Hahahaaa dogo kahamishiwa Zanzibar kinyumba yan hakamatiki tena lol unacheza na LIMAMA la Tanga ooooh
Heheheheee yan alikuwa ananisumbua sana eti kanimiss nisiporudi na yeye anaondoka mh nikaona isije kuwa balaa nikampoteza swthrt ndio nimerudi Mr Rocky siunajua valentine kuwa na familia muhimu aisee
Heheheee kwanza hebu mrudishe Cantalisia ndio BAGAH labda atarudidah! Kwel hakamatiki. Ila naskia we unajua alipo. Please saidia arudi home
Heheheee kwanza hebu mrudishe Cantalisia ndio BAGAH labda atarudi
Dah nimemmiss sana aisee hebu mwambie namsalimia sana na namngoja arudi jamvinihahahahahaha. Cantalisia atarejea. Ametingwa sana na kazi..
Hahahaaa dogo kahamishiwa Zanzibar kinyumba yan hakamatiki tena lol unacheza na LIMAMA la Tanga ooooh
Heheheheee yan alikuwa ananisumbua sana eti kanimiss nisiporudi na yeye anaondoka mh nikaona isije kuwa balaa nikampoteza swthrt ndio nimerudi Mr Rocky siunajua valentine kuwa na familia muhimu aisee
laiti ungelijua.......wala usingenena unayanenayo hapa!!! anyway tulimdaka kumnusuru na...............maana alikuwa anatumbukia kwenye tope......mphh
Mamndenyi tutamkosa kijana wetu huyu Arushaone maana afya yake ni mgogoro kabisa na akipandisha na mzigo hata kile kilima cha Suye pale hawezi sasa kwenda kupanda mlima Meru au Kilimanjaro kijana mnamtafutia matatizo