Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Ninajiski kuumwa kichwa kwa sababu tunajirahisisha sana. Hivi hizi tuhuma zinaazia wapi? Uraia wa Tanania unaanzia wapi na unaishia wapi? Mbona watu wanapika majungu na kuyapakua yangali mabichi. Hoja hii imechochewa na wivu, tena nasema wivu wa kike kama alivyopata kusema Spika Mstaafu Msekwa ingwa baadaye aliwaomba radhi akina mama. Tuache wivu, Salva ni Mtanzania. alipokuwa akiendesha Habari Corporation wakati huo Rai, Mtanzani na The African yakiwa mwiba kwa utawala wa Mwinyi na Mkapa haya hayakusemwa leo mnasema kisa akapewa cheo na JK, acheni wivu huo mtakufa na roho zenu.
 
Kwanini usiende kulala na porojo zako za kuumwa kichwa? Unafikiri tutakupa dawa hapa?

Salva ni mrwanda na mke wake ana hifadhi ya kikimbizi toka home office kama ni mnyaruanda yuko LUTON kwa habari zaidi Nico (abdul) njohole anaweza kukumwagieni wanakaaa karibu sana pale Luton.

pia huyu bwana hajui hata itifaki za serikali wakati mwalimu Nyerere yuko ST.THOMAS AMELAZWA huyu bwana aliandika habari ya kuudhalilisha usalama wa Taifa mzee APSON shahidi wa hilo jambo. leo anapewa ikulu? tena katoka mtaani alikuwa jobless.
haki yake amejikomba sana kwa Rostam kulikuwa hakuna tofauti ya mfanyakazi wa ndani wa rostam na Salva.

nadhani hata kuwachamba mavi amefanya kwa watoto wa Rostam. ukifika oysterbay humkosi. kuna kipindi aliandika makala ya kiislam kwenye rai.

Tumeingiza vibaa hadi Ikulu.
 
I can confirm kuwa ni kweli mkewe SALVA RWEYEMAMU alijilipua UK kama Mburundi na alipewa nyumba kule LUTON

In the meantime tunaendelea ku count days za IKULU kutokuwa na website

Rweyimamu ni jina la Kihaya na wahaya wanatoka Bukoba na Bukoba ni part ya Tanzania .Je bado huyu si mtanzania ? Kwikwikwikwi
 
ahaaa haaa, logic ya kupata utanzania haiwezi kuwa rahisi kiasi hiki mkuu, ingekuwa rahisi hivi wanyarwanda wengi wangejilipua utanzania!
 
Rweyimamu ni jina la Kihaya na wahaya wanatoka Bukoba na Bukoba ni part ya Tanzania .Je bado huyu si mtanzania ? Kwikwikwikwi

Haihusiani na niliyoyaeleza hapo awali

Nimesema kuwa Mkwewe Salva Rweyemamu alijilipua UK na alipewa nyumba na jamaa wa NAS ili ajistiri. Sasa kama unataka kujadili hilo sawa I am up for it
 
Nadhani kuna suala la uraia na kazi wanazofanya watu. Huyo Salva angekuwa anashiriki katika mashindano ya Mr. Tanzania au kuwa na biashara yake binafsi, uraia wake usingekuwa gumzo hapa.

Lakini kama kazi yake inahitaji kuwa wazazi wake walikuwa raia wa kuzaliwa wa Tanzania na yeye ni kuwa raia wa kuzaliwa Tanzania basi kushusha hoja ni RUKHSA na sio ubaguzi. Kwani hata watanzania-wamarekani hawapewi kazi CIA. Wanabeba mabox sehemu zingine tu.
 
Wakati mada hii ya uTanzania na mTanzania inaendelea tuanze na kuulizana nani mZanzibari na nani mTanganyika, halafu tuanze nani mHaya na nani mZaramo na nani mChaga na kadhalika, tukimaliza hapo tuanze kujua ni nani mwenye haki zaidi katika nchi hii, MHaya, Mzaramo, Mkara, Mhutu, ..., halafu tukikosa jibu tutafute mapanga tuanze kuuwana, ataebaki ndio mwenye haki, si ndio maana ya kuanzisha mada kama hii?
 
Wakati mada hii ya uTanzania na mTanzania inaendelea tuanze na kuulizana nani mZanzibari na nani mTanganyika, halafu tuanze nani mHaya na na nai mZaramo na nani mChaga na kadhalika, tukimaliza hapo tuanze kujua ni nani mwenye haki zaidi katika nchi hii, mHaya, Mzaramo, Mkara, Mhutu, ..., halafu tukikosa jibu tutafute mapanga tuanze kuuwana, ataebaki ndio mwenye haki, si ndio maana ya kuanzisha mada kama hii?

Mbona mnatufanya watanzania kuwa watu primitive sana. Hatupigani kwa sababu ya ukabila.

Mtu leo anachukua digrii yake katika vyuo vya juu vya Tanzania na anafanya kazi kwenye sehemu nyeti za serikali na kesho anakuwa Gavana wa nchi jirani. Je hakuna sababu za kuuliza ukweli wa mambo?
 
Salva ni msomajin mzuri wa jambo forum.Salva anaweza kuja ama watu wake wakaja wakajibu hoja .Salva amekuwa akijaribu kuwatafuta waandishi wa JF na hata wa blog mbali mbali na kufika nao bei .Amekuwa akifanya hivyo akiwa safarini na rais na majuzi kajaribu London kwa watu kama 3 wakamwaga na kukataa kukutana naye .So he can come here and tell us .
 
