Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Ikiwa akina Premji,Bandora,Generali Ulimwengu na Mama Kastico waliulizwa Uhalali wa Uraia wao,kwa nini na Salva isiwe hivyo?kwani ana immunity gani ya kuulizwa Uraia wake?.Kuna Hoja ya Msingi hapa, isomeni na irudieni tena post ya Keil #142,kaandika kwa Msukumo wa Uzalendo na post hiyo imebeba maana kubwa.Ikiwa akina Dr.Rutayisire na Prof. Wamba waliondoka bila kuaga walipoona wana nafasi na mambo ni mazuri kwao,hamuoni kwamba hawana Uchungu na kwetu,pamoja na kwamba wamechuma hapa?.Tujenge Hoja za maana zaidi kuhusu Haki za Raia.Tukienda hivi ipo siku tutatoa Uwaziri na baadaye Urais kwa Muhamiaji!!!eti kwa sababu tu unalipa fadhila.

Mwawando,

Kwa msukumo wa Uzalendo? Kuna uzalendo gani kwenye hiyo hoja zaidi ya ubinafsi na choyo?

Kama ni kuondoka, je wewe leo ukipata kazi ya maana Kenya, utasubiri hata kuaga? Kwenye maslahi hakuna cha Uzalendo. Wazalendo walikuwa akina Nyerere ambao waliacha kazi za maana ili kutukomboa Watanzania.

Je hata akina Wamba, Kabila wangesajili uraia wao wa Tanzania, unafikiri ingewazuia kwenda Rwanda na Congo?

Hao Watanzania wote walioko nje na ambao wana uraia wa huko waliko, basi wasipewe kazi za maana serikalini, kwasababu siku
JK akiwapa kazi za maana wataondoka huko waliko na kuja Tanzania kulihudumia taifa?

Tunavyooangalia sheria lazima tuangalia implications zake kwa watu wengine. Huwezi kutunga/kuitafsiri sheria kwa ajili ya mtu mmoja, utakuja gundua inauma maelfu ya watu.

Kuna Watanzania hata zaidi ya milioni moja hasa sehemu za mipakani ambao muda wote wanajua ni Watanzania, wanaweza kujikuta wanapoteza uraia wao shauri ya siasa za kuwindana na kukomoana. Nenda Mtwara, Ruvuma, Mbeya, Rukwa, Kigoma, Kagera, Mara, Kilimanjaro, Tanga, Unguja, Pemba, utakuta watu ambao baba zao walifika huko miaka na miaka lakini hawana karatasi zozote kuonyesha ni raia.

Hivi utasema Chiluba alikuwa mzalendo zaidi ya Kaunda alipotaka kumtimua Kaunda kwa sheria kama hiyo ambayo mnaijadili hapa?
 
MTZ umeandika hoja ya mbolea sana hapo juu, nadhani kama watu wangekuwa wanalijadili hili swala bila kuwa na hidden motives za uteuzi wa jamaa tungefikia conclusion ya uhakika. Kama mtu alizaliwa "kabla ya muungano 1964 basi ni raia wa Jamhuri kwa KUZALIWA" Nadhani hii sentensi yako inajitosheleza.

Harafu watu humu wanakuwa blind (sijui kwa sababu wamekaa majuu sana) kwamba asilimia kubwa sana ya watanzania wa leo tumezaliwa vijijini ambako hata rekodi hakuna. Sasa mtu kukudai birth certificate si kutafutana ugomvi? sasa iweje serikali iliyoshindwa kutoa huduma kwa wananchi wake, iwageuke kwa kutotimiza hayo masharti ambayo yalikuwa juu ya uwezo wao? Uzuri naona hata uhamiaji hilo wameshalijua. Jamani birth certificate kwa wengi wetu ni mgogoro. HATUNA KWA SABABU HATA CLINIC KWENDA ILIKUWA MGOGORO. Sio wote tuliozaliwa masaki na Mikocheni jamani. Na kwa maana hiyo ndo rushwa inapoanzia, maana ukininyima passport kwa sababu sina cheti cha kuzaliwa, ofcourse you know what I will do to get the certificate....and on and on..and on..
 
Pia kwa kuongezea kuna visa ingine iitwayo Ancentry ambayo raia wazungu wa nchi kama South Africa ambao babu zao walihamia huko Africa,wanaruhusiwa kuja kwa hio visa na kufanya kazi hapa UK kwa miaka mitano ili walipe kodi na baada ya miaka hio mitano hupewa permanent residency na baade British Citicenship

sasa hiyo ya ancentry nikikupa listi ya wabongo walioitumia utasema mimi nafanya kazi MI5

kwa sasa bora tuzungumzie huyu Salva

kwa kweli natoa pongezi kwa SAMVULACHOLE kwa kutupa mwanga katika hili maana ile connection aliyoitoa hakuna aliyebisha

can you imagine sasa hivi Salva keshapitia nyaraka ngapi za siri za serikali ...na mimi wasi wasi wangu itazidi kuongezeka pale bili yake ya umeme itakapo zidi kuwa kubwa
 
Its obvious kwamba huyo Salva atakuwa amezaliwa during 1950's. Kwa msingi huo basi tunarudi sasa kuwaangalia wazazi wake kama walikuwa raia ama wa kuandikisha au wa kuzaliwa.

Masatu,

Kama alizaliwa miaka ya 50 huyo ni raia halali wa Tanzania wala hakuna haja ya kuangalia wazazi wake. Tunaweza kuangalia wazazi wake kama hakuzaliwa Tanzania yaani kama alikuja akiwa mtoto. Sana sana tunaweza kuangalia kama akiwa mtoto hakuwahi kuwa na uraia wa nchi nyingine kupitia wazazi wake? Hapa suala la dualcitizenship linaingia mpaka miaka 18.

Naona kuna watu wengi sana wanachanganya sheria ya uraia. Kwa watu waliozaliwa kabla ya 26/4/1964 ni kama ifuatavyo.

1. Ulizaliwa Tanganyika/Zanzibar - Wewe ni Mtanzania wa kuzaliwa
2. Ulizaliwa nje ya Tanzania - Ni mtanzania kama at least mzazi wako mmoja alikuwa Mtanzania.
3. Ulizaliwa nje ya Tanzania - ni raia kama baada ya miaka 18
uliamua kuomba kujisajili kama raia wa Tanzania au Wazazi wako waliomba kuwa Watanzania.

Kuna vipengere vinavyoweza kufanya hayo juu yasitendeke. Kwa mfano kama ukiwa mtoto mdogo ulikuwa raia wa nchi nyingine, basi ukiwa na miaka 18 lazima uukane huo uraia. Hii ndio sheria iliyomnyang'anya ubunge Premji.

Pia kama uliwahi kuukana Utanzania basi lazima ujisajili upya.

Hayo ya mtu ameona kuna maslahi Rwanda, kaenda huko na kisha kurudi, lazima ithibitike kwa kufanya hivyo aliukana uraia wa Tanzania au alichukua uraia wa Rwanda, vinginevyo huyo ni Mtanzania.

Mimi sio mwanasheria, wanasheria wanaweza kutusaidia.
 
Ikiwa akina Premji,Bandora,Generali Ulimwengu na Mama Kastico waliulizwa Uhalali wa Uraia wao,kwa nini na Salva isiwe hivyo?kwani ana immunity gani ya kuulizwa Uraia wake?.Kuna Hoja ya Msingi hapa, isomeni na irudieni tena post ya Keil #142,kaandika kwa Msukumo wa Uzalendo na post hiyo imebeba maana kubwa.Ikiwa akina Dr.Rutayisire na Prof. Wamba waliondoka bila kuaga walipoona wana nafasi na mambo ni mazuri kwao,hamuoni kwamba hawana Uchungu na kwetu,pamoja na kwamba wamechuma hapa?.Tujenge Hoja za maana zaidi kuhusu Haki za Raia.Tukienda hivi ipo siku tutatoa Uwaziri na baadaye Urais kwa Muhamiaji!!!eti kwa sababu tu unalipa fadhila.

