Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

ahahaa si umeona mwenyewe? ila bwana wanaume wa siku hizi mbona mnapenda kugegeda back bencher za wenzenu hivo?
Heheheheee appetizer
Unajua cha mwenzio kitamu aisee hata kama kina pilipili mtu unatamani tu kuonja na ndio maana match za ugenini zinapendwa sana kuliko za nyumbani! Lol hata sijaju ni kwanini Smile labda Mtambuzi aseme kilichimvutia kwa mtoto wa Kitanga
 
Last edited by a moderator:
HA ha ha ha Smile umenichekesha sana. Wanawake mkatae usijifanye unampenda saaana kila asemacho unamfanyia eti unamridhisha hawaridhiki hawa viumbe hata ufanyeje
Kwikwikwikwiiiiii
Tunaridhika tukiwa ndani tukitoka nje wenzenu wanatutega
Halafu mnajua nyie mko wengi kwa zaidi ya nusu yan mko mara mbili yetu hivyo nusu yenu wanakosa wanaume so inalazimu sisi kuwa na wawili wawili ili kutoa huduma kwa wote. Siunajua haki sawa aisee ndio maana mi nimejinyakulia zangu Amyner na Kipipi ukiona nimehamia kwa BADILI TABIA ujue wote hawako nchini.
 
Bora umejisemea ukweli tu wengine huwa wanabisha
 
utakua unanirahisishia sana bby boy wangu RUTTASHOBOLWA coz nipo busy sana!
Hahahaa ndio kazi zake
Ila angalia usimtose kama walokutangulia maana mnamtenda sana loya wangu Ruttashobolwa yan hadi anakonda kwa mawazo a kutoswa na nyie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom