Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Hii Pan Africanism itatumaliza. OK tukalinde amani Kenya na Zaire sasa.

Mbona unatia maneno yako kinywani mwangu? hebu rudia nilioyaandika na ulivyojibu. Umeona hata kuna harufu ya Pan Afrcanism hapo.

Simply nimekuonesha mipaka yetu ukubwa wake na nikauliza tuanze kumuuliza nani ni nani? tuanze na viongozi? vipi Bin Maryam?
 
Uraia haujulikani kwa kumuuliza mtu "wewe ni raia au siyo raia"? Uraia upo kwa kutimiza masharti ya sheria ya uraia. Sasa tafuta masharti hayo na ukiwa umeyatimiza wewe ni raia, kama hukuyatimiza wewe siyo Rais hivyo usiwe na wasiwasi wa watu kufuatwa chumbani na kuulizwa "Raia au siyo Raia"?
 
Out of point.
 
Out of point.

really? naona kumbe siyo tu unajaribu kutetea vizivyoteteeka bali pia una kumbukumbu ndogo sana ya kile ulichosema wewe mwenyewe; kwa moyo mkunjufu nitakukumbusha.

Wakati mada hii ya uTanzania na mTanzania inaendelea tuanze na kuulizana nani mZanzibari na nani mTanganyika, halafu tuanze nani mHaya na nani mZaramo na nani mChaga na kadhalika, tukimaliza hapo tuanze kujua ni nani mwenye haki zaidi katika nchi hii, MHaya, Mzaramo, Mkara, Mhutu, ..., halafu tukikosa jibu tutafute mapanga tuanze kuuwana, ataebaki ndio mwenye haki, si ndio maana ya kuanzisha mada kama hii?

does this ring a bell? of course not.
 
really? naona kumbe siyo tu unajaribu kutetea vizivyoteteeka bali pia una kumbukumbu ndogo sana ya kile ulichosema wewe mwenyewe; kwa moyo mkunjufu nitakukumbusha.

does this ring a bell? of course not.

Of course, for only those who have clear minds.
 
Nashangaa System sijui inafanya kazi gani? huyu Salva tulimjadili sana DARHOT WIRE alikuwa akitumiwa na LOWASSA kumpigia debe kuwa anafaa uwaziri mkuu.

yeye na TIDO lao moja ndio unaona LOWASA ANATUMIA TVT kujikosha wizi wake, basi na kina MSABAHA NA KARAMAGI nao wapewe nafasi ya kujieleza. TIDO jamaa yako Lowasa alipewa nafasi bungeni kujibu shutuma vipi aje kwako?

mimi naona rais awatoe Salva na Tido NI WATU WA MASLAHI TU SI WAZALENDO.
hawa wanaitwa MTANDAO MASLAHI SI MTANDAO MATUMAINI.
 
Mzee wa Village nahisi umeteleza baba!!
Mnaanza taraatibu, Leo Salva, Kesho Mwanakijiji, mwishowe mtasema Wahangaza sio watanzania na mweisho wake hautakuwa majibizano ya mdomo tutachapana bakora, bado kuna mada nyingi za moto humu ambazo zinahitaji michango yetu ni bora tukaendelea kuichangia na kuachana na vitu kama hivi ambavyo vinaweza kupunguza morali ya mshikamano kwa hii vita ya Ufisadi iliyoanzishwa!! kwani miongoni mwa wapiganaji wapo wanaotokea mipakani kama Slava wataona na kuhisi wanatengwa.

Wabillah Tawfiq
 
"Tukianza kutafutana uraia wa kila moja wetu,kwamba wewe wa unguja na wewe wa pemba na wengine watasema mimi mzinzibara na wengine wakasema mimi mzanzibari. Mwisha wa siku,wasukuma wavamia vinyumba vya wapemba na kuvichoma moto. Hapa tutakuwa tumefika pabaya sana". Tuwe makini na mambo haya ya uraia
 
Kuna kila sababu ya kujivunia umoja tulionao na ndio maana hata hapa mpo na hakuna anayejua nchangiaji gani ni kabila gani?
Angalia ugumu uliopo leo kwa Nchi jirani ya kenya ni Mtaguso wa Kisiasa ambao umechanganyika na kikabila.
Mbegu mnayopanda leo itawa cost baadaye.
 
Tatizo la uraia Tanzania na banana republic nyinginezo ambako umaskini umekithiri linazuka pale watu wanapoanza kuhoji uhalali wa matendo ya watawala tuu basi. Angalia historia zote huko nyuma, Zambia Chiluba v Kaunda, Zimbabwe Mugabe v Ibbo Mandaza, Uganda, Ivory Cost na kwingineko...It just happens when people either join politics of opposition to protest injustice of the rulers or otherthings related.

Kwa Tanzania swala la uraia siyo issue..issue inakuja pale mtuhumiwa ana-oppose system, ndo atatafutiwa sababu. Salva hana shida hata watu wapige kelele vipi, tatizo lingekuja jamaa angekuwa Chadema au kwingineko.....angekuwa ameshashughulikiwa looooongtime! The likes of Kinana wamepigiwa kelele kwamba ni wasomali..since when? but they are safe and no body will bother..let him risk na pua yake ndefu aingie upinzani ndo atajua system ni nini..

Thats African politics! na uraia unatumiwa kama silaha ya kuwakandamiza wapinzani. Tuna kazi jamani, hili bara la watu weusi? we still have a longway to match!
 
Nadhani kuna suala la uraia na kazi wanazofanya watu. Huyo Salva angekuwa anashiriki katika mashindano ya Mr. Tanzania au kuwa na biashara yake binafsi, uraia wake usingekuwa gumzo hapa.

Lakini kama kazi yake inahitaji kuwa wazazi wake walikuwa raia wa kuzaliwa wa Tanzania na yeye ni kuwa raia wa kuzaliwa Tanzania basi kushusha hoja ni RUKHSA na sio ubaguzi. Kwani hata watanzania-wamarekani hawapewi kazi CIA. Wanabeba mabox sehemu zingine tu.

Hivi kwa mtu kama OBAMA ngerudi Kenya hivi kweli angeruhusiwa kugombea hata udiwani?

Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa kamwe... we are very busy identifying and classifying our differences wakati nyumba yetu inaungua. Hivi wanaotulaza njaa na kuibinafsisha nchi yetu ni wageni? Its all the so called wazawa! Honestly Iam getting tired kuona kwamba we AFRICANS we have consistently failed (au hatutaki) to identify our priorities and we rather concentrate on these petty politics of tribal identifications!

Uraia sawa, ni kweli lazima tulinde identity yetu, lakini the way we do it, tunaonyesha kwamba the whole motive is so parochial, clouded by chauvinism, greedy, opportunism et al! Guys we should change! Leo kama mtoto wa Jaluo kutoka Kogelo yuko on the brink of becoming the most powerful man on earth in US politics.. wakati ndugu zake na ukoo wake wote wako Kenya, I think its a high time we learnt something out of this! How can we tap the potentials of the so called foreigners in our countries?? It is possible, but because of greedy and double standards hatuwezi!

Ndo maana wanasema kipofu hawezi kumuongoza kipofu. Sasa wewe jiulize hii mipaka, sehemu nyingine hata viongozi wetu hawajawahi kufika! kutokana na nature ya Africa as a whole and our history, mambo ya muingiliano wa makabila huwezi kuyaepuka! Never. Ukija Kenya utakuta wasomali, mifano ni mingi, so why should we classify oohh kazi hii ni ya mzawa..mzawa ni yupi? anamuwakilisha nani? anawakailisha maslahi ya nani?

Maswali ni mengi kuliko majibu, all in all Africans we should change the way we think! Mi nadhani wazungu walitutawala, lakini tuna mengi sana ya kujifunza kwao! na kikubwa tjifunza namna ya ku-coexist! as a cosmopolitan society or entity. Tuache huu uzalendo uchwala kwa ajili ya maslahi binafsi. Lets do things for the better of our country and its people as a whole.
 
Masanja nukta zako muhim kuzingatiwa...

Watu wa mipakani wana mahusiano mwakubwa Sana.lugha..tamaduni, muingiliano wa Familia.. angalia nchi nyingi hali ndio ilivyo,ila muhimu kuwa na Taratibu au sheria zinazotambulika. Hivi Wamasai wa Kenya na Wamasai wa Tanzania utawatofautisha Vipi? Hivi wasegeju wa Kenya na wa Tanzania utawatofautisha Vipi?

