Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Superman, Jun 29, 2009.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Rafiki yangu wa karibu kanihabarisha kuwa "mamaaa" yaani my wife wake wki 3 zilizopita alienda kupata huduma za kawaida Saloon kubwa na ya kisasa ya kina mama katikati ya jiji. Baada ya hapo akaambiwa kuwa kulikuwa na huduma ya ziada.

  Huduma hii ni ya kunyoa nywele za sehemu nyeti kwa namna ambayo nywele zote zinatoka na kukufanya "kwa bibi" kuwe kipara kabisa.

  Pia akanihabarisha kuwa mamaa aliambiwa akinyolewa hivyo, nywele zinachukua muda mrefu sana kuota na wala hatoki vipele vya wembe,nilibaki najiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.

  Wadau hii imekaaje.
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  superman..Brazilian wax inafanya nywele kuota taratibu na pia huondoa bumps...na kukufanya uwe so fresh and clean....
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Bikini wax hiyo, nywele zinang'olewa ndo maana zinachelewa kuota. Big UP hiyo.
   
 4. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Asante Kelly;

  Nilichokuwa najiuliza ni vipi Mamaa alienda na kujianika 100% ili aweze kupewa hii huduma . . . .

  Na nimesoma mahli humu JF kwamba siku hizi Lez ni kama kawa . . .

  Au unaanzaje anzaje?
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  hahahaha no super man siyo kama unamkaliza uchi mwananmke wmenzio huwa sehemu ile ya siri inazibwa.....hahahaha usihofu sana hakuna tatizo kabisa hapo.......alafu kuna style nyingi kama unataka zingolewe zote au unataaka kuweka punk it depends......
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hihiii,

  Watu wa mjini mna shida nyie? Siye huku shamba akah. Sasa huko chini akina dada si watakuwa na punky za ajabu sanasana? Au dada anaweka jina lako SUPERMAN.

  Sasa katika haya mambo siku zote huwa naanza na swali moja kubwa sana zaidi ya lile la gharama. Je kuna side efect gani (madhara) kwa kutumia hizo Brazilian wax au hiyo mianga ya laser? Madhara hayo ni makubwa sana au kidogo? Akina dada chungeni sana na haya mambo yasiyochunguzwa sana.
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu;

  Una ushuhuda wowote?
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Kelly;

  Jamani acheni utani. Mbona mpaka kule kwenye "Vimashavu" huwa zinaota? Sasa zitanyolewaje kule bila kumchanulia? LOL
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Mkuu; hayo ndo maswali ninayojiuliza. Lakini si hivyo tu, ni lile suala zima la unaanzaje "kujianika" kwa Mwanadada mwenzako kirahisi tu?
   
 10. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Superman my friend eeh...kwani hapo kuna shida gani?..mbona watu we have been doing that for years hakuna tatizo lolote lile.....yule anayekunyoa anafanya kazi yake pale ukimaliza unampa tip yake ...biashara imekwisha....lakini brazilian wax is safe that kutumia hizo razor.......
   
 11. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,051
  Likes Received: 15,643
  Trophy Points: 280

  Ndio ni huduma kama zilivyohuduma zingine. nakama akitaka zisiote vipele wanaweza kutumia hata uzi badala ya wembe au mashine nyingine.

  Na huyo "my wife wake" yeye alikuwa na hiari ya kuhitaji hiyo huduma au la!
   
 12. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  dang uzi lazima utokwe na chozi....maana itachukua muda sana ni bora ya wax one time only...i prefer uzi kwenye eye brows....
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kelly mamii kwani hiyo ndude sijui ya Brazil huwezipaka mwenyewe au ukampa bamsap akupake mpaka ukapakiwe saluni?
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Jun 29, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Msije shindwa kushangaa tu pale mapicha yenu yakakutwa kwenye magazeti ya udaku...! Na kichwa cha habari kikuuubwaaa...!

  "Superman with 2inch wand"
   
 15. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  shosti....hhaha trust wewe mwenyewe hutaweza kufanya...nilishawahi kujaribu mwenyewe nusu nijikojolee....yeah unaweza kumpa my husband wako akufanyie kama unayo ile wax kit yenyewe......ila kumbuka lazima awe sharp ikikugandia kasheshe unayo......
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante mamii wangu kwa elimu hii kweli siku hizi kila kitu kwa teke linalokujia.... haya mama tuhabarishe!
   
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kelly,

  Jamaa yangu mmoja alishaniambia litu kama hiki. Hawa jamaa hata kama ni wanaume huwa kweli wako kazini. Nilipopewa habari hii sikuamini masikio.
  Ni kuwa Dr mmoja Ginekologist alikuwa ameweka kabisa order gazeti moja la watu wazima ambalo ndani kumejaa picha za akina dada kibao na humo ndani wamezianika haswaa picha za rangi nzuri haswaa.
  Hii kitu ilishangaza wengi kuwa huyo Gina, si kila siku anaziona za kila aina na leo hii anaenda kununua gazeti azione hizohizo.
  Labda ni yale mambo ya Morogoro, yaani mtu anaenda na mhogo sokoni na kuuza na hapo ananunua mwingine na kubeba nyumbani. Ukimuuliza anakuambia "muhogo wa sokoni wanukia ki-sokosoko".
  Hivyo Superman, jamaa huwa wako kazini, wala hana hamu kabisaa wakati ule na akiwa nyumbani mhhh, hapo. Ila sasa akija mkewe sijui inakuwaje?

  Masanilo, njoo utowe maoni....
   
 18. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Anytime my darling!>.......
   
 19. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huo ndio mwanzo wa kusagana kwani hiyo kazi anafanya babaa kwa babaa anafanya mama tena ndani kwenu mmetulia.
   
 20. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,051
  Likes Received: 15,643
  Trophy Points: 280

  Kama watoa huduma ni wanawake basi hiyo saluni watakwenda wanaume kama wanaotoa huduma ni wanaume basi watakwenda wanawake. ni v/s
   
Loading...