Professor Wamba Dia Wamba naweza kumtetea huyu mzee aliaga na mkewe yule African American nilikuwa na mjua sana na hali kadhaliaka mwanae marehemu Philipie Wamba ambaye alifariki kwa ajali ya gari nilikuwa namjua personally na kitabu chake cha KINSHIP kilikuwa Newyork times best seller
 
Masatu,

Kama alizaliwa miaka ya 50 huyo ni raia halali wa Tanzania wala hakuna haja ya kuangalia wazazi wake. Tunaweza kuangalia wazazi wake kama hakuzaliwa Tanzania yaani kama alikuja akiwa mtoto. Sana sana tunaweza kuangalia kama akiwa mtoto hakuwahi kuwa na uraia wa nchi nyingine kupitia wazazi wake? Hapa suala la dualcitizenship linaingia mpaka miaka 18.

Naona kuna watu wengi sana wanachanganya sheria ya uraia. Kwa watu waliozaliwa kabla ya 26/4/1964 ni kama ifuatavyo.

1. Ulizaliwa Tanganyika/Zanzibar - Wewe ni Mtanzania wa kuzaliwa
2. Ulizaliwa nje ya Tanzania - Ni mtanzania kama at least mzazi wako mmoja alikuwa Mtanzania.
3. Ulizaliwa nje ya Tanzania - ni raia kama baada ya miaka 18
uliamua kuomba kujisajili kama raia wa Tanzania au Wazazi wako waliomba kuwa Watanzania.

Kuna vipengere vinavyoweza kufanya hayo juu yasitendeke. Kwa mfano kama ukiwa mtoto mdogo ulikuwa raia wa nchi nyingine, basi ukiwa na miaka 18 lazima uukane huo uraia. Hii ndio sheria iliyomnyang'anya ubunge Premji.

Pia kama uliwahi kuukana Utanzania basi lazima ujisajili upya.

Hayo ya mtu ameona kuna maslahi Rwanda, kaenda huko na kisha kurudi, lazima ithibitike kwa kufanya hivyo aliukana uraia wa Tanzania au alichukua uraia wa Rwanda, vinginevyo huyo ni Mtanzania.

Mimi sio mwanasheria, wanasheria wanaweza kutusaidia.

lakini umesahau kuwa Tanzania haikuwepo mpaka 1964 hao utakuwa unaongelea TANGANYIKA
 
*Off topic*

Wakili wa shetani, kwani yule mama alishaondoka hapa bongo? (mama Wamba)..Hata mi nilimsaidia sana katika matatizo yake ya mirathi ya mwanawe huko Kenya, DRC na bongo......But she is a very kind woman aise. Yuko wapi siku hizi. Last time alikuw IST anafundisha.
 
Devilsadvocate,

Hiyo sentensi ina makosa gani? Tanzania japo haikuwepo kabla ya 1964 lakini ukienda kwenye historia jina Tanzania linawakilisha yale yote yaliyokuwa ya Tanganyika na Zanzibar.

Sio makosa kusema Nyerere alizaliwa Tanzania. Je wale wote waliozaliwa kabla ya 1964 passport zenu au documents zingine kama visa nk. mnaandika mlizaliwa wapi?

Hata kisheria yale yote yaliyokuwa ya Tanganyika/Zanzibar yalichukuliwa na Tanzania.

Tunapoteza muda na hoja yenyewe kuhangaika kuangalia ni Tanzania au Tanganyika.
 
Wakuu naomba tusome hivi vipengele vya sheria ya uraia ya 1995, tuangalia tunaweza kuendelea na mjadala vipi: Naona hivi ndo vinatugusa hapa kwenye mjadala wetu:

PART II ATTAINMENT OF CITIZENSHIP ON OR AFTER UNION DAY

4. Citizen of Mainland Tanzania and of Zanzibar before Union Day deemed to have become citizens on Union Day

(1)Every person who, having been born in Mainland Tanzania or in Zanzibar before Union Day, was immediately before Union Day a citizen of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar shall be deemed to have become, on Union Day, and, with effect from Union Day, subject to section 30, to have continued, and after the commencement of this Act shall continue, to be a citizen by birth of the United Republic.

(2)Every person who, having been born outside either Mainland Tanzania or Zanzibar before Union Day was, immediately before Union Day a citizen by registration or naturalization of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar shall be deemed to have become, on Union Day and, with effect from Union Day, subject to section 30 to have continued to be, a citizen by registration or, as the case may be, by naturalization of the United Republic, and after the commencement of this Act shall become and continue to be a citizen by naturalization of the United Republic.

