hiyo ni auto style yake ya kuhoji. unajua wanaokuwa wanajibiwa ni viewers, yeye kazi yake ni kusikiliza na kuingilia kati inapobidi.....na kuendelea na swali lingine. Bado nasisitiza muda ni mchache, mambo ni mengi lazima kupata summary ili viewers wakiguswa na eneo iwe kazi yao kufuatilia.Kwi kwi kwi...mtu anauliza swali hata hasikilizi jibu...yuko busy anachungulia desa lake for the next question...yani hayupo kabisa kwenye interview....hana hata interest na jibu ...anatimiza wajibu tu....
Huwezi kutafuniwa halafu umezeshwe!!. Bado naona makosa ni kidogo........Mahela kaona maoni bila shaka atayafanyia kazi.
tusimpinge kama hakuna chochote anachofanikisha ikiwa baadhi yetu hatuwezi hata kuthubutu.