Mmh my wife
mwaJ we nae una wivu mzuri sijapata kuona, yani masaa manne tu tayari ushayageuza wiki?? worry not bebi me love u sana.
Thubutuuuuuu...
Erickb52 we huogopi manundu? shauri yako
Kipipi atakula valentine na asiyetarajiwa!!
Bora umwambie ukweli mapema asije akakulilia bure majanga yatakapomkuta.
Ah wapi hakuna mkurya wa design yako arifu anayependa mke wa kaka yake.
Naona bado unalazimisha kupata maumivu karibia kabisa na siku ya valentine. Nimeshakuonya kaa mbali na mke wangu
mwaJ!!!
Mkuu
KakaKiiza huu ushirika wa kuvizia wake za watu ni mbaya sana. Sikushauri kabisa kujaribu hiyo kitu isije ikakuletea balaa mtu na heshima yako.