(3)Every person who, having been born outside both Mainland Tanzania and Zanzibar before Union Day, was immediately before Union Day a citizen by descent of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar shall be deemed to have become, on Union Day and, with effect from Union Day, subject to section 30, have continued, and after the commencement of this Act shall continue, to be a citizen by descent of the United Republic.

5. Persons born in the United Republic on after Union Day

(1)Subject to the provisions of subsection (2), every person born in the United Republic on or after Union Day shall be deemed to have become and to have continued to be a citizen of the United Republic with effect from the date of his birth, and with effect from the commencement of this Act shall become and continue to be a citizen of the United Republic, subject to the provisions of section 30.

(2)A person shall not be deemed to be or to have become a citizen of the United Republic by virtue of this section if at the time of his birth-

(a)neither of his parents is or was a citizen of the United Republic and his father possesses the immunity from suit and legal process which is accorded to an envoy of a foreign sovereign power accredited to the United Republic; or

(b)any of his parents is an enemy and the birth occurs in a place then under occupation by the enemy.

6. Persons born outside the United Republic on or after Union Day

Every person born outside the United Republic on or after Union Day shall, with effect from the date of his birth, be deemed to have become and to have continued to be, and with affect from the commencement of this Act shall become and continue to be, a citizen of the United Republic if at the date of his birth his father or mother is or was a citizen of the United Republic otherwise than by descent, subject to the provisions of section 30.

7. Cessation of dual citizenship

(1)Any person who, upon the attainment of the age of eighteen years, is a citizen of the United Republic or was a citizen of the former Republic of Tanganyika or of the former People's Republic of Zanzibar and also is or was a citizen of some country other than the United Republic or either the former Republic of Tanganyika or the former People's Republic of Zanzibar shall, subject to the provisions of subsection (8), be deemed to have ceased to be a citizen of the United Republic upon the specified date unless he previously renounced his citizenship of that-other country, taken the oath of allegiance and, in the case of a citizen by descent, made and registered the declaration prescribed by Parliament regarding his intention as to residence.

(2)Any citizen of the United Republic who-

(a)attained the age of eighteen years before Union Day; and

(b)becomes a citizen of the United Republic on Union Day by virtue of the provisions of section 4; and

(c)was, immediately alter that day, also a citizen of some country other than the former Republic of Tanganyika or the former People's Republic of Zanzibar shall, subject to the provisions of subsection (8), be deemed to have ceased to be a citizen of the United Republic upon the specified date unless he has previously renounced his citizenship of that other country, taken the oath of allegiance and, in the case of a citizen by descent, made and registered a declaration prescribed by Parliament regarding his intention as to residence.

(3)Any person who-

(a)attained the age of eighteen years before Union Day; and

(b)become a citizen of the United Republic by virtue of his former status as a Zanzibar subject under paragraph 2 of the Fourth Schedule to the Extension and Amendment of Laws (No. 5. Decree, 1964; and

(c)was, on Union Day, also a citizen of some country other than the United Republic, shall subject to the provisions of subsection (8), be deemed to have ceased to be a citizen of the United Republic upon the specified date unless he has previously renounced his citizenship of that other country, taken the oath of allegiance and, in the case of a citizen by descent, made and registered a declaration prescribed by Parliament regarding his intention as to residence.

(4)A citizen of the United Republic shall cease to be a citizen if-

(a)having attained the age of eighteen years, he acquired the citizenship of some country other than the United Republic by a voluntary act other than marriage;

(b)having attained the age of eighteen years, he otherwise acquired the citizenship of some country other than the United Republic, or while a citizen of the former Republic of Tanganyika or the former People's Republic of Zanzibar; and has not, by the specified date renounced his citizenship of that other country, taken the oath of allegiance and made and registered a declaration prescribed by Parliament regarding his intention as to residence.

(5)Notwithstanding any other provisions of this Act, a person who attains the age of eighteen years, or who, being a woman, is or has been married shall not, if that person is a citizen of some country other than the United Republic, be entitled to be naturalized as a citizen of the United Republic unless he renounces the citizenship of that other country, takes the oath of allegiance and makes and registers a declaration prescribed by Parliament regarding his intention as to residence.

