Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Ninajiski kuumwa kichwa kwa sababu tunajirahisisha sana. Hivi hizi tuhuma zinaazia wapi? Uraia wa Tanania unaanzia wapi na unaishia wapi? Mbona watu wanapika majungu na kuyapakua yangali mabichi. Hoja hii imechochewa na wivu, tena nasema wivu wa kike kama alivyopata kusema Spika Mstaafu Msekwa ingwa baadaye aliwaomba radhi akina mama. Tuache wivu, Salva ni Mtanzania. alipokuwa akiendesha Habari Corporation wakati huo Rai, Mtanzani na The African yakiwa mwiba kwa utawala wa Mwinyi na Mkapa haya hayakusemwa leo mnasema kisa akapewa cheo na JK, acheni wivu huo mtakufa na roho zenu.
Huyu mzee yupo kweli maana kaamua kukaa kimya kabisa
 
Back
Top Bottom