Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Heheheheee eti upendwe lol nani akupende?
Huna haya aibu we ngoja wanaopenda matapishi km Bishanga ila sio watanashati na masharobaro.
We ushaepure

naanza kuamini taratibuuuu maneno yale ulonambia du haya maneno uloandika!!!!!!!!!!!!!!!haya
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 unajua juzi ulipoondoka umesahau iteitei lako huku home wacha watu walione wacheke ,ila nakuonya uwe na heshima kwa sisi dadazako .msalimie Mr Rocky
Nyie bado mko analogia ndio maana mnashangaa vitu vidogo.
Haya karibuni ulimwengu wa digitali
 
Last edited by a moderator:
naanza kuamini taratibuuuu maneno yale ulonambia du haya maneno uloandika!!!!!!!!!!!!!!!haya

Hahahahaa yapi hayo we dada yangu?
Halafu mwambie The secretary hanifai mi niko ulimwengu wa digital ye yuko analogy nani anamtaka?
Kaexpire hana dili
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa na king'amuzi ila hujajua tu babu
Hebu ngoja nivea aje kukusaidia kuona uko ulimwengu gani

Hapa kwa kweli hata sijaelewa ulichokisema...

Ndo maana nazidi kusema kuwa mie mwenzio ni analogia....

Na huyu nivea ndo anakuja kufanya nini....

Umkumbushe kuwa Babu alishastaafu, sawa kajukuuu??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hapa kwa kweli hata sijaelewa ulichokisema...

Ndo maana nazidi kusema kuwa mie mwenzio ni analogia....

Na huyu nivea ndo anakuja kufanya nini....

Umkumbushe kuwa Babu alishastaafu, sawa kajukuuu??

Babu DC!!
Hahahahahaaaa babu DC unaogopa mambo ya dot com eeeh haya basi ngoja nivea aahirishe zoezi!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaa babu DC unaogopa mambo ya dot com eeeh haya basi ngoja nivea aahirishe zoezi!

Mambo ya kujitafuta kifo cha after 10.30PM ya nini??

Mie na mstaafu mwenzagu tunatoshana.......hao nyie endeleeni tu...!!
 
Mambo ya kujitafuta kifo cha after 10.30PM ya nini??

Mie na mstaafu mwenzagu tunatoshana.......hao nyie endeleeni tu...!!

Heheee haua babu mi niko nakula nyimbo zako za analogia yan raha sana hapa.
 
Naaaam! Erickb52;

Tunashukuru sana Kamanda wetu!
Pamoja sana!
 
Last edited by a moderator:
maskin mimi nimezaliwa kwa bahati mbaya naishi humu jf kwa makusudi hata wewe shemu wangu erick52 umezira na kuwataja wengine front page kweli jaman hii ni haki? sioni jina langu nimerudia list mara 100 kama matokeo ya kidato cha sita sawa tu!
 
Polee kwa niaba ya 52
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom