Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

Huko mjini kuna mambo wacha! Jamaa zangu wawili walipanda taxi hizi za kuchangia na mshkaji mmoja wakitoka posta. sasa njiani wakawa wanapiga stori, jamaa akaksema anafanya sehemu ambayo wake za watu huja kutengenezwa nyuchi zao zirudi kiwango kwa njia ya massage. sasa inafika wakati hawa wamama wanapandwa hamu kutokana na kushikwa huko maeneo, then hapo hapo kuna vijana spesho wa kuwashughulikia. jamaa anasema keshaziona nyingi mno hadi hashtuki. pia vidole vyake vimeota sugu kutokana na kuwakandakanda hawa wamama. ni soo!
 
Du!

Mkuu hiyo habari ni ya kweli? Ni wapi huko hasa? Isije ikawa my wife wangu naaye huwa anakwenda huko . . . LOL

Uuuuuphhhhuuu Mdau . . . Presssure inapanda . . . pressure inashuka . .
 
hii ni ya kweli kabisa. jamaa walithibitisha ila huwezi kumganda mtu akupe siri ya kazi yake kwani alisema hata my wife wake hajui jamaa anafanya nini hasa
 
Du!

Mkuu hiyo habari ni ya kweli? Ni wapi huko hasa? Isije ikawa my wife wangu naaye huwa anakwenda huko . . . LOL

Uuuuuphhhhuuu Mdau . . . Presssure inapanda . . . pressure inashuka . .
hahahhahahahha ndio hapo my wife wako akirudi home kachokaaaa mpaka mambo flani anakunyima kisa katoka salon!!!
 
Du!

Mkuu hiyo habari ni ya kweli? Ni wapi huko hasa? Isije ikawa my wife wangu naaye huwa anakwenda huko . . . LOL

Uuuuuphhhhuuu Mdau . . . Presssure inapanda . . . pressure inashuka .
.

ndo kama haya ya mpenzi wangu Kelly01 anayotoletea hapa we si umeona ile picha yule mdada akiwa anawekewa brazillian wax yaani wanashika kwenye stimulant area kweli pale si wanachapana kweli.jamani acheni utani hii kitu si ya kumruhusu my wife wako kwenda wanaweza kumlamba.
 
For sure man......
 
kakuambia nani kuwa anakuomba ruhusa? wanawake wana mwalimu wao anayewaongoza kufanya kile watakacho. we utaona matokeo tu
 
Duh, kazi kweli ipo. Hizo saluni hazifai kabisa maana zaweza kusababisha mtafaruku kwenye ndoa za watu. Ingekuwa ni sheria yangu nawatuma hawa jamaa waende kwenye hizo saluni mara moja.
 
kweli hii inaweza ikawakomesha hasa wakiwa wameshachojoa aise sijui itakuwaje mkuu
 
Hiyo ndio dawa yao. heheheheheheheheheheeeee
 
Mambo ngoma droo...wababa wana massage zao na kina mama sasa wamejibu mapigo....

Mbombo Ngafu!
 
  • Thanks
Reactions: lin

Duh sasa mtasababisha kina baba wawe wanawachunguza wake zao wamenyoa lini na wapi ole wake jana usiku awe na vinyweleo afu asubuhi atoke kwenda kazini jioni arudi kipara lol! Mie simo
 
LOL ... too funny...

mchango kidogo:
1. Gyno (kazi yake sio kusafisha nyeti bali kuchunguza )
Kwenda kwa Gyno mara mbili kwa mwaka ni kwa makusudi ya kufanyiwa Pap-smear test ambayo mara nyingi husaidia early-diagnosis ya magonjwa kama HPV (Human Papilloma Virus) ambayo mara nyingi husababisha cervical cancer, wanawake wasiofanyiwa hii check up wanajiweka hatarini kwasababu by the time anakuwa diagnosed na cervical cancer inakuwa kwenye late stages!!! Kama una mwenzi au ndugu wa kike haswa kwa tanzania mshauri aende kufanyiwa test hii. Tena ajitahidi kumuona Gyno kwa hii test hata mara moja kwa mwaka.

2. Brazillian Waxers (watoa huduma za kuondoa / kusafisha nywele mwilini * usoni, mikononi, sehemu za nyeti n.k.)
Watoa huduma hii kwenye nchi za magharibi wanachukulia kazi zao kwa makini (seriously) kama vile watoa huduma wa aina yoyote wanavyotakiwa kuwa makini katika kazi zao za kuhudumia jamii. Wanazingatia 'privacy' ya mteja, na pia kuhakikisha mteja ameridhika na huduma na atasifia kazi yao na hivyo kuleta wateja wengine.

Walioongelea maadili wanasahau kuwa traditions huwa hazibadiliki lakini 'customs' huwa zinaongezeka na zinabadilika kutokana na jamii inavyobadilika na kuongezeka. kwahiyo hata hili la kunyoa nyeti baada ya miaka kadhaa litakuwa la kawaida kama vile kusafisha meno kulivyo badilika kutoka kutumia miti (sikumbuki jina la hii miti ya kupigia miswaki) mpaka kutumia mswaki wa plastic na dawa na sasa miswaki ya umeme...
 
Mie nikioa wa kwangu hatokanyaga uko kwa mafirauni wallahi tena halafu ukitegemea kuwa mke wangu anatokea kijijini fresh from kileji
 
  • Thanks
Reactions: lin
Huko mjini kuna mambo wacha! Jamaa zangu wawili walipanda taxi hizi za kuchangia na mshkaji mmoja wakitoka posta. sasa njiani wakawa wanapiga stori, jamaa akaksema anafanya sehemu ambayo wake za watu huja kutengenezwa nyuchi zao zirudi kiwango kwa njia ya massage. sasa inafika wakati hawa wamama wanapandwa hamu kutokana na kushikwa huko maeneo, then hapo hapo kuna vijana spesho wa kuwashughulikia. jamaa anasema keshaziona nyingi mno hadi hashtuki. pia vidole vyake vimeota sugu kutokana na kuwakandakanda hawa wamama. ni soo!

Mmmh!!! Mama yangu mzazi""" hapa hapa bongo!!!
 
nimekaaa, nimetumia muda wangu kusoma haya yote yaliyoandikwa kweli nimeamini yapo. Sasa swali langu tunafanya haya yote kwa sababu gani??? Mwanamke kumfurahisha mumewe au mwanaume wake??? Au mwanamume kumfurahisha mke wake au mwanamke wake??? Sipati picha nauona mwisho wa dunia kabisa umeshafika unagonga milangoni mwetu. Jamani tubadilike, tubadilike, tubadilike
 
Mie nikioa wa kwangu hatokanyaga uko kwa mafirauni wallahi tena halafu ukitegemea kuwa mke wangu anatokea kijijini fresh from kileji
Mkuu Sipo, ushauri wa bure: Kama unaishi mjini usirogwe kuoa mke toka kijijini maana atakuja mshamba lakini siku akijanjanjaruka utalia mikono kichwani kama uliyefiwa na mzazi.Wenzio tushayaona na si mara moja.
 
Back
Top Bottom