Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

asant sana mimi nina bonge la suprise hapa kwa wapenzi wangu.nitawatambulisheni mpenzi wangu mpya hapa hapa.stay tuned
 
He he he he old is gold.......first love never die ha ha ha Mr Rocky kuya pande hii
Dah yan una maanisha yule mtu wa kwanza hata kwenye yale mambo yetu mapenzi huwa hayafi? Yan mkikutana hata km mlitengana na kila mtu ana wake mnaweza kugonga match? Lol mbona hili balaa sasa Dena Amsi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ahahaa si umeona mwenyewe? ila bwana wanaume wa siku hizi mbona mnapenda kugegeda back bencher za wenzenu hivo?

HA ha ha ha Smile umenichekesha sana. Wanawake mkatae usijifanye unampenda saaana kila asemacho unamfanyia eti unamridhisha hawaridhiki hawa viumbe hata ufanyeje
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom