ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Asante sana mkaka nimezipokea kwa moyo mkunjufu na furaha tele tena na kichecko Erickb52
cc: my cousin charminglady
cc: my cousin charminglady
Last edited by a moderator:
Mr Rocky wala usimwonee huruma
mbona anabeba mizigo mikubwa zaidi hata ya mabegi ya hao wazungu
acha apate hela kwa shida na tutaimaliza siku moja tena bila huruma.
Arushaone hawezi maana anajua unajua mambo yake mengi kwa hiyo hapo lazima akae kimya kabisa huko aliko
Dah jamani shem nisamehe sana aisee nilipitiwa si kosa langu!
Nilimwambia Kipipi awe ananikumbusha ila nahisi nae alichanganyikiwa siunajua akinionaga tu anaishiwa nguvu!
Mzima lakini ummu kulthum ?
Polee kwa niaba ya 52
Heheheee kumbe charminglady ni ndugu yako eeehAsante sana mkaka nimezipokea kwa moyo mkunjufu na furaha tele tena na kichecko Erickb52
cc: my cousin charminglady
Hivi ulijificha jukwa gani ummu kulthum ?sijambo naendelea kuvuta pumzi ata ye mwenyewe hajanirusha hewani
HahahaaaaaArushaone amepandisha wazungu mlimani anasaka pesa ya kujilipua valentine.
Hata hivyo imeandikwa kuwa Mwanaume atakula kwa jasho na akina Mamndenyi watazaa kwa uchungu lolMr Rocky wala usimwonee huruma
mbona anabeba mizigo mikubwa zaidi hata ya mabegi ya hao wazungu
acha apate hela kwa shida na tutaimaliza siku moja tena bila huruma.