Ni vema ipo haja Gov ikaboresha sheria za Uraia..ie kila aliezaliwa TZ anakuwa raia hadi hapo yeye atakapoamua kuukana uraia wake. Hivi wenzetu USA..UK na wengine wana Loss nini kuwapa uraia wageni...? si kuzaliwa wanasema ukikaa miaka 5...Mwanakjj tangu ulipoondoka Tanzania hadi sasa una deserve uraia wa Marekani kuliko wa Tanzania...

Tukumbukeni..Mkapa aliieta hili swala kummaliza Ulimwengu/Nabwa baada ya kutofautiana kifikra.

Rais wa Afghanstan ana Uraia wa marekani....mnasemaje

Salva...dhambi uloifanya kwa Salim itakuumiza...Omba Samahani kama RAIAMWEMA alivyoomba samahan kwa mzee Mwinyi kumuandika vibaya enzi za Mtanzania/RAI
 
Zaidi ya kurushiana madongo naona kuna upande ambao unatumia nguvu zooote kupindisha hoja ya Mwanakijijiji. Nadhani hapa tutambue kuwa kama endapo tulishawahi kulipa odi zetu na kuwasomesha baadhi ya wageni kutoka huko (kwa kina salva) na wameenda kutumikia nchi zao za asili bila ya kutulipa chetu, ni lazma tuanze kujihoji na kutambua nani yupo upande wetu na nani ni kinyume chetu...
Tunapenda na kuamini kuwa waafrika ni ndugu zetu lakini kuna protokali za kutufikisha huko ambazo kama zisipotiliwa maanani tutakuwa mafaza krismass kwa sana. Naungana na Mwanakijiji kuhoji uraia wa slava maana kama ni kweli ana utata ktk uraia wake basi naanza kuhisi kuwa kuna ajenda ya siri ktk ukanda wetu wa mashariki....
Ni kweli kwamba Mwalimu alisema kuwa tukianza kuhoji uraia itakutwa sie wote sio raia halali, lakini nadhani kama tukiwa mabubu na kutojitambua na kuhoji uhalali wetu wa kuwepo hapa basi hatutafika huko tunapotaka twende... I mean tutataabika kujenga nchi za wenzetu huku tukitelekeza kwetu...

mmenisoma hapo??
sana mkuu, lazima tuweke utaifa mbele kama tunataka kuona maendeleo ya kweli ili watoto wetu waje kufaidi, tutalipoteza taifa letu hivi hivi kwa kuogopa kujadili ishu nyeti kama hizi zinazogusa maisha yetu, na ya wajao, tatizo c uzawa tatizo ni nini agenda za hawa watu kama maslahi yao yako hapa au kwa nchi zao za pili, tanzania itajengwa na watanzania, mapenzi ya nchi hii yapo kwa mwananchi mwenyewe, tusitegemee mtu aliye mguu nje mguu ndani akawa na mapenzi ya kweli na tz na akaitakia mema tanzania yetu.
 
Baada ya kufikiri kwa makini sana. Ninadhani kama tunataka tupunguze tatizo la maziwa matatu, basi Rwanda na Burundi ziunganishwe na Tanzania. Watu wa Rwanda na Burundi wengi sana wanajisikia nyumbani wawapo Tanzania, tatizo lao huja tu washakirudi Burundi au Rwanda. Kwa vile mipaka ya mwaka 1884 iliziweka nchi hizi zote pamoja kama Germany East Africa, nadhani muungano wa 1964 ulikosea sana kuwaacha pembeni Rwanda na Burundi. Nina imani kuwa tukishaondoa ile mipaka na kuwaweka chini ya mamlaka moja inayotoka Dodoma, basi Bujumbura na Kigali hakutakuwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe tena.

Hayo mawazo yangu tu, inawezekana yakawa pumba.
hivi wewe unawajua hawa watu au unawasikia? si lengo langu kuwa mbaguzi lakini mie nimeishi nao i know them, mzazi wangu mmoja anatoka huko, wako troubled psychologicaly, wataleta matatizo sana ukiamua waunganishwe na tanzania.
 
Moderator,
Tafadhali weka hii threads kwenye nyepesi, tunakokwenda sipo.
 
Hivi kwa mtu kama OBAMA ngerudi Kenya hivi kweli angeruhusiwa kugombea hata udiwani?

Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa kamwe... we are very busy identifying and classifying our differences wakati nyumba yetu inaungua. Hivi wanaotulaza njaa na kuibinafsisha nchi yetu ni wageni? Its all the so called wazawa! Honestly Iam getting tired kuona kwamba we AFRICANS we have consistently failed (au hatutaki) to identify our priorities and we rather concentrate on these petty politics of tribal identifications!

