Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

du kazi kweli kweli, sisi tulioishi vijijini sijui kama tutawahi kuchangamka na kubadilika maana hii story inanisisimua sana. my wife wangu akijua hii na nikisikia anafanya sielewi nita react vipi otherwise I think it is too far (kwangu lakini) nyie mliozoea endeleeni. mie hata kwenye harusi yangu last year nilikataa ile wanaita scribing loh huwa naona nimekamilika kwa kuoga tu na kujisafisha mwenyewe?
 
Unajua watanznaia sijui waafrika tuna undumilakwili wa hali ya juu....Mtu ameshupalia ooh sijui kukiuka maadili ya Kitanzania sijui ni ushetani ebo!! Kwani umelazimishwa kufanya? waache watu kwa raha zao wafanye au wachore tattoo.

Chaku, kwa hiyo na wakina mama/dada wanavyokwenda kwa gynecologist nako ni kukiuka maadili sio?

...umesahau mangariba wa jando, wanaotahiri wasichana na wakunga wa jadi...

anyway,...nadhani Mheshimiwa Chaku ana imani yake ya kumtosha kuamini haya ya waxing ni kupita mpaka. Kama weye unaona powa haya! Binafsi sithubutu kumruhusu 'mywife' wangu akamchanulie mwanamke mwenzie kwa kisingizio cha waxing, mimi nipo na Veet inatosha bana 😀
 
du kazi kweli kweli, sisi tulioishi vijijini sijui kama tutawahi kuchangamka na kubadilika maana hii story inanisisimua sana. my wife wangu akijua hii na nikisikia anafanya sielewi nita react vipi otherwise I think it is too far (kwangu lakini) nyie mliozoea endeleeni. mie hata kwenye harusi yangu last year nilikataa ile wanaita scribing loh huwa naona nimekamilika kwa kuoga tu na kujisafisha mwenyewe?

Ina maana mke wako hajawahi kufanya check up ya mwili wake i mean kwenye kumuona gyno?....
 
Keizer hebu punguza mashaka alokwambia mie naadopt nani? Nimesema life style nyingine zinipitege tu!! Hizi siziwezi huyo bamsap mwenyewe kumkalia utupu napata tabu itakuwa mtu baki!?

Mh nehi hapana kwa kweli nawaachia watoto wa dot com

hahaha nina mashaka kama nimepoteza nauli kwenye daladala, kisha konda ndo huyoo anakaribia....ni katika kujali tu MwanajamiiOne!

Sasa kama ndo ivo utakuwa ulipitia shule za masista duh.....(hivi ni nini role ya yala mafundisho strict ya kwenye mashule kama hayo au seminari kwenye sustainability ya ndoa? yanajenga au yanabomoa? nadhani huu ni mjdala unaojitegemea, anzisha basi topic)
 
ahairy.jpg

mteja akisubiri huduma

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=vg_mvyEty_M"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]

angalia huyo binti anavyochekelea utamu, nikioa mke wangu lazima ni mnyoe mwenyewe.....

kelly01 samahani kwa kuuliza mwaswali binafsi
1.mpenzi/mume wako anajisikiaje ukimwambia unaenda kuonyolewa au umwambii unafanya siri
2.kuna tofauti gani ukinyolewa na professional au mme wako?

natanguliza shukrani zangu kabla ya majibu yako
 
Last edited:
hahaha wewe lazima umeshakutana nazo hizo si bure..landind strips gentelemen clubs hizo ndiyo zenyewe.........kuna punk,thug style,bald hata ukitaka za dred lock!...........kuna wengine wameweka locks!....

Locks mweee, lazima weed kwa sana...lol!
 
hahaha nina mashaka kama nimepoteza nauli kwenye daladala, kisha konda ndo huyoo anakaribia....ni katika kujali tu MwanajamiiOne!

Sasa kama ndo ivo utakuwa ulipitia shule za masista duh.....(hivi ni nini role ya yala mafundisho strict ya kwenye mashule kama hayo au seminari kwenye sustainability ya ndoa? yanajenga au yanabomoa? nadhani huu ni mjdala unaojitegemea, anzisha basi topic)

thanx Kaizer kwa kujali lol

Mh hapo nahisi unanijua ...... seminary eh.

Hata mie kwa sasa sijui lengo lilikuwa ni nini maana hayaaplaiki huku duniani bana- ukiwa too innocent kwa mumeo/mkeo yeye anatamani chakaramu na atakwenda mtafuta nje ah ni sawa na kusema kule unafundishwa kuwa na staha, aibu bila kuacha sehemu ya mwili wazi mpaka uwe faraghani na usijichetue usijeonekana kama harlot lakini mume anataka mtu mtundu kitandani sasa sijui utakuwaje!!

Mbona unanisakizia mie nianzishe topic? mh naogopa!
 
Kelly nipe price ya hiyo Brazilian wax na inauzwa wapi nipate. Ndevu zinanisumbua
 
ahairy.jpg

mteja akisubiri huduma

YouTube - Broadcast Yourself.

angalia huyo binti anavyochekelea utamu, nikioa mke wangu lazima ni mnyoe mwenyewe.....

kelly01 samahani kwa kuuliza mwaswali binafsi
1.mpenzi/mume wako anajisikiaje ukimwambia unaenda kuonyolewa au umwambii unafanya siri
2.kuna tofauti gani ukinyolewa na professional au mme wako?

natanguliza shukrani zangu kabla ya majibu yako

Ni kweli maswali hayo yakijjibiwa kibarabara yatapunguza malumbano na kuonekana tunaenda na wakati!!
 
Kelly;

Jamani acheni utani. Mbona mpaka kule kwenye "Vimashavu" huwa zinaota? Sasa zitanyolewaje kule bila kumchanulia? LOL
kiongozi superman,
si umesema rafiki yako amekusimulia kuwa mke wake alienda kunyolewa. sasa umejuaje kama kwenye ''vimashavu'' nako nywele zinatoka?
 
kiongozi superman,
si umesema rafiki yako amekusimulia kuwa mke wake alienda kunyolewa. sasa umejuaje kama kwenye ''vimashavu'' nako nywele zinatoka?

Mkuu, hakunisimulia to that extent. However kama unatambua vema bilojia ya maumbile ya kike bila shaka hilo liko wazi.
 
Hihiii,

Watu wa mjini mna shida nyie? Siye huku shamba akah. Sasa huko chini akina dada si watakuwa na punky za ajabu sanasana? Au dada anaweka jina lako SUPERMAN.

Sasa katika haya mambo siku zote huwa naanza na swali moja kubwa sana zaidi ya lile la gharama. Je kuna side efect gani (madhara) kwa kutumia hizo Brazilian wax au hiyo mianga ya laser? Madhara hayo ni makubwa sana au kidogo? Akina dada chungeni sana na haya mambo yasiyochunguzwa sana.

Madhara yake Michael Jackson anajua, nyie endeleeni tu.

Msalimie Edna Mwangalaba
 
mie sipendi demu anaenyoa kipara..!inakuwa kama ya mtoto. ..! manake ya wakubwa ikiwa wazi inatisha sana...! LOL. inatakiwa after cunnilingus nywele zibaki kwa meno...!
 
mie sipendi demu anaenyoa kipara..!inakuwa kama ya mtoto. ..! manake ya wakubwa ikiwa wazi inatisha sana...! LOL. inatakiwa after cunnilingus nywele zibaki kwa meno...!
 
Kwenye baadhi za massage parlour hapa Dar kina baba tunanyolewa ma##vi na wahudumu wa kike unampa tip yake.
 
mie sipendi demu anaenyoa kipara..!inakuwa kama ya mtoto. ..! manake ya wakubwa ikiwa wazi inatisha sana...! LOL. inatakiwa after cunnilingus nywele zibaki kwa meno...!
 
you can do it without getting in the "waxing room"...mume wako/mke wako anaweza kabisa kukusaidia bana!!na pia unaweza ukajifanyia wax mwenyewe, room mate wangu college alikuwa anajiwax mwenyewe, kama nipo around ananiomba tu privacy for about 30 minutes and voila!!

if you need it get a kit then read how to do it yourself

meeeennnn!! what if there is a hidden camera somewhere in there????
 
Keizer hebu punguza mashaka alokwambia mie naadopt nani? Nimesema life style nyingine zinipitege tu!! Hizi siziwezi huyo bamsap mwenyewe kumkalia utupu napata tabu itakuwa mtu baki!?

Mh nehi hapana kwa kweli nawaachia watoto wa dot com
mhhh shost hapo na wewe wanchosha hata bamsap humwoshi alichokitolea mahari? haya hiyo zima taaa ili tuvue nguo kila siku itaisha lini?
 
Back
Top Bottom