Sam Mahela tena... Hivi ITV management hamyaoni haya?

Sam Mahela tena... Hivi ITV management hamyaoni haya?

Maada za uchunguz na udukuz haziwez.anahoj huku nafsi ikimsuta kuwa anamkwaza Mgeni wa kipind.
Anaulza swali lenye mlolongo mrefu wa maneno adi dakka1:30.
Ana-intefere majibu!
Anakwepa kuulza maswali ambayo watu/wanaharakati/wachambuz weng wanapenda kupata majibu/misimamo ya serikal.
Pia anarudia rudia maswal yny jbu moja au maelezo ya aina moja!
Hahhaha hivyo ndivyo inavyotakiwa muulize Maalim Seif kwa Salim
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Haka kajamaa kapuuz sana , tatizo kanataka sifa za kijinga, na upuuz wake co mara ya kwanza yan ni kawaida yake sasa.
 
Hahahaaaa mkuu nimecheka balaa eti anawaita polisi kuonesha waandamanaji walipo jificha awe muangalifu siku nyingine atashushiwa mvua ya mawe!
 
Hivi kuna mtu anamaliza form six anapata One au Two halafu anaopt kwenda uandishi wa habari? Najiuliza tu
 
Tangu siku Sam Mahela alipombana Msigwa kwa maswali magumu ambayo msigwa alionekana kuhangaika vijana wa UKAWA hasa chadema mnamchukia sana Sam Mahela.
Hizi chuki zenu hazina msingi wowote acheni jamaa afanye kazi
Sasa kama mimi nimemchukia nilipomuona jana anamuhoji Luhaga Mpina
 
Hiki kipindi hakijapata presenter makini.Kipindi kilitakiwa kipate presenter kama STEPHEN SUCKER wa BBC hardtalk,nina uhakika baadhi ya waalikwa wangekataa mwaliko.Buhohela kidogo alijitahidi,Sam mahela hiki kipindi hakimfai.
 
anachofanya sam mahela hizo ni trade craft za journalism ndugu yangu na si rahisi kwa wewe kuelewa ungepata kozi ya uandishi wa habari hata wiki mbili tu, nadhani usingekuja na thread ya namna hii. pia jaribu kutazama vipindi kama hard talk cha BBC utaona the way wanahabari wanavyofanya kazi yao kwa weledi mkubwa kama huyo sam mahela
Mkuu Mimi nafuatilia mara kwa mara kipindi hicho (BBC hardtalk) kufananisha kazi anayofanya Stephen Sucker presenter wa kipindi kile na hii anayofanya Sam Mahela ni kichekesho! Hata Tido Mhando hajakaribia Ubora ule! Yule ni presenter wa aina yake.Ujasiri wa kuhoji maswali magumu na pengine ya kuudhi,pia kuwa na taarifa za kutosha za mada husika ni mambo wanasumbua waandishi wetu.
 
Kwi kwi kwi...yule anajihoji mwenyewe...
Yani majibu yote anayo yeye...
Nakuwa ameshatoa jibu elekezi kabla ya muruhusu mtu kujibu...afu na yeye anaongea zaidi ya asilimia 60 ya kipindi
umenichekesha sana, anajihoji mwenyewe , duh !
 
Semunyu alikua mzuri ukimlinganisha na hao wengine ila km hakua akijiamini sana.
Na uvaaji nao jamaa ilikua cheche,anaweza kukupigia kiatu cheupe kama yai la kienyeji na soksi vya njano
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15]
 
Mkuu Mimi nafuatilia mara kwa mara kipindi hicho (BBC hardtalk) kufananisha kazi anayofanya Stephen Sucker presenter wa kipindi kile na hii anayofanya Sam Mahela ni kichekesho! Hata Tido Mhando hajakaribia Ubora ule! Yule ni presenter wa aina yake.Ujasiri wa kuhoji maswali magumu na pengine ya kuudhi,pia kuwa na taarifa za kutosha za mada husika ni mambo wanasumbua waandishi wetu.
mkuu, siongelei kufanana kwa uwezo wa watu, havifanani viganja vya mtu mmoja sembuse watu wawili tofauti. mimi naongelea generally accepted ethics za journlism kama taaluma. uhuru wa habari, mfumo wa utalawa hata hali za kisiasa kwa nchi kama uingereza na tanzania haviwezi kufanana hata kidogo ndio maana unaweza kuona uulizaji wa maswali kati ya huyo Sucker na Mahela mjaluo wa rorya ni tofauti kabisa. Mahela yupo vizuri sana kwa kuzingatia hali za kijamaa, uchumi, siasa na usalama wa nchi yetu.
 
Anamuiga Kikeke wa BBC wakati anamhoji maalimu Hamad. Ile anaanza kujibu tu hata katikati hajafika anaulizwa swali jingine
 
Ukweli!jinsi anavyo hoji wageni huwa anashindwa kudhibiti hisia zake za upendeleo wake.Kuna kipindi kimoja alikuwa na mgeni ambaye misimamo yake ilikuwa inatofautiana na serikali yetu pendwa,ila mgeni huyo alikuwa na "point" cha kushanga mtangazaji akageuka serikali.Jamani tujifunze kwa mashirika makubwa,Dunia imebadikika sana.kama hujiamini ni heli msilete mgeni studio.mtakimbiwa na viewers"
 
Mkuu Mimi nafuatilia mara kwa mara kipindi hicho (BBC hardtalk) kufananisha kazi anayofanya Stephen Sucker presenter wa kipindi kile na hii anayofanya Sam Mahela ni kichekesho! Hata Tido Mhando hajakaribia Ubora ule! Yule ni presenter wa aina yake.Ujasiri wa kuhoji maswali magumu na pengine ya kuudhi,pia kuwa na taarifa za kutosha za mada husika ni mambo wanasumbua waandishi wetu.
Nakubaliana na wewe! waandishi wetu wengi wanakuwa na hofu na maswali wanayo uliza.Kuna Mama mmoja wa CNN AMAN POUR Aliwahi kumuuliza Asad wa Siria unajisikiaje kuuwa watu kiasi hiki na akatoa picha za maiti zimetapakaa! Ukweli mpaka kiongozi huyo akashtuka.Ndivyo vitu tunataka japo si lazima tulingane nao ila angalau tuonyeshe tunawakaribia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom