Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
kelly01 samahani kwa kuuliza mwaswali binafsi
1.mpenzi/mume wako anajisikiaje ukimwambia unaenda kuonyolewa au umwambii unafanya siri
same thing kama nikiwa naenda kwa gynocologist namwambia naenda kwa gyno and really i dont see tatizo lolote la kwenda kufanya brazilian wax na kwenda kwa gyno.....kama huoni tatizo mke wako kwenda kufanyiwa check up na kutanuliwa na kuchunguliwa huko chini unaona tatizo gani mkeo akienda kufanya brazilian wax?......."naomba unijibu hilo kwanza"...then tutaendelea na discusion....unless wake zenu hawafanya check up after every 6 month!....na kama hawafanyi then ni wachafu sana....Na on top of that na nyie ni wachafu pia....
2.kuna tofauti gani ukinyolewa na professional au mme wako?
natanguliza shukrani zangu kabla ya majibu yako
Kuna tofauti hapo umeshasema profesional...meaning yule profesional ni kazi yake na anajua nini anafanya....same thing huwezi kumwambia mmeo akuchokonoe huko chini while hajui anachofanya ni nini au anaangalia nini yeye siyo dokta!.....