Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

hii kitu ni kweli kabisa, pale maeneo ya kisutu hii kitu ipo na inaendeshwa na mama wa kihindi, wanawake wa kibongo wana feel confortable kwenda pale because wanyozi ni wadada wa kihindi so they are assured of customer privacy. Haijaanza leo, ina miaka mingi tu. Wadada wa kibongo inawasaidia sana simply because nywele zinachelewa kuota na wanakuwa wasafi, and most of the customers there are carrier women ambao wako bize na corporate life na wanakosa muda wa kujifanyia usafi wa huko chini na makwapani.

Swali la kujiuliza ni kwamba, huduma hii ya waxing haina madhara? maana cervical cancer ni janga la dunia,akina dada inabidi wawe makini na haya mambo plus kujichezea na madildo (midoli)
 
wadau msicomplicate maisha wakati viwembe vinawakataa na kutoa vipele,
I recommend mtu yoyote kufanya waxing ina matokeo mazuri sana,sijawahi kujuta
Saloon za wahindi upanga ziko poa
 
wadau msicomplicate maisha wakati viwembe vinawakataa na kutoa vipele,
I recommend mtu yoyote kufanya waxing ina matokeo mazuri sana,sijawahi kujuta
Saloon za wahindi upanga ziko poa

bei gani?
 
Back
Top Bottom