(6)For the purpose of this section, where under the law of a country other than the United Republic, a person cannot renounce his citizenship of that other country, be need not make that renunciation but may, instead be required to make a declaration prescribed by Parliament regarding that citizenship; but any person who has made that declaration may be required to renounce his citizenship of that other country if he is subsequently able to renounce it.

(7)In this section "the specified date means-

(a)in relation to a person whom subsection (1) refers, the date on which he attains or attained the age of eighteen years. or in the case of a person who become or becomes a citizen of the United Republic by virtue of his former status as a Zanzibar subject under paragraph 2 of the Fourth Schedule to the Extension and Amendment of Laws (No. 5) Decree, 1964, the date on which he attains or attained the age of twenty two years or the 12th day of January, 1966, whichever is the later;

(b)in relation to a person to whom subsection (2) refers the date specified in accordance with the provisions of section 26.

(c)in relation to a person to whom subsection (3) refers, the 12th day of January, 1966.

(d)in relation to a person to whom paragraph (b) of subsection (4) refers, the expiration of one year after the date on which he acquired the citizenship of the country other than the United Republic or, as the case may be, the former Republic of Tanganyika or the former People's Republic of Zanzibar, or in the case of a person of unsound mind, any later date prescribed in accordance with the provisions of section 26.

(8)The Director may, with the consent of the Minister, in any case in which he is satisfied that a person to whom this section refers is or was, by reason of any circumstances attributable to the default or negligee..?.. of that person, unable to renounce his citizenship of some country other than the United Republic or take the oath of allegiance, or make or register any declaration relating to him in subsection (7), or any later date declared under this subsection, declare that the specified date ..?.. relation to that person shall be such later date as will permit that person an opportunity of doing any or all such acts remaining undone; but nothing in this subsection shall confer on the Director power to make any declaration in relation to any person after that person has cease? to be a citizen of the United Republic.

(9)For the purposes of subsection (1) or 3, no person shall be deemed to have been a citizen of a country other than the United Republic by reason only of his being a Zanzibar subject

Harafu section 30 ya citizenship Act inasema hivi:

(1)Notwithstanding the repeal of the laws specified in section 29-

(a)every person attaining citizenship under the provisions of any of those laws or a combination of the provisions of any of them shall be deemed to have acquired that citizenship under this Act;

(b)every person who became a citizen by registration shall be deemed to have been naturalized as a citizen of the United Republic under this Act;

(c)every certificate of registration as a citizen issued under any of the repealed laws shall be deemed to be a certificate of naturalizations granted under this Act;

(d)where any person was deprived of citizenship under any of the Acts the repeal of those Acts shall not operate to restore to hint that citizenship;

(e)where any renunciation of citizenship was made under the Acts, or a loss of citizenship occurred as a result of the provisions of any of the Acts the renunciation shall be deemed to have been made and loss to have occurred under the provisions of this Act;

(f)where pursuant to the provisions of any of the Acts any person would, but for the enactment of this Act, have been deprived of citizenship or of his entitlement to registration or naturalization, nothing in this Act shall be construed so as to extend the period after which the person or persons concerned would have lost his or their citizenship or entitlement to registration or naturalization as a citizen after the commencement of this Act;

(g)any offense committed against any of the provisions of the Acts shall he deemed to be an offense under this Act, and any proceedings pending in any court in relation to any of those offenses shall be continued or completed as if they had been commenced under this Act;

(h)every lawful act done or omitted by any person in bona fide performance of his functions under the Acts shall he deemed to have been duly done or committed in pursuance of the provisions of this Act.

(2)The Minister may, not later than one year after the commencement of this Act, by regulations published in the Gazette, make such temporary, transitional or consequential provisions as may, in his opinion, be necessary or desirable for the better bringing into effect of the provisions of this Act.
 
Devilsadvocate,

Hiyo sentensi ina makosa gani? Tanzania japo haikuwepo kabla ya 1964 lakini ukienda kwenye historia jina Tanzania linawakilisha yale yote yaliyokuwa ya Tanganyika na Zanzibar.

Sio makosa kusema Nyerere alizaliwa Tanzania. Je wale wote waliozaliwa kabla ya 1964 passport zenu au documents zingine kama visa nk. mnaandika mlizaliwa wapi?

