Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Paloma mie huwa siwezi mbio ndefu
hapa niko pembeni nangojea enzi yangu ije ya kupendwa.

mhhhh ngumu sana kunitosa! ila hujui tu ni jinsi gani ninavyomwambia akutafute japo roho yako itulie manake nayajua haya mambo....yana mengi ati!!!
 
Last edited by a moderator:
nikupe siri......hivi unajua kuwa wewe unapendwa!?!?!?
loved by someone, missed by someone, you are loved!!!
mie ndo nnaejua. na siwezi badili hilo!
 
Thank u Erickb52...........
Sherehekea Siku hii muhimu na yule umpendae.
man-woman-hug-valentine-240-1297176820-1297367946.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana pacha Erickb52. Nipo kwenye mchakato wa kwenda kumkomboa ndugu yetu BAGAH. Lile jimama la pale Survey bado limemfungia ndani.. Kijana naskia siku hzi anatembea utadhan center bolt imekata... Tushrikiaje pa1 ili tumrejeshe nyumbani salama.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana pacha Erickb52. Nipo kwenye mchakato wa kwenda kumkomboa ndugu yetu BAGAH. Lile jimama la pale Survey bado limemfungia ndani.. Kijana naskia siku hzi anatembea utadhan center bolt imekata... Tushrikiaje pa1 ili tumrejeshe nyumbani salama.
Hahahaaa dogo kahamishiwa Zanzibar kinyumba yan hakamatiki tena lol unacheza na LIMAMA la Tanga ooooh
 
Mi nimemuomba Mungu anipe mpenzi kanipa makengeza sasa hapo ndipo napo choka kuwa Mungu hayupo fair kabisa
Heheheheeee
Kuwa na imani huyo kengeza anaweza kubadilika huwezi amini!
Anyway nakuombea maisha ya furaha mkuu hayo yote ni majaribu ambayo hata akina Ayoub walipitia.
 
Erickb52 yalonikuta ni makubwa
siku ya white party Paloma na mashostito wake walimdaka juu kwa juu
kilichofuata alinitumia sms ya kunirudisha kijijini eti nikajifunze maadili
hapa nimeamua kurudi town kwa mabavu.
Hahahahaaaa walikuona bado uko ulimwengu wa Analogy ndio maana waambie na wewe unataka kuhamia Digitali aisee
Copy kwa Paloma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom