Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Mtanzania,

Ninakubaliana na wewe kwa asilimia nyingi sana kwenye hoja yako. Lakini kuna sehemu ndogo tu ambayo tunatofautiana. Mifano yako wa Jews ambao wamehamia kwenye nchi nyingine na kwenda kushika nyadhafa kubwa kubwa ninaikubali kabisa. Nadhani kitu unachokikosa kwenye hoja yako ni kimoja, hao wahamiaji walifuata taratibu zote za nchi na kuhakikisha wamepata uraia wao kwa njia halali.

Keil,

Ndio maana nimetumia mfano wa Jews ili wengine muelewe. Jews walikuwa wanatoroka kwa kutumia njia mbalimbali, wengine walikuwa wanazamia USA na hapa UK. Walivyoingia wengi wao
wala hawakushughulikia uraia wao. Wanao waliozaliwa walikuwa
wanajua ni raia na wameendelea hivyo. Hata pale ilipogundulika kwamba kuna tatizo basi wahusika walisaidiwa kufuata utaratibu.
Mfano mzuri ni Howard aliyekuwa kiongozi wa Tories ambaye mwenyewe alishakiri kwamba babake alizamia kutokea Romania na kuingia UK kwa kudanganya. Sikusikia Blair akishangilia na kusema kwasababu baba yako hakuwa raia halali na wewe sio raia. Lakini ingelikuwa sisi Afrika hapo tungekuwa tumepata sababu.

Tofauti yetu Tanzania ni kwamba ubinafsi na roho mbaya vimetuzidia kiasi kwamba serikali na rais wake wanaweza kumwambia Ulimwengu sio raia. Sasa wengine tumeingia kumwandama
Rweyemamu kuwa sio raia. Sikubaliani na Rweyemamu lakini siwezi kudiriki hata kusema sio raia kwa mtu ambaye najua kazaliwa Tanzania na kakulia Tanzania miaka yote hiyo.

Kule mipakani watu wote ambao waliingia TZ kutoka sehemu zingine hakuna aliyekuwa anaenda serikali kujisajili, kwanza hata walikuwa hawaelewi kuna kujisajili. Uongozi wa vijiji ndio ulikuwa unawakaribisha na kuwapatia maeneo ya kuishi. Mnachoongelea sasa ni kama kilichompata Kaunda kule Zambia, hivi kweli mtu mwenye akili na asiyejaa chuki kichwani atasema Kaunda hakuwa raia wa Zambia?

Kwa kweli nashindwa kuelewa msingi wa hoja ya kumwambia mtu ambaye kazaliwa TZ na kukaa Tanzania miaka yote hiyo kwamba sio raia. Hata kama kuna makosa basi wazazi ambao ndio walifanya makosa ndio waadhibiwe na sio watoto.
 
Swali la msingi ambalo Mwanakijiji angelitia uzito naona angeongeza kipengele cha Tabia zake zenye fitna za kibanyamulenge mbona pia anazo huyu bwana? Kama aliweza kutia fitna kwa Salim je atashindwa vipi kusaliti nchi pale anapoona kuna faida kwake? Mie namuona kama mchuuzi anayeganga njaa na bahati sasa imemshukia kugawa chakula kwa wenye njaa akiwa ugenini, je kweli atakuwa na upendo wa dhati na kutoa haki kwa wazalendo? nafikiri huyu bwana kasogezwa pale kama mamluki na atafanya kazi zake kama atakavyoelekezwa tu na si vinginevyo kwani ana kwao, na kwanini hajibu kama yeye ni Mtanzania?
 
Keil,

Ndio maana nimetumia mfano wa Jews ili wengine muelewe. Jews walikuwa wanatoroka kwa kutumia njia mbalimbali, wengine walikuwa wanazamia USA na hapa UK. Walivyoingia wengi wao
wala hawakushughulikia uraia wao. Wanao waliozaliwa walikuwa
wanajua ni raia na wameendelea hivyo. Hata pale ilipogundulika kwamba kuna tatizo basi wahusika walisaidiwa kufuata utaratibu.
Mfano mzuri ni Howard aliyekuwa kiongozi wa Tories ambaye mwenyewe alishakiri kwamba babake alizamia kutokea Romania na kuingia UK kwa kudanganya. Sikusikia Blair akishangilia na kusema kwasababu baba yako hakuwa raia halali na wewe sio raia. Lakini ingelikuwa sisi Afrika hapo tungekuwa tumepata sababu.

Tofauti yetu Tanzania ni kwamba ubinafsi na roho mbaya vimetuzidia kiasi kwamba serikali na rais wake wanaweza kumwambia Ulimwengu sio raia. Sasa wengine tumeingia kumwandama
Rweyemamu kuwa sio raia. Sikubaliani na Rweyemamu lakini siwezi kudiriki hata kusema sio raia kwa mtu ambaye najua kazaliwa Tanzania na kakulia Tanzania miaka yote hiyo.

Kule mipakani watu wote ambao waliingia TZ kutoka sehemu zingine hakuna aliyekuwa anaenda serikali kujisajili, kwanza hata walikuwa hawaelewi kuna kujisajili. Uongozi wa vijiji ndio ulikuwa unawakaribisha na kuwapatia maeneo ya kuishi. Mnachoongelea sasa ni kama kilichompata Kaunda kule Zambia, hivi kweli mtu mwenye akili na asiyejaa chuki kichwani atasema Kaunda hakuwa raia wa Zambia?

Kwa kweli nashindwa kuelewa msingi wa hoja ya kumwambia mtu ambaye kazaliwa TZ na kukaa Tanzania miaka yote hiyo kwamba sio raia. Hata kama kuna makosa basi wazazi ambao ndio walifanya makosa ndio waadhibiwe na sio watoto.

Mtanzania, Uingereza ina sheria sana ya ajabu ya Uraia. Hivi unajua Wazungu walioko Zimbabwe na wameishi miaka nenda kule wanapozaliwa Zimbabwe wanakuwa na Uraia wa Uingereza pia? or something like that.. kiasi cha kwamba wakitaka kwenda Uingereza hawaendi kuomba uraia mwingine...
 
Hiyo sheria inahusu kila mtu ambaye babake au mamake alikuwa raia wa Uingereza au yaliyokuwa makoloni ya Uingereza.

Humo kuna Watanzania weusi, Wazimbabwe weusi na weupe. Bahati mbaya wasiojua wanaongelea weupe wa Zimbabwe tu shauri ya suala la Mugabe.

Weupe wengi walikuwa Wazamiaji kwahiyo wazazi wao wengi walitoka UK. Kwa utaratibu huo Watanzaia wengi tu wana qualify hasa wale waliopigana vita kuu ya pili chini ya Waingereza. Lakini kwasababu hawakutunza kumbukumbu sio rahisi ku prove wanayo hiyo right.

Wahindi wengi toka Tanzania walipata uraia au haki ya kuishi UK kupitia njia hiyo. Inaitwa right of abode

It possible to have the Right of Abode if:

They are a Commonwealth National and one of their parents was born a British Citizen.

OR

They are a commonwealth woman married to a British Citizen on or before 1.1.1983.
A person with the right of abode may apply to register as a British Citizen.
 
Jambo jingine CCM wenyewe wangeweza kulirahisisha sana. Watunge sheria inayowatambua watoto wote waliozaliwa katika Tanganyika Huru na Jamhuri ya Zanzibar na wale ambao walizaliwa katika Tanzania iliyoungana kuwa ni raia hata kama wazazi wao siyo raia. Ukiondoa wawakilishi wa Kibalozi mtu yeyote ambaye watoto wake wanazaliwa katika ardhi ya Tanzania, basi watoto hao ni Watanzania...

Hatuwezi kubadili sheria kila siku kwa baadhi ya watu flani flani tu. Vilevile Pengine wengine hawaelewi sheria hizi za kuwa MTZ. Kwa mfano ukiwa na mama Mtanzania lakini baba yako sio MTZ hutambuliwi kama wewe ni MTZ unaambiwa uchukue uraia wa baba yako, hadi pale ukipenda unapotimiza miaka 18 uombe na kukubaliwa.

Hizi sheria zipo bayana sasa JK alikula kiapo pale Uwanja wa Taifa kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania halafu leo hii kuna utata wa Salva kama kweli ni MTZ inakuwaje? Sheria aliyokula kiapo ndiyo ya kutekeleza hatuwezi kuongozwa kwa sheria za mission town? Natumaini rais kama akikutana na WTZ kule NY au DC wamuulize hili swala.
 
Hiyo sheria inahusu kila mtu ambaye babake au mamake alikuwa raia wa Uingereza au yaliyokuwa makoloni ya Uingereza.

sheria yetu iko kama hiyo.. kama baba yako alikuwa raia wa Tanzania kabla ya Uhuru basi watoto wake nao ni raia, kama siyo basi watoto wale wakifikisha miaka 18 wanatakiwe waukane uraia wa baba yao.
 
...kichekesho wengi humu hata vyeti vya kuzaliwa walikuja kuvisikia mara baada ya kuanza mitikasi ya kwenda ughaibuni na tunajua mmevinunua salamander ili kupatia passport...na hata hizo hospital/zahanati mlizozaliwa hamzijui,hazipo tena na hakuna record yeyote kuonyesha mlizaliwa wapi zaidi ya kuambiwa tuu na mdomo,sasa acheni uchawi wenu iambieni serikali iweke mambo safi kurecord wananchi wake kabla ya kutafutana mchawi
 
Pole mkuu kama wewe ulinunua pale Salamander ni sawa tu hakuna noma, lakini hatuwezi kupindisha sheria za nchi kwa sababu ya uswaiba.
 
Hiyo sheria inahusu kila mtu ambaye babake au mamake alikuwa raia wa Uingereza au yaliyokuwa makoloni ya Uingereza.

Humo kuna Watanzania weusi, Wazimbabwe weusi na weupe. Bahati mbaya wasiojua wanaongelea weupe wa Zimbabwe tu shauri ya suala la Mugabe.

Weupe wengi walikuwa Wazamiaji kwahiyo wazazi wao wengi walitoka UK. Kwa utaratibu huo Watanzaia wengi tu wana qualify hasa wale waliopigana vita kuu ya pili chini ya Waingereza. Lakini kwasababu hawakutunza kumbukumbu sio rahisi ku prove wanayo hiyo right.

Wahindi wengi toka Tanzania walipata uraia au haki ya kuishi UK kupitia njia hiyo. Inaitwa right of abode

It possible to have the Right of Abode if:

They are a Commonwealth National and one of their parents was born a British Citizen.

OR

They are a commonwealth woman married to a British Citizen on or before 1.1.1983.
A person with the right of abode may apply to register as a British Citizen.

Pia kwa kuongezea kuna visa ingine iitwayo Ancentry ambayo raia wazungu wa nchi kama South Africa ambao babu zao walihamia huko Africa,wanaruhusiwa kuja kwa hio visa na kufanya kazi hapa UK kwa miaka mitano ili walipe kodi na baada ya miaka hio mitano hupewa permanent residency na baade British Citicenship
 
Mafundi Mitambo,
Naona quotes kwangu zinakuja blackened, hivi ni mimi tu? Je ninatakiwa kufanya nini?
 
sheria yetu iko kama hiyo.. kama baba yako alikuwa raia wa Tanzania kabla ya Uhuru basi watoto wake nao ni raia, kama siyo basi watoto wale wakifikisha miaka 18 wanatakiwe waukane uraia wa baba yao.

Mwanakijiji,

Hao ni watoto wale waliozaliwa baada ya siku ya Muungano na wala sio kabla ya Uhuru.

Kila aliyezaliwa Tanzania kabla ya Muungano ni raia halali wa Tanzania.

Je Rweyemamu ana miaka mingapi? Maana kama alizaliwa kabla ya
26 April 1964 basi huyo ni raia halali bila ya kujali wazazi wake walitoka wapi.

Tusipoangalia tunatengeneza precedence mbaya sana. Watanzania wengi hawajazaliwa hospitalini, kwahiyo hawana vyeti vya kuzaliwa. Itafika mahali mtu ataambiwa aondoke sio raia kwasababu tu ameshindwa kuonyesha birth certificate. Viongozi wetu walivyo madikteta, kuna raia wema wataondolewa kwa sababu ya siasa.
 
Mwanakijiji,

Hao ni watoto wale waliozaliwa baada ya siku ya Muungano na wala sio kabla ya Uhuru.

Kila aliyezaliwa Tanzania kabla ya Muungano ni raia halali wa Tanzania.

Je Rweyemamu ana miaka mingapi? Maana kama alizaliwa baada ya
26 April 1964 basi huyo ni raia halali bila ya kujali wazazi wake walitoka wapi.

Tusipoangalia tunatengeneza precedence mbaya sana. Watanzania wengi hawajazaliwa hospitalini, kwahiyo hawana vyeti vya kuzaliwa. Itafika mahali mtu ataambiwa aondoke sio raia kwasababu tu ameshindwa kuonyesha birth certificate. Viongozi wetu walivyo madikteta, kuna raia wema wataondolewa kwa sababu ya siasa.

Kama alizaliwa kabla ya 1964?
 
Bado katika posti yako unasema "Kila aliyezaliwa Tanzania kabla ya Muungano ni raia halali wa Tanzania."

Kabla Muungano hakukuwa na Tanzania na sheria ya uraia ilikuwa ni tofauti....
 
Ikiwa akina Premji,Bandora,Generali Ulimwengu na Mama Kastico waliulizwa Uhalali wa Uraia wao,kwa nini na Salva isiwe hivyo?kwani ana immunity gani ya kuulizwa Uraia wake?.Kuna Hoja ya Msingi hapa, isomeni na irudieni tena post ya Keil #142,kaandika kwa Msukumo wa Uzalendo na post hiyo imebeba maana kubwa.Ikiwa akina Dr.Rutayisire na Prof. Wamba waliondoka bila kuaga walipoona wana nafasi na mambo ni mazuri kwao,hamuoni kwamba hawana Uchungu na kwetu,pamoja na kwamba wamechuma hapa?.Tujenge Hoja za maana zaidi kuhusu Haki za Raia.Tukienda hivi ipo siku tutatoa Uwaziri na baadaye Urais kwa Muhamiaji!!!eti kwa sababu tu unalipa fadhila.
 
Kuna mwandishi habari mmoja wa Kinyarwanda aliyekuwa anatumikia BBC. Yeye alisoma na kuishi Bukoba. Baada ya mauaji ya 1994 akakimbilia Tanzania. Kwa sababu aliwali kuishi Bukoba haikuwa vigumu kwake kuweka mizizi. Aliendelea kuitumikia BBC mpaka alipopata skendo wakati wa uchaguzi wa 1995. Ilibainika wakati huo kuwa alikuwa amejiandikisha kupiga kura kama mwana CCM. Hizo habari zilipotoka alijiua kwa kuzama katika ziwa Viktoria. Kwa hiyo hii mifano Tanzania ipo mingi tu.
 
Its obvious kwamba huyo Salva atakuwa amezaliwa during 1950's. Kwa msingi huo basi tunarudi sasa kuwaangalia wazazi wake kama walikuwa raia ama wa kuandikisha au wa kuzaliwa.
 
Bado katika posti yako unasema "Kila aliyezaliwa Tanzania kabla ya Muungano ni raia halali wa Tanzania."

Kabla Muungano hakukuwa na Tanzania na sheria ya uraia ilikuwa ni tofauti....

Mwanakijiji,

Hilo ni kurahisha tu kuandika. Badala ya kuandika Tanganyika na Zanzibar, nimeandika Tanzania. Kila mtu anajua hakukuwa na Tanzania kabla ya Muungano.

Je Rweyemamu alizaliwa lini?
 
Back
Top Bottom