Nadhani kuna suala la uraia na kazi wanazofanya watu. Huyo Salva angekuwa anashiriki katika mashindano ya Mr. Tanzania au kuwa na biashara yake binafsi, uraia wake usingekuwa gumzo hapa.

Hapana. Labda si JF, lakini masuala ya uraia Tanzania are very serious hata kwa kitu kama mashindano ya Mr/Mrs/Miss Tanzania. Ndio maana yule miss mmoja alitoka Kenya tulimvua na she was subjected to forfeit the title etc etc without consideration of her professional job title.
 
Kisura:

Nilichosema, mtu akiwa na uraia wa kuomba anaweza kushiriki kwenye ULIMWENDE au kuwa na biashara au mambo mengine. Lakini kuna nafasi zinatakiwa wazazi wako wawe wazawa wa hile jamhuri na wewe mwenyewe pia uwe mzawa, yaani deep deep uzawa.
 
Wakati mada hii ya uTanzania na mTanzania inaendelea tuanze na kuulizana nani mZanzibari na nani mTanganyika, halafu tuanze nani mHaya na nani mZaramo na nani mChaga na kadhalika, tukimaliza hapo tuanze kujua ni nani mwenye haki zaidi katika nchi hii, MHaya, Mzaramo, Mkara, Mhutu, ..., halafu tukikosa jibu tutafute mapanga tuanze kuuwana, ataebaki ndio mwenye haki, si ndio maana ya kuanzisha mada kama hii?

Utawajua tu.Kwa kweli kazi ipo.Kama tunafikia kuwaza na kuandika hivi,du
 
Mbona mnatufanya watanzania kuwa watu primitive sana. Hatupigani kwa sababu ya ukabila.

Mtu leo anachukua digrii yake katika vyuo vya juu vya Tanzania na anafanya kazi kwenye sehemu nyeti za serikali na kesho anakuwa Gavana wa nchi jirani. Je hakuna sababu za kuuliza ukweli wa mambo?

Its not being primitive, ndio mwanzo wa matatizo ya kibaguzi unavyoanza.

Kumbuka Tanzania imepakana na nchi nane zenye mipaka mirefu na muingiliano wa makabila wa kiasili, kwa hiyo ukianza kuuliza na kutaka kujua nani ni nani utaanza kuuliza asili za wengi na usipate jibu la kuridhisha.

Land boundaries: total: 3,861 km

Border countries:
Burundi 451 km, Democratic Republic of the Congo 459 km, Kenya 769 km, Malawi 475 km, Mozambique 756 km, Rwanda 217 km, Uganda 396 km, Zambia 338 km

Hebu tazama hesabu za hapo juu halafu niambie tuanze kwa nani kumjua ni nani? Tukianzia kwa viongozi, nadhani unapata jibu mwenyewe.
 
Hii Pan Africanism itatumaliza. OK tukalinde amani Kenya na Zaire sasa.
 
Kwani maana ya vitambulisho ni nini?
 
Hii Pan Africanism itatumaliza. OK tukalinde amani Kenya na Zaire sasa.

Kama Pan 'Europeanism' inavyotaka kuwamaliza Wakosovo na Waalbania. Ujerumani hali ni mbaya kuliko tunavyojua, kwa walioishi wanaelewa naongelea nini!
Kaaaaaaazi kweli kweli!
 
Hakuna cha Pan Africanism.. kila nchi inasheria yake ya uraia; Tanzania kuna sheria ya uraia inayosema raia ni nani. Na katika hilo kuna nafasi zinazosema kuwa ni mtu gani anaweza kuzipata. Hata leo ukienda kupata kazi sehemu tofauti mojawapo ya masharti yanasema "awe raia wa Tanzania".

Ndiyo maana JWTZ linapotangaza ajira hawasemi "awe Mwafrika" na wala hawasemi "awe mweusi" wanasema "awe Mtanzania". Sasa Mtanzania ni nani? Ni yule ambaye anatimiza masharti ya uraia wa Tanzania.

Sasa DeS anachosema hakihusiani na uraia hata chembe; Je kuna Mjaluo ambaye si raia wa Tanzania; Ndiyo! Je kuna Mchagga ambaye si Raia wa Tanzania; Ndiyo! Je kuna Mhaya ambaye si Raia wa Tanzania? absolutely!

Je kuna Mtanzania ambaye si Mhaya? Ndiyo, Je kuna Mtanzania ambaye si Mweusi? You betcha! Na je kuna Mtanzania ambaye hayuko Tanzania? yes sir! Je Watanzania wote wanazungumza Kiswahili? may be not;

Sasa Mtanzania ni yupi? angalia sheria ya Uraia.
 
1.Nadhani uhalali wa Salva kuwa Mtz au la ni rahisi tu kudhihirika kutokana na umri wake. Wahaya alikotoka baba au babu yake wanaweza kutueleza hili.
2. Ndugu zetu Wanyarwanda wapo wazi, wanatumia Tanzania na wanapotaka kuondoka wanaondoka, dada/kaka/watoto zao wanabaki wakijulikana na kuendelea nakuchukua nafasi zetu nyeti, wazawa bado tunawatetea. Hapa sijazungumzia Wakenya! Ni muhimu kuliangalia hili.
 
Back
Top Bottom