Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Nadhani hili ni jungu analopikiwa Salva. Yeye ni mtanzania.

Hivi nchi hii mkianza kufuatilia chimbuko la kila mtu, sijui nani atakuwa mtanzania halisi, ukianzia kwa wangoni utasema si raia kwa sababu walitokea South Africa, Wamasai watakuwa wakenya, waha watakuwa kutoka burundi, wale wamachinga (including Mkapa) ni wakutoka Msumbiji, wahaya watakuwa kutoka uganda na Rwanda. Mwisho wake nini? Dunia imekuwa kijiji, si wakati wa kuongelea nani raia safi na nani siye.
 
Kwa kusema ukweli, hili suala la uraia kwa Tanzania ni gumu kulithibitisha kutokana na taratibu zetu za kutunza kumbukumbu za nchi. Mtu anazaliwa bila taarifa na ankufa bila taarifa. RITA wapo tu kama utaratibu lakini hawako serious kuhakikisha kila azaliwaye Tanzania anajulikana katika kumbukumbu za taifa. Lakini hali si hivyo. Kule vijijini hali ndiyo mbaya zaidi, kwani hata mwenyeketi wa serikali ya kijiji hajui watu waliozaliwa ktk kijiji chake bila kwenda hospitali.

Mimi nakubaliana na mchangiaji aliyetangulia kuwa tuweke cut off date ya kusajili walio watanzania na waliokuja baada ya hapo ndiyo waitwe wageni. Japokuwa inatambulika kuwa wale wote waliokuwepo na waliozaliwa wakati na baada ya uhuru ni watanzania lakini kuthibitisha hilo ni gumu mno.

RITA NA TANZANIA BUERAL OF STATISTIC have no particiaption on data system analysis. hakuna kazi wanayoifanya na pia ni vitengo vyenye kuhitaji hela nyingi sana in maintaining system and record at large. pia wawe na uwezo wa kutunga policy and procedures zao weneywe and nationally, strongly supported, sambamba na sheria za uhamiaji na katiba pia.
Wanatakiwa wawe na infromational data catalogy yao wenyewe ambayo inakuwa connected to police force pia nao wawe na wataalamu wenye uelewa wa hali juu in socialogy studies, social welfare kama vile hospitali, wizara ya kazi na watoto be linked in this. Hii yote kwamba kama utaomba kazi tunakuuliza card ya hospitali ambayo ndo mwisho wa maneno yote ya uraia au shughuli zako kwani afya lazima uende hospitali basi kila kitu kwenye kadi ya afya.

Wanatakiwa katika policy zao wawe na kituo cha historia za family and clans data system.
 
Nyerere he was rwandan naye imekaaje?Mkapa?Watakao salimika ni wa dodoma!Kigoma labda mkoa wote iwe burundi na congo!,Ngara?yote iwe rwanda,Missenyi yote irudi uganda,namtumbo yote irudi marawi tunduma, yote irudi zambia,Mtwara lindi kuwe mozambique,Sijui ninani atapona mimi ntarudi kwetu nchi yenyewe ilishashindikana.
 
Haya mambo ukifatilia sana RAIA HALALI wa Tanzagiza ni WAGOGO TU.
Kupunguza misuguano tuwe kama Marekani tu ukizaliwa hapa mwisho wa mjadala(Obama) sio babake sijui babu yake alitoka wapi.
 
Mwenyewe anaujua ukweli ndani ya Roho yake na ndiyo maana anafanya mambo ya kipuuzi yuko kimasilahi zaidi na hajali nchi inakwenda wapi kwani inamhusu vipi wakati JK mwenyewe kamteua kulingana ujinga wake amsaidie kujibu upupu anaoujibu hivi sasa SHAME ON HIM!
 
Kwa hiyo hutaki watu wahoji uraia wa wengine

au sivyo?

Lakini bora huyo profesa kuliko katibu wetu CHADEMA mzinifu kuiba wake za watu,eti ana PhD ya BIBLE,laanakum na ndio maana aka.....nyambafu mashoga na magaidi
 
hivi haya si mambo yanayompa jeuri sana kagame kuwa hali ikiwa mbaya ,basi liwalo na liwe?
 
Lakini bora huyo profesa kuliko katibu wetu CHADEMA mzinifu kuiba wake za watu,eti ana PhD ya BIBLE,laanakum na ndio maana aka.....nyambafu mashoga na magaidi
kwani uzinzi unaondoa na kubatilisha mwana kwa babake?uzinzi unaweza ondoa uraia wa mtu....
 
Hii thread ya kibaguzi ilinipita, sisi hatuitaji kubaguana maana wabaguzi ni wazungu waliochora ramani vibaya
 
Nadhani hili ni jungu analopikiwa Salva. Yeye ni mtanzania.

Hivi nchi hii mkianza kufuatilia chimbuko la kila mtu, sijui nani atakuwa mtanzania halisi, ukianzia kwa wangoni utasema si raia kwa sababu walitokea South Africa, Wamasai watakuwa wakenya, waha watakuwa kutoka burundi, wale wamachinga (including Mkapa) ni wakutoka Msumbiji, wahaya watakuwa kutoka uganda na Rwanda. Mwisho wake nini? Dunia imekuwa kijiji, si wakati wa kuongelea nani raia safi na nani siye.

Mtanzania halisi pekee ni mzee John Samwel Malecela - kwa mtindo huu wengine wote si watanzania.
 
Kama JENERALI alikuwa si MTANZANIA what makes you think huyu SALVA ambaye walikuwa maswahiba atakuwa MTANZANIA?

In short the Jury is still out on SALVA

mmm naona tanzania kunaenda kua patamu,mbona mtafurusha watanzania wote! subiri mtauona mziki wake ni mkubwa sana mi yangu macho.
 
Nadhani hili ni jungu analopikiwa Salva. Yeye ni mtanzania.

Hivi nchi hii mkianza kufuatilia chimbuko la kila mtu, sijui nani atakuwa mtanzania halisi, ukianzia kwa wangoni utasema si raia kwa sababu walitokea South Africa, Wamasai watakuwa wakenya, waha watakuwa kutoka burundi, wale wamachinga (including Mkapa) ni wakutoka Msumbiji, wahaya watakuwa kutoka uganda na Rwanda. Mwisho wake nini? Dunia imekuwa kijiji, si wakati wa kuongelea nani raia safi na nani siye.

Ile tanzania ya binadamu wote ni sawa,ile tanzania ya panafricanisim iko wapi,ile tanzania iliyo simamia ukombozi wa waafrika iko wapi? tulikua tunajua kwamba ubaguzi wa waafrika uko ulaya sasa tunauona hapa tanzania,inasikitisha Salva hata akiwa mrundi bora anafuata sheria za tanzania,hii ni dalili ya uoga na kutojiamini kwa watanzania tena ndio maana hata EAC iliwashindi kwa sababu ya uoga wenu tu,hawa watu hata kama ni wageni nafikiri waliweza kufika hapo kutokana na uwezo wao si kingine,kwahiyo kama nchi haiwezi watumia watu wenye uwezo kama hao nakukalia majungu na wivu na wambia hakuna future ya tanzania,hebu angalia USA iko inasomba wataalamu toka nchi mbalimbali na kuwapatia uraia na kuwatumia kuendeleza USA,sasa nyie masikini mnakalia majungu tu.
 
Back
Top Bottom