Kwa niaba ya Amyner ;
Nimeona niwarushie salamu za valentine mapemaa kwa kuwa nimewakumbuka sana na siwezi kusubiri hadi siku hiyo ifike! Kwa upendeleo naomba Kipipi uzipokee salamu zangu za dhati kwa upendo wako ambao hausemeki!
Rafiki zangu Chimbuvu TANMO Baba V noahism watu8 BAGAH Slave kapsitrano Nicas Mtei Smiling Saint Katavi moto2012 Mwanyasi KakaKiiza C6 na Young Master nawasalimu sana.
Pia kwa wana Arusha Mr Rocky PakaJimmy Preta sweetlady Preta Mzee wa Rula Lily Flower Filipo na mkeo marejesho Mungi LiverpoolFC Blaki Womani Arushaone Tonykp na Kabakabana nawamiss sana aisee.
Chit chat ladies bila shaka you are the best! Salamu kwa Remmy (I miss your love) Arabela (Ntakuja Tanga) KOKUTONA (Mtunze Erick) AshaDii Smile Madame B (Tukutane kuleeee kwa Evelyn Salt na kisukari ) YNNAH (Nakumiss) nivea King'asti Mamndenyi gfsonwin FP BADILI TABIA (Umepotea sana) CUTE (Long time) ladyfurahia passion lady (Pamoja mdada) Kongosho (Ushazeeka) The secretary (Usinizoee) mwaJ beibe nasty Paloma
Babu zangu Dark City na Asprin na mzee Bishanga na mzee Mtambuzi salamu zenu!
Special greetings kwa charminglady Roulette Judgement Invisible
Ujumbe wangu: Tuishi kwa upendo na mshikamano...Upendo hauna gharama!
Copy kwa Amyner
Hehehehee mwaJ tena namwambia asipoonekana hizo wiki mbili nakuja mimi kukaba nafasi lolAsante kwa salamu Erickb52. Ukimwona my huzbend Mwita Maranya mwambie kama hatoonekana nyumbani wiki hii asirudi tena. Pia wasalimie msiri wangu Kaizer na na binti Maranya Zion Daughter. Salamu za pekee zimfikie mzee wa ISO Allien huko space town!
Dah jamani shem nisamehe sana aisee nilipitiwa si kosa langu!maskin mimi nimezaliwa kwa bahati mbaya naishi humu jf kwa makusudi hata wewe shemu wangu erick52 umezira na kuwataja wengine front page kweli jaman hii ni haki? sioni jina langu nimerudia list mara 100 kama matokeo ya kidato cha sita sawa tu!
Tushirikiane kutoa misaada unaonaje kati ya hao kama naweza kutoa mchango wangu??Hahahahaaa KakaKiiza kama kawa backup muhimu ila big hausi ndio mambo yote Amyner kwanza then Kipipi hawa akina mwaJ ninawasaidia kuondoa upweke wa kuachwa na akina Mwita Maranya lol