Uraia sawa, ni kweli lazima tulinde identity yetu, lakini the way we do it, tunaonyesha kwamba the whole motive is so parochial, clouded by chauvinism, greedy, opportunism et al! Guys we should change! Leo kama mtoto wa Jaluo kutoka Kogelo yuko on the brink of becoming the most powerful man on earth in US politics.. wakati ndugu zake na ukoo wake wote wako Kenya, I think its a high time we learnt something out of this! How can we tap the potentials of the so called foreigners in our countries?? It is possible, but because of greedy and double standards hatuwezi!

Ndo maana wanasema kipofu hawezi kumuongoza kipofu. Sasa wewe jiulize hii mipaka, sehemu nyingine hata viongozi wetu hawajawahi kufika! kutokana na nature ya Africa as a whole and our history, mambo ya muingiliano wa makabila huwezi kuyaepuka! Never. Ukija Kenya utakuta wasomali, mifano ni mingi, so why should we classify oohh kazi hii ni ya mzawa..mzawa ni yupi? anamuwakilisha nani? anawakailisha maslahi ya nani?

Maswali ni mengi kuliko majibu, all in all Africans we should change the way we think! Mi nadhani wazungu walitutawala, lakini tuna mengi sana ya kujifunza kwao! na kikubwa tjifunza namna ya ku-coexist! as a cosmopolitan society or entity. Tuache huu uzalendo uchwala kwa ajili ya maslahi binafsi. Lets do things for the better of our country and its people as a whole.

Umesema tuige wazungu namna ya ku-coexist. Na nilichosema hapa nimekiiga kwa wazungu.

Tupo watanzania tunaoishi nje ya nchi kihalali lakini kuna sehemu siwezi kupata kazi kutokana na uzawa wangu. Lakini mtoto wangu anayezaliwa hapa atakuwa na haki zote zile.

Obama mama yake ni Mmarekani na kazaliwa Marekani hivyo ana haki ya kuwa rais wa nchi.

Kwa upande mwingine Arnold Schwarzenegger kazaliwa Austria na kutokana na uzawa wake hawezi kuwa rais. It's simple as that.
 
Bin Maryam take 5! Tatizo siyo uraia ni uzalendo. Hakuna sheria inayoongoza Uzalendo ipo sheria inayoongoza uraia. Taifa lolote lazima lijuie nani ni raia wake na raia ambaye ni mzalendo ndiyo anapewa utumishi wa juu wa nchi au nafasi mbalimbali. Kama kuna mtu yeyote ambaye anaonesha uzalendo kwa Taifa ambalo siyo lake, basi mtu huyo hukana uraia wa kwake na kuamua kuchukua uraia wa nchi hiyo nyingine au pale inaporuhusiwa kuwa na uraia wa nchi mbili.
 
Rais wa Afghanstan ana Uraia wa marekani....mnasemaje

Tunasema kwamba huenda aliukana mara baada ya kupitishwa kugombea uraisi wa kule Afghanistan, ndio maana hapendwi kwao. Kakoswa koswa kuuwawa mara kadhaa na maadui wake ambao wanamuona Mmarekani zaidi kuliko anavodhani yeye!
Kumbuka pia kwamba kuna waziri mkuu mmoja kule barani Asia (nimesahau jina la nchi yake) anaitwa Susilo Bambang Yudhoyono, huyu naye alikuwa mwanajeshi wa jeshi la Marekani miaka kadhaa hapo nyuma!
 
IDIMI:

Kuna mtu anaitwa Norman Yung Yuen Hsu. Huyu jamaa alijiingiza Marekani kwa shule, biashara na baadaye kupata uraia.

Mpaka 2007 jamaa alikuwa ni nyota wa kutoa michango kwa kampeni ya Senetor Clinton. Kama matapeli wanaweza kufanya hivyo Marekani kwanini wasifanye Tanzania kwa kutumia sheria zetu zilizolegea kuhusu uraia.

http://en.wikipedia.org/wiki/Norman_Hsu
 
Basi washaurini Wamarekani nao waseme Baraka Obama sio Mmarekani.

Hapa hivi tunabishana nini? Tafuteni makosa mengine ya Salva, lakini yeye ni Mtanzania.
 
Back
Top Bottom