Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Mkuu Sipo, ushauri wa bure: Kama unaishi mjini usirogwe kuoa mke toka kijijini maana atakuja mshamba lakini siku akijanjanjaruka utalia mikono kichwani kama uliyefiwa na mzazi.Wenzio tushayaona na si mara moja.

Kweli, hili nalo neno. Sasa nitafanyaje mkuu, uku mjini wameshatumbuliwa wote, chepechepe, maji walawala, ratio ya 5:9 ya watu wameshamega tunda la kati nami ndio nimfanye my waifu wangu huyohuyo!? Salaale afadhali ya Baba yangu aliyeoa wakati wa Azimio la Arusha, discipline was high
 
natafuta saloon za wababa zipo? za kunyoa sehemu nyeti, na mnyoaji awe mwanamama, hii itakuwa safi kwani kina mama wana yao ya wababa wana yao ngoma droo
 
Nahofia zile salun ziwe na watenda kazi wa kiume kama ninaowaona kwenye saluni hapa mwanza. Vinginevyo mmmmh mtajaza!!!!
 
Asante Kelly;

Nilichokuwa najiuliza ni vipi Mamaa alienda na kujianika 100% ili aweze kupewa hii huduma . . . .

Na nimesoma mahli humu JF kwamba siku hizi Lez ni kama kawa . . .

Au unaanzaje anzaje?
Mimi huwa namnyoaga mai waifu, lakini huwa anapata msisimuko sana kiasi kwamba huwa lazima tu du hata kama tulishaduiana kabla. Sasa sipati picha kwenye hiyo saluni ya Mukenya sijui Mukongo inakuwa vipi
 
Kweli, hili nalo neno. Sasa nitafanyaje mkuu, uku mjini wameshatumbuliwa wote, chepechepe, maji walawala, ratio ya 5:9 ya watu wameshamega tunda la kati nami ndio nimfanye my waifu wangu huyohuyo!? Salaale afadhali ya Baba yangu aliyeoa wakati wa Azimio la Arusha, discipline was high
Ndugu Sipo ukifuatilia sana safari za nyuki wallah asali huli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kwa hao wanyoaji wana kazi!!!...am sure kuna 'site' nyengine are terrible to see/watch....lol
 
nasikia watu wanaowanyoa hao wake zenu huko waendako ni mabazazi wa kutoka kongo.....
No wonder mnamegewa wake zenu....oops!
 
Jamani kazi kwenu munaopenda kukimbizana na wakati kwa kujaribu kila jambo ....but angalieni msije mkajikwaa.
 
  • Thanks
Reactions: lin
shosti....hhaha trust wewe mwenyewe hutaweza kufanya...nilishawahi kujaribu mwenyewe nusu nijikojolee....yeah unaweza kumpa my husband wako akufanyie kama unayo ile wax kit yenyewe......ila kumbuka lazima awe sharp ikikugandia kasheshe unayo......
'
mwili umesisimka,AUCHI!!!!!!HIVI IKING'ANG'ANIA INAKUAJE?lazer poa ila inabidi ufanye ukishamaliza kutengeneza familia,kwa vile ukipata mimba nyele zote zinaota upya.alafu inachukua treatment kibao mpaka nyele ziishe.
 
Woooow!! I remember this topic. My Cuppy was off the hook, charts, and the meter in dishing out some knowledge about Brazilian wax and such...hahahahahahahaaa
 
  • Thanks
Reactions: lin
Woooow!! I remember this topic. My Cuppy was off the hook, charts, and the meter in dishing out some knowledge about Brazilian wax and such...hahahahahahahaaa

Nasikia sasa Saloon hizi zimeongezeka.
 
Woooow!! I remember this topic. My Cuppy was off the hook, charts, and the meter in dishing out some knowledge about Brazilian wax and such...hahahahahahahaaa

Nyani Ngabu, wapi zile mutu yako ya zamani?
 
Rafiki yangu wa karibu kanihabarisha kuwa "Mamaaa" yaani My Wife Wake Wiki 3 zilizopita alienda kupata huduma za kawaida Saloon kubwa na ya kisasa ya kina mama katikati ya jiji. Baada ya hapo akaambiwa kuwa kulikuwa na huduma ya ziada.

Huduma hii ni ya kunyoa nywele za sehemu nyeti kwa namna ambayo nywele zote zinatoka na kukufanya "Kwa Bibi" kuwe kipara kabisa. Pia akanihabarisha kuwa Mamaa aliambiwa akinyolewa hivyo, nywele zinachukua muda mrefu sana kuota na wala hatoki vipele vya wembe.

Nilibaki najiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.

Wadau, hii imekaaje?

Ndo maana mie nimemnunulia my waifu chupa nzima kama nusu lita hivi ajifanyie mwenyewe. inakuwa kama anapaka mafuta tu alafu anafuta na kitambaa kwisha kazi!
 
Nitamuelekeza my ex girl friend alikuwa analalamika kuwa zinaota kwa kasi sana
 
Back
Top Bottom