Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,732
40,839
Monday, February 12, 2001
-----------------------------------------------------------------
Shock as Tanzania Acts Against 'Aliens'
A JOINT REPORT
THE EASTAFRICAN

THE GOVERNMENT crackdown on "aliens" signalled by the declaration of four prominent personalities in Tanzanian politics as "non-citizens" has sent shock waves through the country's border regions, where thousands of people of foreign origin could face deportation.

Estimates put the number of "aliens" at well over 30,000, most of whom live in Kagera, Kigoma and Rukwa in western Tanzania and Ruvuma and Mtwara in the south, as well as in Dar es Salaam and Zanzibar. Many have intermarried with Tanzanians, and are accepted as citizens by local people.

Refugees have been migrating into Tanzania almost continuously since the first wave that fled ethnic killing in the Central African states of Burundi and Rwanda some 50 years ago. Some of them lives in refugee camps but others intermingled with Tanzanians in villages along the borders.

Asked about the crackdown, the spokesman of the Directorate of Immigration, Mr Herbert Chilambo, told The EastAfrican: "The government is not ready to comment on the issue at the moment." However, a senior government sourcein Dar es Salaam confirmed, "This is just the beginning. The crackdown will continue to net all non-citizens and remove those found to be in sensitive civil service positions. We have names that we are following up on," he added without revealing any.

Meanwhile, Rwandan officials interviewed in Kigali said that whatever steps Tanzania took against people of Rwandan origin, "our policy is to welcome home all Rwandans in the diaspora." Rwanda is one the major sources of "aliens: in Tanzania. Some estimates put the number of Rwandans living in the border regions at over 10,000.

The secretary general (permanent secretary) of the Rwandan Ministry of Foreign Affairs, Mr Seth Kamanzi, a former Tanzanian citizen, told The EastAfrican that his government had not been formally informed on the citizenship issue by Tanzania, "but the Rwandan policy is to welcome home all bona fide Rwandans from all over the world."

Mr Kamanzi, who once worked as a lecturer at the Institute of Finance Management in Dar, said he had read the "shocking story" of the cancellations of the citizenship of four prominent people, two of whom are Rwandans by birth, in the Tanzanian newspapers. There had been no formal communication to Kigali, he said. "I know some of those involved to be people of high standing, people who have served Tanzania for many years owing to its strong Pan-Africanist outlook," he added.

The government says it has established that a former Tanzania High Commissioner to Nigeria, Mr Timothy Bandora, and a former District Commissioner and member of the Chama cha Mapinduzi (CCM) National Executive Committee, Mr Jenerali Ulimwengu, are Rwandans.

Of the other two, Kagera regional CCM chairman Mr Anatoli Amani is said to be Ugandan and Ms Maudline Castiko, CCM Zanzibar publicity secretary and a NEC member, is apparently a Zambian. All four have been instructed to formally apply for Tanzanian citizenship. Mr Amani has reportedly contested the government order.

Many former Tanzanian citizens like Mr Kamanzi are now prominent persons in Kigali. They include, among others, Dr L. W. Rutayisire, deputy governor of the Central Bank of Rwanda, who lectured at Dar es Salaam University and served on the board of directors of the Bank of Tanzania. Some of Mr Kamanzi's relatives are still in Tanzania, including his brother, who is employed by the Bank of Tanzania.

The Tanzania Citizenship Act 1995 prohibits dual citizenship, but many Tanzanians are said to hold dual citizenship. Most are Tanzanian/ Rwandans, Tanzanian/ Canadians, and Tanzanian/ British. Observers in Dar es Salaam were last week asking why the government waited so long to eject non-citizens, and how they could rise to sensitive positions in government and ruling party.

With the exception of Rukwa region on the eastern shores of Lake Tanganyika, where it is estimated that some 4,000 Congolese alongside several thousand Rwandese refugees, there are no exact counts for the other border regions outside refugee camps. Large numbers of foreigners are thought to be living in Kigoma and Kagera region in villages and towns on the borders of Burundi and Rwanda. Thousands of Mozambicans who fled the fighting between Frelimo and Portugal in the freedom struggle from the early 1970s live in the southern Tanzania regions of Mtwara and Ruvuma.

Dar es Salaam has been host to foreigners from as far away as Pakistan, Somalia and Sudan, while Zanzibar has historically hosted, unquestioned, people originating in the Comoros islands, known locally as Wangazija. Government officials say most such "aliens" did not bother to formalise their citizenship even when the opportunity arose at independence in 1961, and in the 1990s. The Citizenship Act 1995 also provides for immigrants to regularise their citizenship, but is ignored by most. The descendants of these immigrants attended schools and colleges during Mwalimu Nyerere's era, went to the National Services – a paramilitary training institution for Tanzanian youths – and were appointed to positions in the army and the civil service, with some being appointed ministers and joining the diplomatic service.

