Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Mwanakijiji,

Mbona quotes zako zinakuja zikiwa blackened? Siwezi kusoma ume quote nini.

Mafundi mitambo saidieni kuna tatizo gani hapa?
 
duh, kwangu inaonekana vizuri tu kama nilivyonukuu. Kumbuka kuwa sheria hiyo hiyo ya 1995 ndiyo iliyotumika kumvua uraia Ulimwengu. Nenda vizuri, na taratibu utaona kile ambacho sheria inasema kuhusu wazazi. Unaweza kuzaliwa Tanzania, na ukaishi na kujifikiria kuwa wewe ni Mtanzania. Lakini endapo wazazi wako wakati kabla ya Muungano hawakuwa raia (sheria yetu ya uraia wa Tanganyika ya 1961 iko wazi kabisa) basi watoto hawakuwa raia, kwa sababu uraia unaenda by descent.
 
Mwanakijiji,

Naamini tafsiri yako sio sahihi. Ulimwengu alienguliwa nafikiri kwa kutumia section 30. Hizi sheria za Commonwealth zinafanana na nyingi huko nyuma wali copy toka sheria za UK. Citizen by birth haitegemei mtu mwingine. Sheria ya mwaka 1961 ilifutwa kwasababu ilikuwa nafikiri inapingana na sheria iliyokuwa inatumika Zanzibar. Kwahiyo baada ya muungano wale wote waliozaliwa Tanzania kabla ya muungano walipewa uraia wa kuzaliwa
ila wakaweka section 30 kuhakikisha hakuna dualcitizenship kwa wenye miaka 18.

Kipengere chenye utata kwa TZ ni hiyo section 30. Kwa mfano unaweza kuwa raia wa kuzaliwa Tanzania lakini pia kuwa raia wa Rwanda by descent. Inatakiwa ukifikisha miaka 18 uukane uraia wa Rwanda.

Lakini tatizo ni pale ambapo watu wengi wala hata hawajui kwamba wana uraia mwingine. Hiyo ndiyo case kwa watu wengi wa mipakani, utaukana vipi uraia ambao hata hujui kama unao?
 
kama tukishamaliza na kuthibitisha kama ni mtanzania then Home Office itabidi waeleze kuwa huyo mkewe wanamfahamu vipi then tuwageukie wanausalama Tanzania watuhakikishie kuwa National Security haipo hatarini kwa kama ikigundulika kuwa ni kweli mkewe alijilipua na kapewa temporary / permanent accommodation Luton,UK
 
5.-(1) Subject to the provisions of subsection (2), every person born in the United Republic on or after Union Day shall be deemed to have become and to have continued to be a citizen of the United Republic with effect from the date of his birth, and with effect from the commencement of this Act shall become and continue to be a citizen of the United Republic, subject to the provisions of section 30.

(2) A person shall not be deemed to be or to have become a citizen of the United Republic by virtue of this section if tit the time of his birth-
(a) neither of his parents is or was a citizen of the United Republic and his father possesses the immunity from suit and legal process which is accorded to an envoy of a foreign sovereign power accredited to the United Republic; or
(b) any of his parents is an enemy and the birth occurs in a place then under occupation by the enemy.
 
Mtanzania wanaposema "by descent" wana maana kama wazazi hawakuwa raia wa Tanzania. Hiyo ndiyo sababu Generali Ulimwengu na wengine walifutiwa uraia wao. Ndio maana Richa Adhia ni raia wa Tanzania kwa vile wazazi wake walizaliwa katika iliyokuwa Tanganyika na Jamhuri ya Zanzibar. The same thing probably applied to kina Dewji, Gulamali n.k
 
Game Theory, mkianza kutajana humu ambao mmejilipua na mna passport za bongo na wengine za UK na kwingineko at the same time, Iam sure hakuna atakayepona. Iam sure no body will want to open the pandora box. Na after all hawawezi maana, hata wakubwa serikalini walijilipua, kwa hiyo usitegemee wamtafute the so called mke wa Salva.. Ofcourse watakaoisumbua serikali ndo watatolewa kafara.
 
5.-(1) Subject to the provisions of subsection (2), every person born in the United Republic on or after Union Day shall be deemed to have become and to have continued to be a citizen of the United Republic with effect from the date of his birth, and with effect from the commencement of this Act shall become and continue to be a citizen of the United Republic, subject to the provisions of section 30.

(2) A person shall not be deemed to be or to have become a citizen of the United Republic by virtue of this section if tit the time of his birth-
(a) neither of his parents is or was a citizen of the United Republic and his father possesses the immunity from suit and legal process which is accorded to an envoy of a foreign sovereign power accredited to the United Republic; or
(b) any of his parents is an enemy and the birth occurs in a place then under occupation by the enemy.

Defunkadelic,

The section you quoted is not relevant for this case. The assumption is that Rweyemamu was born before 26/4/1964 there fore the section to be used is section 4.1 which says:

(1)Every person who, having been born in Mainland Tanzania or in Zanzibar before Union Day, was immediately before Union Day a citizen of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar shall be deemed to have become, on Union Day, and, with effect from Union Day, subject to section 30, to have continued, and after the commencement of this Act shall continue, to be a citizen by birth of the United Republic.
 
Mtanzania wanaposema "by descent" wana maana kama wazazi hawakuwa raia wa Tanzania. Hiyo ndiyo sababu Generali Ulimwengu na wengine walifutiwa uraia wao. Ndio maana Richa Adhia ni raia wa Tanzania kwa vile wazazi wake walizaliwa katika iliyokuwa Tanganyika na Jamhuri ya Zanzibar. The same thing probably applied to kina Dewji, Gulamali n.k

Mwanakijiji,

Hiyo by descent umeitoa wapi? Section 4.1 haisemi lolote kuhusu by descent. Kuna jamaa kasema Rweyemamu alizaliwa miaka ya 50, Tanzania (Tanganyika/Zanzibar). Kwahiyo ni section 4.1 pekee inayoweza kutumika. Ila utata unakuja kwenye tafsiri ya section 30 ambayo iko related na section 1.

Descent inakuja kama tu alizaliwa baada ya siku ya Muungano.
 
Mtanzania.. tutaliendeleza hili baadaye kidogo.. nimetingwa na "mavuno" hapa.
 
Defunkadelic,

The section you quoted is not relevant for this case. The assumption is that Rweyemamu was born before 26/4/1964 there fore the section to be used is section 4.1 which says:

(1)Every person who, having been born in Mainland Tanzania or in Zanzibar before Union Day, was immediately before Union Day a citizen of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar shall be deemed to have become, on Union Day, and, with effect from Union Day, subject to section 30, to have continued, and after the commencement of this Act shall continue, to be a citizen by birth of the United Republic.

Ok, ngoja nikujibu ninavyoelewa. Sorry nime-quote vibaya, makosa yangu. But let me correct myself. Cos this is interesting as I see it.
We are assuming Salva was born before the Union. And assuming his parents were not born in Tanzania. So there is no provision for them right?
But section 6 says;
6. Every person born outside the United Republic on or after Union Day shall, with effect from the date of his birth, be deemed to have become and to have continued to be, and with affect from the commencement of this Act shall become and continue to be, a citizen of the United Republic if at the date of his birth his father or mother is or was a citizen Republic on or after Union of the United Republic otherwise than by descent, subject to the provisions of section 30.

So they couldnt be born on or after (that means they will be younger than Salva). This may be irrelevant, but bear with me.

4.(3) Every person who, having been born outside both Mainland Tanzania and Zanzibar before Union Day, was immediately before Union Day a citizen by descent of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar shall be deemed to have become, on Union Day and, with effect from Union Day, subject to section 30, have continued, and after the commencement of this Act shall continue, to be a citizen by descent of the United Republic.

So going by the law, and assuming Salva is okay kisheria......kwasababu hapo naona wazazi wake wako recognised. Then wazazi wake ndio 'citizen by descent'........So far Salva still safe and parents too.

So now I understand better........those other guys Kina Ulimwengu and co., their nationality was questioned because there parents were not Tanzanians (or even themselves were citizens by descent)? So their parents could have been 'citizens by descent'..........SO BASICALLY THERE IS A HUGE FLAW..

By the way, I am just reading the sheria on paper, not that I know the facts on any of the people mentioned (but just going by history and logic).

And anyone know what these Acts say (cos they are reffered to in 30.(1)??

29.-(1) The Citizenship Ordinance, and the Citizenship Act, 1961, are hereby repealed.
(2) The Extension and Amendment of Laws (no. 5) Decree, 1964, is hereby amended by deleting the whole of the Fourth Schedule to that Decree.

By the way, ndio na-note post ya kwanza inaonyesha article ni ya mwaka 2001. Nilifikiri ya majuzi.
 
Hili longolongo lote la kusema alizaliwa hivi haliwezi kutusaidia kitu. Salva ahojiwe na CV yake iangaliwe na kama utata wa uraia wake upo hastahili kazi aliyopewa. Ati alizaliwa kabla ya tarehe .... haina maana ili mradi kuna ushahidi kuwa kwa mfano mkewe alijilipua n.k. inabidi ukweli uelezwe.

Hatuwezi kuwa na vibaraka wa nchi nyingine tena kwa makusudi na kufahamu sio raia wa TZ kuwapa kazi kwenye vyombo vya dola.
 
Defunkadelic,

Yes, we are talking about Salva Rweyemamu himeslef not his parents, so only two sections can be used, these are sections 4.1 and 30.

Dau,

You said It will help to have Rweyemamu CV, I suggest we should start with your CV and may be you should be interrogated first to help the republic identify your nationality.

I don't think Rweyemamu needs to prove anything, those who are accussing him, need to come up with evidences why they think he
is not Tanzanian? Accussed is not guilty until proven guilty.
 
Salva amekuwa mdau hapa JF muda kibao, hakuna aliyemwuliza uraia. Leo mnaona hana nafasi ya kujitetea kwa kuwa keshaingia kwenye ofisi kubwa mnaanza kumshambulia. Huu ni unafiki au woga au vyote pamoja. Yeye keshaaminiwa, kapewa nafasi hiyo. Anayetamani nafasi kama hiyo naye pia ajenge credibility, atapata. Nothing personal!
 
Credibility haijengwi kwa fitna. Alichofanya ni kumchafua Salim kisawa sawa ili kumpa njia JK. Are you out of your mind? Is that the way men build their credibility. Shame one you bro.
 
Cha msingi achape kazi tuu bse hao tunaowaamini kuwa watz ndo wanatuangusha.
Kwa mwendo huo waliomipakani wote wako matatani?
 
Mtanzania said:
You said It will help to have Rweyemamu CV, I suggest we should start with your CV and may be you should be interrogated first to help the republic identify your nationality.

Kwani umesikia mimi nimekuwa public figure? Mimi sio Dau bali ni Dua. Kwani ni vibaya kuhitaji kufahamu uraia wa MTZ ambaye anafanya kazi kwenye sehemu nyeti za serikali? Huu mjadala ungekwisha siku nyingi sana kama yeye mwenyewe angekuwa open lakini kwa sababu anaficha hili litamtokea puani. Waswahili walisema mfichaficha maradhi kifo kitamuumbua.

CV yangu nitaitoa nitakapokuwa public figure.
 
Salva ni mrwanda na mke wake ana hifadhi ya kikimbizi toka home office kama ni mnyaruanda yuko LUTON kwa habari zaidi Nico (abdul) njohole anaweza kukumwagieni wanakaaa karibu sana pale Luton.

pia huyu bwana hajui hata itifaki za serikali wakati mwalimu Nyerere yuko ST.THOMAS AMELAZWA huyu bwana aliandika habari ya kuudhalilisha usalama wa Taifa mzee APSON shahidi wa hilo jambo. leo anapewa ikulu? tena katoka mtaani alikuwa jobless.
haki yake amejikomba sana kwa Rostam kulikuwa hakuna tofauti ya mfanyakazi wa ndani wa rostam na Salva.

nadhani hata kuwachamba mavi amefanya kwa watoto wa Rostam. ukifika oysterbay humkosi. kuna kipindi aliandika makala ya kiislam kwenye rai.
 
nendeni mahakamani mkaweke private motion kama mko serious sio longo longo tuu hapa
 
Kurasa 22 sasa bado uraia wa Bwana Salva haujakanushwa wala kuthibitishwa duh!
 
Back
Top Bottom