Saluni za Dar

Saluni za Dar

Gilbarto2026

New Member
Joined
Mar 14, 2026
Posts
1
Reaction score
4
Kero yangu kwa saluni za Dar. Janja janja nyingi. Mtu unaenda kwa huduma ya kunyoa Tu na pesa kamili. Ukifika Mda wa kuosha kichwa, wadada Wana tabia ya kulazimisha uweke dawa ya m'ba huku wakijua fika unatozwa dawa na massage ya kichwa bila ridhaa yako. Inabidi ulipe zaidi bila kutarajia na kujipanga. Inakera.
 
Never go to baba shop! Go to saluni written in Kiswahili
 
Ahakikishe pameandikwa "TUNANYOA MITINDO YOTE"
84fa52df-2ccf-482c-814d-f6cc9bb9b4ab.jpeg
 
Mimi huwa nanyoa kwa tsh 5,000/= sitaki mambo mengi hata kuosha ntaenda kuosha kichwa nyumbani.

Kuna siku nikasema ngoja leo nioshwe nilijuta yule dada kaniingiza massage room akataka mambo mengi nikamwambia mimi naosha tu kawaida nipake tu mafuta ya kawaida. Eee bhana eeh akati ananipaka nafuta alinisugua kichwa kwa nguvu nahisi alifanya vile kwa sababu nilikataa huduma nyingine. Dada ana rangi nyingi ka upinde wa mvua
 
Back
Top Bottom