A number of prominent figures in the country have in the past had their citizenship questioned with some of them forced to justify it in courts of law. This has invariably occurred when vying for political office. These include the current Minister for Industries and Trade, Mr Idi Simba and the former Minister for Lands, Mr Arcado Ntagazwa, now MP for Muhambwe in Kigoma region. The current Minister of Education, Mr Joseph Mungai, is of Kenyan origin.

Swali:

Je, Mkurugenzi mpya wa Mawasiliano Ikulu Bw.Salva Rweyemamu ni raia wa Tanzania.
 
Monday, February 12, 2001

The government says it has established that a former Tanzania High Commissioner to Nigeria, Mr Timothy Bandora, and a former District Commissioner and member of the Chama cha Mapinduzi (CCM) National Executive Committee, Mr Jenerali Ulimwengu, are Rwandans.

The Tanzania Citizenship Act 1995 prohibits dual citizenship, but many Tanzanians are said to hold dual citizenship. Most are Tanzanian/ Rwandans, Tanzanian/ Canadians, and Tanzanian/ British. Observers in Dar es Salaam were last week asking why the government waited so long to eject non-citizens, and how they could rise to sensitive positions in government and ruling party.


Swali:

Je, Mkurugenzi mpya wa Mawasiliano Ikulu Bw.Salva Rweyemamu ni raia wa Tanzania.


Naona viongozi wetu wa Tanzania wamekuwa kama gari la takataka, sheria zetu wenyewe tunashindwa kuzifuata na wageni kupewa vyeo ambavyo WTZ wangeweza kufanya na kwa ufanisi zaidi na kuweza kuendeleza nchi yetu katika nyanja mbali mbali.

Hivi ni nani wanafanaya vetting kabla ya kujiingiza na kuwapa vyeo raia ambao sio WTZ? Kuongea Kiswahili pekee sio nyenzo, Je Vitambulisho vitaanza kutoka lini? Hii inaweza kuwa sababu kubwa tunaibiwa kwenye mikataba mibovu, BOT na rushwa ambazo hazina mkia. TUANZE SASA KUJIANGALIA KUTOKA NDANI SIO NJE!
 
Hivi kuna mtu anajua kama huyu Salva ni raia wa Tanzania kwa mujibu wa sheria ya uraia ya 1995?
 
mwanakijiji

1 - MTANZANIA NI NANI ?

2 - NINI TOFAUTI YA MTANZANIA NA RAIA WENGINE WA DUNIA

3 - MTANZANIA ANA SIFA GANI ZINAZOMTAMBULISHA ULIMWENGUNI

4 - JE UNA UHAKIKA KAMA HATA NA WEWE MWENYEWE MTANZANIA BABA YAKO NA MAMA YAKO NI MTANZANIA AU BABU ZAKO ?
 
Ndugu zangu, hii issue ya uraia ni very SENSITIVE SANA, Nani MTANZANIA halisi? jamani, tukianza kufukuzana kwenye hii nchi sijui kama patakalika. Huo moto aliuwasha Gbabo kule Ivory Cost nadhani mpaka leo tunaona matunda yake. Hii issue ya uraia kwa kweli ni very very tricky. Maana leo mtu akikuundia hoja kwamba wewe ni mrundi kwa vile unatoka Kigoma (ofcourse ukiwa upinzani), jiulize what will be your reaction, given the fact that ni kweli ulizaliwa Kigoma na kwa sababu ya ukaribu unaongea kirundi ile mbaya, lakini you have never crossed the boarder kuingia Burundi?

Na kibaya zaidi hii issue ya uraia, inazuka pale mtu unapokwenda kinyume na maslahi ya chama kwa upande wetu TZ. ni kukomoana. Mtu kazaliwa Nachingwea, definetely anaongea lugha ya msumbiji kuliko kiswahili na yuko karibu na mtu wa Msumbiji kuliko mtz mwenzake wa Mwanza. Honestly, hii mada ndo itatutokomeza Africa, ndo maana at times naona M7 ana sense akisema tuungane na kuuondoa hii mipaka. Maana vurugu zinaanzia hapa. N kwa Africa tumeshaona mifano mingi, labda tusubiri yatukute ndo tutajifunza.

Chiluba alitaka kumfukuza Kaunda (aliyekuwa rais kwa miaka 27 Zambia) kwamba ni mnyasa wa malawi. Jiulize Zambia kungekalika na supporteers wa Kaunda wangereact vipi?. Africa, tunakosa kujadili mambo ya maana katika mustakabali wa maisha ya watu wetu na baadala yake tunaangalia vitu cheap cheap kuwamal;iza wale wasiokubaliana na sisi. We are going no where.
 
Kuna habari za kuaminika zinlizozagaa Dar jioni hii kuwa ule msemo IKULU kumekuwa kama CHAKA la wezi sasa hivi umepitwa na wakati...isipikuwa msemao uliopo mjini ni kuwa IKULU SASA HIVI KUMEJAA BIMBILI ZA MAVI (mnaojua kiswahili fasaha nadhani mmenielewa)

JK katika kuonyesha uzalendo wake anaendelea kuajiri watu ambao SI WATANZANIA au watu ambao URAIA WAO UNA WALAKINI....taarifa nilizozipata ghivi punde toka KLABU YA SAIGONI mtaa wa sikukuu ni kuwa SALAVA RWEYEMAMU ambaye kateuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa Mawasiliano Ikulu URAIA WAKE UNA WALAKINI na inawezekana kabisa akawa si MTanzania japo anayo hati ya kusafiria ya Tanzania kama alivyokuwa JENERALI (tusiburuzane kwenda peponi) TWAHA ULIMWENGU

Sasa hii bado iko HOT na nimeitoka jikoni sasa hivi sasa nasubiri kwa HAMU kubwa taarifa kamili ya kikosi cha CRIME SCENE INVESTIGATION (CSI) CHA JAMBO FORUMS kumfanyia kazi huyu kisha watuletee taarifa kamili
 
Nafikiri watanzania na Afrika kwa ujumla ni waathirika wa historia ambayo hatuijui kiundani. Historia hii ndio inayotufanya tuwe tunafanya mambo bila mipango na muono wa kueleweka.

Hawa wanaoitwa walikuwa ni watanzania wamekuwepo nchini Tanzania kwa miaka nenda rudi na wengi wa watanzania wanajua kwamba hawa watu si raia wa tanzania kiasi cha kuweza kuwaruhusu kufanya kazi katika sehemu nyeti za nchi yetu.

Hawa watu ni lazima wamulikwe na waondolewe sehemu hizo na wachunguzwe waliupataje uraia huo wa Tanzania na wana "intentions" gani na nchi yetu na ni kwanini wafanye kazi katika sehemu hizo tu na sio maeneo mengine tu ya kawaida.

Kama mtu anafanya kazi BOT kwa lengo la kupata ujuzi wa kudhibiti uchumi na baadae kwenda nao ujuzi huo Rwanda au Burundi basi hapo pana walakini kwani sera za uchumi za Tanzania na Rwanda au Burundi haziwezi kuwa sawa.

Pia kama mtu anaweza kufika mpaka idara za "exchange control", "banking" na idara nyingine nyeti kama ya kudhibiti mabenki yakiwemo ya kigeni basi huyo anajua siri za ufanyaji kazi wa chombo chetu cha fwedha.

Ninahisi kwamba kuna kundi kubwa tu la waliokuwa na walio watanzania wa kuhamia(sio wote) ambao walikuwa na bado wanaendelea ku-subortage uchumi wa nchi yetu na mifano ipo kupitia jinsi tenda na mizengwe mingine ndani ya mfumo wetu wa fwedha, tokea tupate uhuru mpaka leo.

Sasa hapo ndio nnauliza watu waliopewa dhamana ya kulinda usalama na mali ya nchi yetu, je wanafanza nini tokea mwaka 1961?.
 
Hili Swali Mwanakijiji Ameshauliza Semvu Huwa Husomi Post Za Wenzako Unaweka Tu ? Ndio Umeshaanza Spamming Nini ??

ahhh unajua kumdiscuss huyu as an individual ndio kutaleta utamu zaidi au unasemaje? halafu mimi sijasoma hiyo unayosema ya Mwanakijiji lakini sources zangu mimi ziko SAIGONI

lakini hiyo haiondoi hoja ya msingi kuwa URAIA WA SALVA UKO QUESTINABLE mjini sasa
 
Hivi kuna mtu anajua kama huyu Salva ni raia wa Tanzania kwa mujibu wa sheria ya uraia ya 1995?

...mwanakijiji vipi tena ni tit for tat or ni agenda zako zisizoeleweka? tukianza hivyo hatutafika mbali bro maana hata wewe tunajua babu yako alikuwa Mrundi wa kuhamia!
 
Haileti Utamu Hata Kidogo Ndio Inaonyesha Utamaduni Wapo Lets Not Disucuss Ppl Tudiscuss Mengine Yenye Manufaa Kwa Jamii Yetu

Mfano Ukimdiscuss Yeye Utapata Faida Gani ?

Unaenda Kumwambia Athumani Janguo Amwambie Jk Jamaa Mwenzake Wa Pwani Au?

Ili Iweje Kwa Faida Za Nani?

Mbona Jabil Kigoda Hana Sifa Za Kutosha Yuko Benki Kuu Pale Na Hakuna Anayesema?
 
katika hiyo lets not discuss peopple basi ndio huko tunajukuta ndugu zatu wanaambiwa nafasi za kazi zimejaa halafu hawa ma ILLEGALS wanapewa hizo kazi

halafu hata kama hoja ya yeye kuthibitisha uraia wake ikishinda then hii itakuwa platform ya kufanya evaluation ya kazi yake kama spokesperson/mkurugenzi wa PR wa JK

Na haiwezekani ikawa huyu SALVA akawa siyo spotless yaani akwa hana doa hata kidogo
 
Haileti Utamu Hata Kidogo Ndio Inaonyesha Utamaduni Wapo Lets Not Disucuss Ppl Tudiscuss Mengine Yenye Manufaa Kwa Jamii Yetu

Mfano Ukimdiscuss Yeye Utapata Faida Gani ?

Unaenda Kumwambia Athumani Janguo Amwambie Jk Jamaa Mwenzake Wa Pwani Au ?

Ili Iweje Kwa Faida Za Nani ?

Mbona Jabil Kigoda Hana Sifa Za Kutosha Yuko Benki Kuu Pale Na Hakuna Anayesema >?

Hiyo ya JABIR KIGODA sikuwa nayo basi mindhali umeileta then nayo itakuwa open for discussion ..AU UNASEMAJE?
 
Hivi kuna mtu anajua kama huyu Salva ni raia wa Tanzania kwa mujibu wa sheria ya uraia ya 1995?

Mheshimiwa mwanakijiji,

Ndugu Salva Rweyemamu nimepata kuonana nae hapa UK akiwa na watanzania wengine wa kabila lake na wengine ambao ni "majirani".

Huyu mheshimiwa ni mmoja wa watu waaandamizi sana katika mfumo wa serikali na shughuli zake za kila siku ikwa ni hapo Tanzania au nje.

Sasa kwa kuuliza "integrity" ya uraia wake kwa sasa naona liwe ni suala la aliemuita kufanya kazi Ikulu ingawa tunaweza kuongeza "level" ya hoja hii iwe pana zaidi.
 
Hapa jf tuliwahi kuisakama sana seriakali kwa kuajiri watu ambao sio raia kwenye nafasi nyeti; sasa serikali inaamka...Jf tunaungana nao, au tunapinga?
 
Kama JENERALI alikuwa si MTANZANIA what makes you think huyu SALVA ambaye walikuwa maswahiba atakuwa MTANZANIA?

In short the Jury is still out on SALVA
 
BIG UP ADMIN/MODS kwa kuziunganisha hizi

sasa hapa ndio patakuwa patamu sana.


Unajua ilishindikana vipi kumpa hiyo kazi MZALENDO badala ya kumpa huyu SALVA?
 
Haileti Utamu Hata Kidogo Ndio Inaonyesha Utamaduni Wapo Lets Not Disucuss Ppl Tudiscuss Mengine Yenye Manufaa Kwa Jamii Yetu

Mfano Ukimdiscuss Yeye Utapata Faida Gani ?

Unaenda Kumwambia Athumani Janguo Amwambie Jk Jamaa Mwenzake Wa Pwani Au ?

Ili Iweje Kwa Faida Za Nani ?

Mbona Jabil Kigoda Hana Sifa Za Kutosha Yuko Benki Kuu Pale Na Hakuna Anayesema >?

SHY,

nilishakuambia huko nyuma. Maandishi yako yanaumiza macho yangu. huo mpangilio wa herufi zako, kila neno kuanza na herufi kubwa kunaniumiza. Sijui wengine. Ni tatizo langu, lakini unaweza kunisaidia kwa kubadilisha formatting ya herufi zako. Labda kama unataka kila nikiona jina lako nivuke niende kwa mwingine, lakini ningependa kukusoma. hata hivyo hapo juu imenishinda. Unajua tena uzee.
 
Back
Top Bottom