye kwenye Dakika 45 akiitetea Serikali basi ataitwa jumba jeupe.....Bure kabisaaaaaa

Anaingilia ingilia mahojiano,anauliza swali halafu anajijibu mwenyewe yaani ni vurugu tupuuuu....Hawa vijana wa Cameroon tabu tupu aseee.

Yule Simiyu mi alikuwa ananiacha hoi uvaaji wake...Utamkuta ana kiatu kirefu kama chopeo,yaani jamaa ana mguu hatari...juu anavaa tai ya kachumbari ndefuuuuu inafika magotini na suruali ya "selebresheni" kama mcheza show wa Madiluuu,huku shati over size kubwaaaaaa...Au koti la kushona kwa fundi Juma pale Mtaa wa Msisiri Kinondoni....Dressing Code ya Simiyu ilikuwa balaaaa!!Hata sijui yukwapi jamaaa!!
Hahaha hahaha,,,,,,umemaliza Mkuu..BTW jamaa alikua noma kwenye pamba...
 
Huyu jamaa vipi jamani?! Nimefuatilia kipindi cha DK45 ITV na leo mgeni ni N/Waziri wa Muungano na Mazingira na mada ilikua ni Mazingira.

Huyu Sam Mahela, kama kawaida yake kuingilia mzungumzaji wakati anatiririka vizuri kwenye mada husika. Anageuka kuwa mzungumzaji Mkuu, anatoa maoni yake Mfano...."Mimi/sisi waandishi wa habari tumefanya tafiti na ni kweli/sio kweli kwamba Kuna uharibifu wa Mazingira".....sasa kama ulikua unajua ukweli/uongo wa jambo ya nini kumwaalika mgeni studioni wakati ulikua na misimamo yako kwenye topic husika?

Mfano alipokua akiagana na N/W huyo, akawa anamsisitiza"fanyakazi, umesikia, fanyakazii, umepewa kazi ufanye, sawa...maana hata mm hapa ITV napiga kazi".....hapa ni kiherehere tu cha huyu maana sio wajibu wake kumweleza hayo.

Nimekuwa nikifuatilia kipindi hiki Lakini watu wengi wanakereka sana na huyu jamaa.....atulie, atoe nafasi ya mgeni husika kusema na baada ya hapo maswali. Mwanzilishi wa kipindi hiki na Buholela walikua wazuri sana sio kama huyu kijana.
anachofanya sam mahela hizo ni trade craft za journalism ndugu yangu na si rahisi kwa wewe kuelewa ungepata kozi ya uandishi wa habari hata wiki mbili tu, nadhani usingekuja na thread ya namna hii. pia jaribu kutazama vipindi kama hard talk cha BBC utaona the way wanahabari wanavyofanya kazi yao kwa weledi mkubwa kama huyo sam mahela
 
Ni kweli, Sam Mahela huwa nataka kmwiga Jerry, lakini placement ya maswali hajui. Sio vizuri kuuliza kisha unatoa sehehu ya jibu wewe mwenyewe, afu mgeni anaishia kusema ni kweli kama unavyosema ndugu mtangazaji. Sipendi hali hiyo, umemleta wa nini basi, si ungeandaa ripoti maalum ututaarifu ulichofanyia utafiti
Ngoja nimpe sample ya maswali
1. Mh waziri, Serikali imetekeleza sheria inayoelekeza kutunza vyanzo vya maji kwa kubomoa nyumba za watu hivi karibuni
a) watu kukosa makazi ni kinyume cha sheria ya haki za binadamu, nini maoni ya serikali?
b) Kukosa makazi kunafanya watu waichukie serikali unayoiongoza, umejipangaje kuhakikisha vyama vya upinzania havitumii mwanya huu kuwashinda kwenye uchaguzi ujao?
c) Kama serikali, hawa ni watu wenu, watarajie mtawafanyia nini kupunguza makali ya kubomolewa nyumba zao?
KILA SWALI MPE NAFASI ATIRIRIKE WATAZAMAJI WAMJAJI KAMA ANA MAJIBU AU VUMBI?
Swadakta Mkuu...hivyo ndivyo alitakiwa kuuliza
 
Huyu jamaa vipi jamani?! Nimefuatilia kipindi cha DK45 ITV na leo mgeni ni N/Waziri wa Muungano na Mazingira na mada ilikua ni Mazingira.

Huyu Sam Mahela, kama kawaida yake kuingilia mzungumzaji wakati anatiririka vizuri kwenye mada husika. Anageuka kuwa mzungumzaji Mkuu, anatoa maoni yake Mfano...."Mimi/sisi waandishi wa habari tumefanya tafiti na ni kweli/sio kweli kwamba Kuna uharibifu wa Mazingira".....sasa kama ulikua unajua ukweli/uongo wa jambo ya nini kumwaalika mgeni studioni wakati ulikua na misimamo yako kwenye topic husika?

Mfano alipokua akiagana na N/W huyo, akawa anamsisitiza"fanyakazi, umesikia, fanyakazii, umepewa kazi ufanye, sawa...maana hata mm hapa ITV napiga kazi".....hapa ni kiherehere tu cha huyu maana sio wajibu wake kumweleza hayo.

Nimekuwa nikifuatilia kipindi hiki Lakini watu wengi wanakereka sana na huyu jamaa.....atulie, atoe nafasi ya mgeni husika kusema na baada ya hapo maswali. Mwanzilishi wa kipindi hiki na Buholela walikua wazuri sana sio kama huyu kijana.
Mahela wakati mwingine anakera sana anatakiwa ampe mzungumzaji nafasi ya kujiachia...umeona eeh? Kwa maana hiyo kumbe anapingana na bosi wake... Mengi...anayewaadhibu wachafuzi kila kukicha.
 
Tz waandishi wa habari wengi kwenye kuhoji ni Zero plus...
mfano hata wakikutana na wanasiasa wanatumbua mimacho tu kusikiliza wanachosema...hawajiandai kwa maswali magumu na maswali ya papo kwa papo...
Ukilinganisha na wenzetu unaweza kuacha kuangalia vipindi aisee...
Hivi wanajifunza skills za interviews kweli? Hivi wana taaluma yoyote nje ya uandishi? mfano kuna mwandishi wa habari za mazingira?
 
Tz waandishi wa habari wengi kwenye kuhoji ni Zero plus...
mfano hata wakikutana na wanasiasa wanatumbua mimacho tu kusikiliza wanachosema...hawajiandai kwa maswali magumu na maswali ya papo kwa papo...
Ukilinganisha na wenzetu unaweza kuacha kuangalia vipindi aisee...
Hivi wanajifunza skills za interviews kweli? Hivi wana taaluma yoyote nje ya uandishi? mfano kuna mwandishi wa habari za mazingira?
 
Semunyu alikua mzuri ukimlinganisha na hao wengine ila km hakua akijiamini sana.
Na uvaaji nao jamaa ilikua cheche,anaweza kukupigia kiatu cheupe kama yai la kienyeji na soksi vya njano
Je hizo ndio sababu zilizo mtoa? Kama ni mavazi si wangemkosoa tu jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom