Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

Salamu za Valentine toka kwa Erickb52

utamwonea tu huyo Erickb52 wala siyo mpango, mpango wenyewe upo kimyaaaaaa unawasoma tu....
huyo naye alishindwa tu enzi hizooooo akiwa na arifu wake TANMO.....
wao walikuja kwa maneno matamu kweli kweli, hawakuja kwa kitisho kama wewe na ndege zako, lol!
teh teh teh! nilijua yeye ndo mpango mzima, basi ntaacha kuja kwa vitisho ili umpige chini huyo maskini wa hela asiyetaka kufahamika hapa jamvini.....

zumbemkuu mi sibadiliki kuwa chura aisee
Hebu niitie Kipipi aje hapa
kumbe wee mlokole? bahati yako, teh teh teh!
wee Kipipi kuja pande hizi Erickb52 kakumiso..
 
Last edited by a moderator:

sisi wengine hatunaga price bwana........
yeye ni maskini wa hela lakini ni tajiri wa moyo......
kanikabidhi moyo wake wooootteeeee niufanyie nitakacho.... nami nimemhakikishia come sun come rain ni yeye tu...... hakunaga zaidi yake.
yaani tumejikuta tumekuwa matejaaaaa yasiyopimika.... hii habari wanaijua vizuri mlongo wangu snowhite na rafiki yangu BAK.... hawa wananitia moyo sana ya kuendelea kushikamana huko nilikoshikwa..... siachii ngazi ng'o.......
 
wewee! acha kudanganywa na chozi la huyo msela, mambo yote ngawira etii!
njoo kwangu ule pesa, nina kontena la pesa za kigeni....
 
ha haaaaa, pesa kitu gani zumbemkuu? penzi bwana ndo mambo yote.....
unatoka na mtu hata humpendi kisa pesa? sasa unakuwa unafaidi nini?
yaani mimi kwangu mapenzi ndo mpango mzima.......nataka nikikuwaza tu nasikia mwili wote umekufa ganzi, na ka-smile ambapo kila anayepita anaona sura yako jinsi inavyomuwaza mpenzi........ siyo unakuwa na mtu sababu ya hela ukimkumbuka sura inakuwa utafikiri umeonyeshwa nanihiiiiii, lol!
wewe kaa na pesa zako tu rafiki, hazinihusu hizo
 
Last edited by a moderator:
kumbe Erickb52 ndo mpango mzima?
ngoja nirudi visiwa vya shelisheli, asaiv nipo ndani kwenye kilindi cha bahari tunapewa semina hapa namna ya kujikinga na ajali za angani, nikirudi naanza na huyo umpendae, namgeuza chura tuone utafanyaje.

zumbemkuu mi sibadiliki kuwa chura aisee
Hebu niitie Kipipi aje hapa
 
Last edited by a moderator:
ha haaaaa, pesa kitu gani zumbemkuu? penzi bwana ndo mambo yote.....
unatoka na mtu hata humpendi kisa pesa? sasa unakuwa unafaidi nini?
yaani mimi kwangu mapenzi ndo mpango mzima.......nataka nikikuwaza tu nasikia mwili wote umekufa ganzi, na ka-smile ambapo kila anayepita anaona sura yako jinsi inavyomuwaza mpenzi........ siyo unakuwa na mtu sababu ya hela ukimkumbuka sura inakuwa utafikiri umeonyeshwa nanihiiiiii, lol!
wewe kaa na pesa zako tu rafiki, hazinihusu hizo
haya umeshinda, ntakuletea zawadi nikirudi, ngoja nimalize semina hapa, napata maujanja ya wachawi toka nigeria na commoro,
yule mdogo wako kaolewa?
 
kila la heri kwa hiyo semina.....
haya nasubiri hiyo zawadi kwa hamu, lakini haitakuwa na conditions attached........
mdogo wangu yupi? snowhite au Kipipi?
 
Last edited by a moderator:
zumbemkuu mi sibadiliki kuwa chura aisee
Hebu niitie Kipipi aje hapa
mkuu hako katoto Kipipi nimeshakashtua kwenye post namba 261, ila kajeuri kweli, nahisi kuna mtu anakapa jeuri, ngoa nijaribu tena, Kipipi iiiiiiiiiiii!! wee Kipipi piiiiiiiiii@ kuja huku unaitwa haraka LUKU imeisha ......
 
Last edited by a moderator:
mkuu hako katoto Kipipi nimeshakashtua kwenye post namba 261, ila kajeuri kweli, nahisi kuna mtu anakapa jeuri, ngoa nijaribu tena, Kipipi iiiiiiiiiiii!! wee Kipipi piiiiiiiiii@ kuja huku unaitwa haraka LUKU imeisha ......
ha ha haaaaaaaaa, mtatutambua watoto wa kingoni mwaka huu......... mpaka mtoe machozi ya damu...... kita mewawa mlongo wangu Kipipi, fwata nyayo zetu dada zako, upiliki?
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaaaaaa, yaani sisi ukoo mzima ni mabinti maringo...... hata wa darasa la kwanza kumpata ni kazi saaanaaaaa, sasa sijui upo tayari?
ngoja nibadili mbinu, ntaanza na kubadilisha avatar
 
teh teh teh! nilijua yeye ndo mpango mzima, basi ntaacha kuja kwa vitisho ili umpige chini huyo maskini wa hela asiyetaka kufahamika hapa jamvini.....

kumbe wee mlokole? bahati yako, teh teh teh!
wee Kipipi kuja pande hizi Erickb52 kakumiso..

Hahahahaaaa FP kaua lol
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaaaaaaaaaaa, unataka kuweka kama ya Erickb52? haisaidii...... mwulize mwenyewe
Hahahaaaa aiseee zumbemkuu anataka kuiga mbinu yangu na wewe lol ila mwache abadili ili siku ikitokea zinabadilika kuwa kweli asipate stress
 
Last edited by a moderator:
Miss you my love!
asante kwa salamu.
love you my hubby!

Waoooooh
Thanks too swthrt for coming
Halafu hongera kwa kupata ile kitu lol
Unatisha mbaya mamito
Natamani kukurudia hasa siku ya valentine km Kipipi hatatoka huko aliko.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom