Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

wandugu hizi habri za salva zikoje?ni kweli sio raia au?
 
Lakini pia ''watanzania wenye sifa'' mngerudi tu nyumbani mchukue hizi nafasi jamani!Lisiwe swala la '''i am not intrested in tz politics''!thisi is the question of your country jamani.fimbo ya mbali haiui nyoka
 
Lakini pia ''watanzania wenye sifa'' mngerudi tu nyumbani mchukue hizi nafasi jamani!Lisiwe swala la '''i am not intrested in tz politics''!thisi is the question of your country jamani.fimbo ya mbali haiui nyoka

Mkuu Geoff
Ni mgawanyo wa kazi tu, wengine tupo miaka ya Michael Jackson ila nafasi haziji bila kuwa na good God father
 
Lakini pia ''watanzania wenye sifa'' mngerudi tu nyumbani mchukue hizi nafasi jamani!Lisiwe swala la '''i am not intrested in tz politics''!thisi is the question of your country jamani.fimbo ya mbali haiui nyoka

WaTanzania waliokuwa nje ya nchi washakuwa exposed na mambo mengi sidhani kama kuna mtu na akili zake timamu atataka kurudi aajiiriwe na serikali ya Tanzania kama civil servant

That said wapo kibao ambao nao wako narrow minded wakifikiri kufanya kazi serikali ndio mwisho ya mambo...I mean how can someone leave a hedge fund job ambayo analipwa 6 figures akachukue kazi ya kujaza makaratasi na mafaili kutwa nzima?
 
Monday, February 12, 2001
-----------------------------------------------------------------
Shock as Tanzania Acts Against 'Aliens'
A JOINT REPORT
THE EASTAFRICAN

THE GOVERNMENT crackdown on "aliens" signalled by the declaration of four prominent personalities in Tanzanian politics as "non-citizens" has sent shock waves through the country's border regions, where thousands of people of foreign origin could face deportation.

Estimates put the number of "aliens" at well over 30,000, most of whom live in Kagera, Kigoma and Rukwa in western Tanzania and Ruvuma and Mtwara in the south, as well as in Dar es Salaam and Zanzibar. Many have intermarried with Tanzanians, and are accepted as citizens by local people.

Refugees have been migrating into Tanzania almost continuously since the first wave that fled ethnic killing in the Central African states of Burundi and Rwanda some 50 years ago. Some of them lives in refugee camps but others intermingled with Tanzanians in villages along the borders.

Asked about the crackdown, the spokesman of the Directorate of Immigration, Mr Herbert Chilambo, told The EastAfrican: "The government is not ready to comment on the issue at the moment." However, a senior government sourcein Dar es Salaam confirmed, "This is just the beginning. The crackdown will continue to net all non-citizens and remove those found to be in sensitive civil service positions. We have names that we are following up on," he added without revealing any.

Meanwhile, Rwandan officials interviewed in Kigali said that whatever steps Tanzania took against people of Rwandan origin, "our policy is to welcome home all Rwandans in the diaspora." Rwanda is one the major sources of "aliens: in Tanzania. Some estimates put the number of Rwandans living in the border regions at over 10,000.

The secretary general (permanent secretary) of the Rwandan Ministry of Foreign Affairs, Mr Seth Kamanzi, a former Tanzanian citizen, told The EastAfrican that his government had not been formally informed on the citizenship issue by Tanzania, "but the Rwandan policy is to welcome home all bona fide Rwandans from all over the world."

Mr Kamanzi, who once worked as a lecturer at the Institute of Finance Management in Dar, said he had read the "shocking story" of the cancellations of the citizenship of four prominent people, two of whom are Rwandans by birth, in the Tanzanian newspapers. There had been no formal communication to Kigali, he said. "I know some of those involved to be people of high standing, people who have served Tanzania for many years owing to its strong Pan-Africanist outlook," he added.

The government says it has established that a former Tanzania High Commissioner to Nigeria, Mr Timothy Bandora, and a former District Commissioner and member of the Chama cha Mapinduzi (CCM) National Executive Committee, Mr Jenerali Ulimwengu, are Rwandans.

Of the other two, Kagera regional CCM chairman Mr Anatoli Amani is said to be Ugandan and Ms Maudline Castiko, CCM Zanzibar publicity secretary and a NEC member, is apparently a Zambian. All four have been instructed to formally apply for Tanzanian citizenship. Mr Amani has reportedly contested the government order.

Many former Tanzanian citizens like Mr Kamanzi are now prominent persons in Kigali. They include, among others, Dr L. W. Rutayisire, deputy governor of the Central Bank of Rwanda, who lectured at Dar es Salaam University and served on the board of directors of the Bank of Tanzania. Some of Mr Kamanzi's relatives are still in Tanzania, including his brother, who is employed by the Bank of Tanzania.

The Tanzania Citizenship Act 1995 prohibits dual citizenship, but many Tanzanians are said to hold dual citizenship. Most are Tanzanian/ Rwandans, Tanzanian/ Canadians, and Tanzanian/ British. Observers in Dar es Salaam were last week asking why the government waited so long to eject non-citizens, and how they could rise to sensitive positions in government and ruling party.