Hata kisheria yale yote yaliyokuwa ya Tanganyika/Zanzibar yalichukuliwa na Tanzania.

Tunapoteza muda na hoja yenyewe kuhangaika kuangalia ni Tanzania au Tanganyika.

nilitaka kufahamu tuu kama kulikuwa na immigration laws tofauti wakati wa TANGANYIKA na TANZANIA

thats all
 
Sheria zilizokuwa repelead (section 29 of the Citizenship Act) ni hizo hapa:

29. Repeals and amendments

(1)The Citizenship Ordinance, and the Citizenship Act, 1961, are hereby repealed.

(2)The Extension and Amendment of Laws (no. 5) Decree, 1964, is hereby amended by deleting the whole of the Fourth Schedule to that Decree
 
In that case taking my earlier assumption that Salva was born in 1950's then HE is legal citizen of Tanzania.

Kilichobaki sasa ni udaku na ushabiki tu...
 
Masatu... swali ni wazazi wake walikuwa raia wa wapi wakati Salva anazaliwa? hata kama amezaliwa 55 au 65..
 
.............na sakata bado linaendelea!!!!!!!kaaaaazi kweli
 
Masatu... swali ni wazazi wake walikuwa raia wa wapi wakati Salva anazaliwa? hata kama amezaliwa 55 au 65..

Mwanakijiji,

kwanini unaamini hivyo? Kwa tafsiri yangu naamini hapo it doesn't matter wazazi wake walikuwa raia wa wapi.

Hiki kipengere hakina wazazi.

(1)Every person who, having been born in Mainland Tanzania or in Zanzibar before Union Day, was immediately before Union Day a citizen of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar shall be deemed to have become, on Union Day, and, with effect from Union Day, subject to section 30, to have continued, and after the commencement of this Act shall continue, to be a citizen by birth of the United Republic.
 
What I see sasa hili swala tunalikuza for no good reason. kwa wale tusio wanasheria, basi tutafute Lawyer atusaidie kutafsiri hivi vifungu, otherwise, wengine tutafikiria kwamba kuna ajenda ya siri, wakati sivyo. Maana sheria iko wazi kabisa. Hata kama wazazi wake wote wangekuwa warundi, wakenya wanyarwanda au wahabeshi au vinginevyo, as long as alikuwa (YEYE KAMA SALVA) raia wa Tanganyika kabla ya 1964 irrespective of the status ya wazazi wake, basi yeye ni raia wa TANZANIA kwa kuzaliwa na haki zote na wajibu wote alionao mtanzania wa kawaida DUA, KEIL, MTU WA PWANI, NK.
 
Mwanakijiji,

kwanini unaamini hivyo? Kwa tafsiri yangu naamini hapo it doesn't matter wazazi wake walikuwa raia wa wapi.

Hiki kipengere hakina wazazi.

(1)Every person who, having been born in Mainland Tanzania or in Zanzibar before Union Day, was immediately before Union Day a citizen of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar shall be deemed to have become, on Union Day, and, with effect from Union Day, subject to section 30, to have continued, and after the commencement of this Act shall continue, to be a citizen by birth of the United Republic.

Mtanzania.. unasoma sawasawa kabisa.. condition moja iangalie kwa makini... kuna kitu hukisomi sawasawa.. ni kile ambacho kipengele haisemi, bali ina maanisha..

Every person who, having been born in Mainland Tanzania or in Zanzibar before Union Day, was immediately before Union Day a citizen of the Republic of Tanganyika or of the People's Republic of Zanzibar

Masanja,

Nakubaliana na wewe ila tu for sake of discussion inabidi kuangalia hiyo section 30.

Suala sasa litakuwa sio wazazi wake bali, je aliwahi kupata uraia
wa nchi nyingine kwa mfano kupitia wazazi wake? Kama alipata je
aliukana alipofikisha miaka 18? Hii ndio mimi naiita kushikana uchawi.

Naamini mtu aliyekuwa raia wakati Tanzania inazaliwa basi huyo ni raia labda aukatae uraia kwa mapenzi yake mwenyewe. Hii mambo ya kukana uraia mwingine ukiwa na miaka 18, utawezaje kuukana huo uraia wakati hata hujui kama unao?
 
Back
Top Bottom