With the exception of Rukwa region on the eastern shores of Lake Tanganyika, where it is estimated that some 4,000 Congolese alongside several thousand Rwandese refugees, there are no exact counts for the other border regions outside refugee camps. Large numbers of foreigners are thought to be living in Kigoma and Kagera region in villages and towns on the borders of Burundi and Rwanda. Thousands of Mozambicans who fled the fighting between Frelimo and Portugal in the freedom struggle from the early 1970s live in the southern Tanzania regions of Mtwara and Ruvuma.

Dar es Salaam has been host to foreigners from as far away as Pakistan, Somalia and Sudan, while Zanzibar has historically hosted, unquestioned, people originating in the Comoros islands, known locally as Wangazija. Government officials say most such "aliens" did not bother to formalise their citizenship even when the opportunity arose at independence in 1961, and in the 1990s. The Citizenship Act 1995 also provides for immigrants to regularise their citizenship, but is ignored by most. The descendants of these immigrants attended schools and colleges during Mwalimu Nyerere's era, went to the National Services – a paramilitary training institution for Tanzanian youths – and were appointed to positions in the army and the civil service, with some being appointed ministers and joining the diplomatic service.

A number of prominent figures in the country have in the past had their citizenship questioned with some of them forced to justify it in courts of law. This has invariably occurred when vying for political office. These include the current Minister for Industries and Trade, Mr Idi Simba and the former Minister for Lands, Mr Arcado Ntagazwa, now MP for Muhambwe in Kigoma region. The current Minister of Education, Mr Joseph Mungai, is of Kenyan origin.

Swali:

Je, Mkurugenzi mpya wa Mawasiliano Ikulu Bw.Salva Rweyemamu ni raia wa Tanzania.


Ndugu yangu Mwanakijiji, tunashukuru sana kwa hii mada yako. Ila ningependa kuuliza kwa uzuri tu. Wewe upo Marekani, na kusema kweli hatujui kwamba una green Card au La, na kwa hisia zangu, haujawahi kurudi Tanzania na wengi wetu wanafahamu fika kwamba miguu yako imefungwa na Mzee Obama

Mara ya mwisho ulipoulizwa kuhusu urai wako,uliwahi haraka sana kuuzima huo mada, na hatukuiona tena. Leo unauliza kuhusu Rwayemamu, basi tukuulize na wewe kwamba wewe ni raia wa wapi? Mnyarwand, Mrundi, mmalawi au Mtanzania?

Nauliza kwa uzuri tu, kwa maana na wewe pia unaishi kwenye nchi ya watu. Usinifungie kwa kuwa nimeuliza swali. Mimi nimeuliza kutafuta haki ndugu yangu. Mnyonge mnyongeni lakini apewe haki yake........
 
هل الصمت لوطي
JF tunaruhusiwa kutumia lugha ngapi? naombeni muongozi tafadhali.......najuan mpemba anatumia google translate kurusha mijitusi yake kwa lugha nyingine.....
 
Teh teh ..naona Silencer keshaingia mtamboni ku-edit posts zinazomgusa..

Bua ha ha ha..
 
Haya mambo yapo kweli lakini kuna ambao walikuja miaka ya 60 mwanzoni hawana ndugu kabisa wakaoa au kuolewa huku TZ hao tutawapeleka wapi? Nadhaini tuangalie hawa waliokuja miaka ya karibuni kuanzia 80's. Hasa mafisadi wengine ambao hapa hamjawasema. Wana JF wote wanajua kuwa Rostam kaja siku za karibuni tu na ni mbunge, Lowasa ni mmasai wa Kenya aliyelelewa na rafiki wa baba yake huko Arusha. Chambueni hawa.
 
[Masanja kaaandika maneno msumari sanaQUOTE=Masanja;73174]Ndugu zangu, hii issue ya uraia ni very SENSITIVE SANA, Nani MTANZANIA halisi? jamani, tukianza kufukuzana kwenye hii nchi sijui kama patakalika. Huo moto aliuwasha Gbabo kule Ivory Cost nadhani mpaka leo tunaona matunda yake. Hii issue ya uraia kwa kweli ni very very tricky. Maana leo mtu akikuundia hoja kwamba wewe ni mrundi kwa vile unatoka Kigoma (ofcourse ukiwa upinzani), jiulize what will be your reaction, given the fact that ni kweli ulizaliwa Kigoma na kwa sababu ya ukaribu unaongea kirundi ile mbaya, lakini you have never crossed the boarder kuingia Burundi?

Na kibaya zaidi hii issue ya uraia, inazuka pale mtu unapokwenda kinyume na maslahi ya chama kwa upande wetu TZ. ni kukomoana. Mtu kazaliwa Nachingwea, definetely anaongea lugha ya msumbiji kuliko kiswahili na yuko karibu na mtu wa Msumbiji kuliko mtz mwenzake wa Mwanza. Honestly, hii mada ndo itatutokomeza Africa, ndo maana at times naona M7 ana sense akisema tuungane na kuuondoa hii mipaka. Maana vurugu zinaanzia hapa. N kwa Africa tumeshaona mifano mingi, labda tusubiri yatukute ndo tutajifunza.

Chiluba alitaka kumfukuza Kaunda (aliyekuwa rais kwa miaka 27 Zambia) kwamba ni mnyasa wa malawi. Jiulize Zambia kungekalika na supporteers wa Kaunda wangereact vipi?. Africa, tunakosa kujadili mambo ya maana katika mustakabali wa maisha ya watu wetu na baadala yake tunaangalia vitu cheap cheap kuwamal;iza wale wasiokubaliana na sisi. We are going no where.[/QUOTE]
 
Mzee Masanja umeandika vitu vya maana sana kwani tukitaka kufuatilia nani raia kamili kutakuwa hakukaliki karibu kila mtu sio mtanzania ,hata mzee Kambarage naye wanasema hakuwa mtanzania alikuwa ni mburundi,hii ni topic moja ya kukomoana tuu.
 
Hii issue si tatizo la Tanzania au Afrika tu, hata wenzetu nchi zilizoendelea wanaitumia uraia kama mbinu ya kumalizana kisiasa. Baraka Obama wakati wa uchaguzi wapinzani wake walitoa hoja kuwa si Mmarekani, cha ajabu bado kuna wanaoendeleza hii hoja hadi sasa na sasa wanadai wana ushahidi affidavit iliyosainiwa na bibi yake mzaa baba Kenya kuwa Baraka alizaliwa kijinini Kenya na kuwa huyo bibi alikuwepo wakati Baraka anazaliwa! Sasa sijui huyu bibi ni njaa au vipi. Wanasiasa wanatia aibu wanaposhindwa kushindana kwa hoja.
 
Nyaraka za Ikulu ziko kwa Salva, hati nyeti zinafaksiwa kwa Kagame, TISS mpo? Kazi hiyo, kibarua kipya, kama cha Ulimwengu! Yawezekana. Hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu.Work on every grain of rumour!
 
Wapo wengi tu akina Anatoli Ntukamazima, Joseph Rugumyamheto n.k Mkapa aliwapiga vita kwa sababu jamaa walikuwa ndio chanzo cha kuvuja kwa siri nyingi za serikali. Hasa Jenerali ambaye ilidaiwa alikuwa anafadhiliwa na Mu7 baada ya kutemwa kwenye "Kitchen Cabinet" ya Mkapa jamaa akawa anaanza kuponda . Jamaa alivyoambiwa akakana kwamba yeye sio raia wa Rwanda jamaa wa System wakampa vielelezo vya pasi tatu zake za kusafiria yaani Uganda, Tanzania na Rwanda. Akakubali matokeo leo mnamuona ....kimya . Bottom line ya mambo yote ni kwamba hawa jamaa wana machungu na hii nchi kuliko hao wanaojidai wazawa. Na ukiangalia nchi kama Rwanda watu wako serious sana kulinganisha na Tanzania leo hii naweza kusema jiji la KIGALI linaongoza kwa usafi Afrika Mashariki Nzima. Wameweza kurudisha nidhamu ya utumishi serikalini . Wao wanategemea Kahawa tu na Utalii. Ni landlocked country sio kama Tanzania lakini wameweza kufanya mengi. Leo tunakaa humu JF kuanza kumjadili mtu kama Salva yeye anaweza kuukana Utanzania akaenda Rwanda akapata nafasi kubwa katika serikali ya huko What will he loose? UTANZANIA...? Marekani haikujengwa na wale wazawa wahindi wekundu isipokuwa ni wale Wa Irish wahamiaji na Wa Afrika toka utumwani kwa asilimia kubwa. Tuacheni dhambi ya ubaguzi itatumaliza. Ukiambiwa kwamba Nyerere ana asili ya UTUTSI utakubali utakataa?
 
Kwa kusema ukweli, hili suala la uraia kwa Tanzania ni gumu kulithibitisha kutokana na taratibu zetu za kutunza kumbukumbu za nchi. Mtu anazaliwa bila taarifa na ankufa bila taarifa. RITA wapo tu kama utaratibu lakini hawako serious kuhakikisha kila azaliwaye Tanzania anajulikana katika kumbukumbu za taifa. Lakini hali si hivyo. Kule vijijini hali ndiyo mbaya zaidi, kwani hata mwenyeketi wa serikali ya kijiji hajui watu waliozaliwa ktk kijiji chake bila kwenda hospitali.

Mimi nakubaliana na mchangiaji aliyetangulia kuwa tuweke cut off date ya kusajili walio watanzania na waliokuja baada ya hapo ndiyo waitwe wageni. Japokuwa inatambulika kuwa wale wote waliokuwepo na waliozaliwa wakati na baada ya uhuru ni watanzania lakini kuthibitisha hilo ni gumu mno.
 
Back
Top Bottom